Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

Sitosahau ndugu yake mkewangu alikuja huku kwangu nikajua kaja kututembelea tu sasa nashangaa tu siku zinaenda hatoki,nikinunua hata papai kwa ajili ya mwanangu na yeye anakula bila aibu,halafu ukifikiria ana miaka 28 nambaya zaidi ni mwanaume, kuna siku dogo akajichanganya akafumaniwa na mke wa mtu chooni kwahao wanandoa aisee walimpiga sana wakampeleka ofisini tukaongelea sana akatozwa laki 8 nikiwapigia kwao mama yake anadai sina pesa kama vipi wamfanye chechote kile
Binafsi siwezi ishi na mtu mzima hivyo
 
Hatukatai kutembeleana, issue inakuja unataka ukae kwa watu permanent, Bora angalau uende kimasomo, au kusikilizia mchongo Fulani, lakini hii unakuja kukaa kwa ndugu permanent kama kwenu sio poa.
Mfano mi ndugu na shemeji zangu wote tuko hapa hapa mjini, kutembeleana yawezekana ila kulala kwa mtu hapana maana hakuna anayeishi mbali na 20km radius
 
Nazan weng hujistukia na ata wakiambiwa kitu huwa wanahisi wameonewa au wanateswa apo ndo ttzo huanzia

Ntakupa mfano mm nmezaliwa ad nmekua kufka umri huu sijawai kuosha vyombo , sjawai kupika wala sjawai kufagia uwanja ila nkutokana na shule nlijikuta nkienda Musoma kwa ba mdgo kusoma advance Musoma tech nlipofka apo wakat nangoja kwenda shule bas pale kwa ba mdg wanakaa watu wawili tu ba mdgo na mke wake bas mke wa ba mdg akaanza nipa kaz za kuosha vyombo yeye anapika mm naosha vyombo na asubui nkiamka natakiwa kufagia uwanja kwakwel bila unafiki mke wa ba mdg nlimchukia sana na nlimuona mbaya sana ila baada ya kukaa na kuwaza sana nlikuja kujiona mm ndo nlkua na makosa tena sana

Sasa vtu km ivyo ndo hufanya ndg weng wa mwanaume kushindwa kukaa kwa ndg zao sabu mara nying wakiambiwa kitu huwa wanaona km wanaonewa au wanateswa
 
Halafu,hivi kwa nini wachawi wengi ni wanawake?Au mna vipaji vya uchawi?
Mkuu mbona majambazi wengi wanaokaba na kupora mali za watu kisha kukatakata watu mapanga au kuwapiga shaba kabisa ni wanaume, au ndio kusema siku hizi maovu yashakuwa na madaraja, kwamba kujeruhiwa mwili kuna afadhali kuliko kurogwa siyo
 
Women get married for their own reasons other than love and unionification. In fact women are parasitic beings

Mkuu mbona majambazi wengi wanaokaba na kupora mali za watu kisha kukatakata watu mapanga au kuwapiga shaba kabisa ni wanaume, au ndio kusema siku hizi maovu yashakuwa na madaraja, kwamba kujeruhiwa mwili kuna afadhali kuliko kurogwa siyo
Hilo lako tutalijadili kama familia hapo baadaye.Tuanze na wanawake kujinasibisha zaidi na uchawi.
 
Huwa wanakaa hapo sana ili watumike kama substitute ya ndugu yao anayehenyeshwa usiku kuhudumia mahari wsliyopokea.

Hayo tu mkuu[emoji1787]
Aloo kumbe kuna muda huwa mnakubali wenyewe kwamba mwanamke kwenye ngono hafaidi bali anahenyeshwa tu, sasa zile lawama za kusema mbona wanawake kwenye mapenzi wanatanguliza pesa wakati ngono mnafaidi wote zinatoka wapi, acheni tu watangulize pesa na msilalamike maana kwenye ngono mnawahenyesha tu
 
Mkuu mbona majambazi wengi wanaokaba na kupora mali za watu kisha kukatakata watu mapanga au kuwapiga shaba kabisa ni wanaume, au ndio kusema siku hizi maovu yashakuwa na madaraja, kwamba kujeruhiwa mwili kuna afadhali kuliko kurogwa siyo
Tofautisha ukatili na roho mbaya
Tofautisha necessity na asili

Nyoka tunamsema ana roho mbaya kwa sababu anaweza mgonga nyati na asimle ila Simba ni lazima ili maisha yake yaende.

Hivyo Simba atamuua nyati sio roho mbaya ila Nyoka ni roho mbaya.
 
Aloo kumbe kuna muda huwa mnakubali wenyewe kwamba mwanamke kwenye ngono hafaidi bali anahenyeshwa tu, sasa zile lawama za kusema mbona wanawake kwenye mapenzi wanatanguliza pesa wakati ngono mnafaidi wote zinatoka wapi, acheni tu watangulize pesa na msilalamike maana kwenye ngono mnawahenyesha tu
Hii yako umeitoa kutoka tafiti ipi?
Maana kiutafiti Mwanamke anafurahia zaidi kuliko Mwanaume.
 
Tofautisha ukatili na roho mbaya
Tofautisha necessity na asili

Nyoka tunamsema ana roho mbaya kwa sababu anaweza mgonga nyati na asimle ila Simba ni lazima ili maisha yake yaende.

Hivyo Simba atamuua nyati sio roho mbaya ila Nyoka ni roho mbaya.
Sasa huo mfano wako unarudi pale pale niliposema kwamba mnalazimisha kuutenga uovu katika madaraja, maana sijaona mantiki ya kusema tofautisha kati ya ukatili na roho mbaya, kana kwamba kuna kimoja ni kizuri na kingine ni kibaya

Haijalishi mtu ni katili au ana roho mbaya mwisho wa siku huo wote ni uovu na lengo ni hilo hilo kudhuru watu, hayo maneno hata yakiwa na maana tofauti hayafanyi kimoja kuwa na afadhali kuliko kingine, na haliangaliwi tu lengo la mfanyaji bali pia madhara anayopata mfanyiwaji

Haijalishi mtu amejeruhiwa au amerogwa yote hayo ni madhara hakuna chenye afadhali, nyati aliyeuawa kwa kugongwa na nyoka na nyati aliyeuawa na kuliwa na simba hakuna mwenye afadhali, wote wamefanyiwa kitu kimoja kuuawa bila kujali aliyefanya hivyo kapata faida gani
 
Hii yako umeitoa kutoka tafiti ipi?
Maana kiutafiti Mwanamke anafurahia zaidi kuliko Mwanaume.
Hayo niliyosema huwa ni maneno yenu wenyewe siyo yangu na huyo si wa kwanza kuona kaandika hivyo wengi mnatumia kauli zinazoonesha ni kama vile anayefaidi kwenye tendo ni mwanaume, mwanamke anatakiwa kufanya ili amridhishe mwanaume kwahiyo hii kitu inawajengea wanawake mentality ya kwamba lazima nao walipwe kwa kuwaridhisha ninyi ndio maana wao hutanguliza pesa, mwanamke huwa anafaidi tendo akifanya na mwanaume anayempenda tu mkuu hicho ndicho zinachomaanisha hizo tafiti
 
Back
Top Bottom