Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

Hizo baraka ni za namna gani? Hapo hamna ukweli wowote. Kila mtu akae kwake ukienda kwa watu sio uhamie unakwaza. Sio selfishness nimesema ukweli si bora yangu kuliko mnaobagua wageni.

Ubinafsi na uchoyo! Mwanamke…
 
Kuna mwingine hadi mwanamke kwa zengwe lake tu mama mkwe mgonjwa asikae kwake, alipelekea mama kafa kwa presha. Jamaa hadi kesho anajua alitesababisha kifo cha mama yake ni mke wake.
Ukiona mwanamke haelewi bora uwaweke mbali tu ndugu.
Vyanamke vingine unakuta dini ulokole hashikiki wala hakaambiliki lakini kana roho mbaya kama koboko.
Mbaya sana, kuna familia fulani yeye mkewe akiwepo nyumbani mpaka mende wanafyata mkia, anafoka kwa ukali wakati akitoa maelekezo ya kazi, mama mkwe halikadhalika ikabidi awe anajishughulisha kwa hofu ya kuonekana mzigo tu, na uzee wake bibi wa watu akadondoka akavunjika kapelekwa hosp kesho yake kafariki dunia, tunajua hili na vifungu vya biblia mke amekariri vya kutosha.
 
Back
Top Bottom