Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Wanaume hatuna hulka hizo aisee… labda wachache ambao wamerithi tabia za kike kutoka kwa mama zaoHuoni huko juu wanaume wanasema muache ujamaa kila mtu akae kwake? Kwahiyo na hao wanaume wana roho za korosho?
Mwenye maono ya lini na nani wa kuoa ni mwanaume ila ndoa ni ya mwanamke
Mwenye kujenga mjengo wa kuishi ni mwanaume ila nyumba ni ya mwanamke
😅😅😅😅😅
Inategemea na makabila 😅 na status ya ukoo au familia. Unawajua watu wa Kigoma wewe?!Ndogu wa mwanaume, wakiishi hapo wanataka watawale nyumba na mwishowe ni ugomvi.
Mkuu siku zote umenyooka sana,huna kona kona.Wanawake tutabisha tu...lakini wanawake ni wabinafsi mchawi akasome
🤣🤣 You're welcomeMkuu siku zote umenyooka sana,huna kona kona.
Umemaliza shule?Nazan weng hujistukia na ata wakiambiwa kitu huwa wanahisi wameonewa au wanateswa apo ndo ttzo huanzia
Ntakupa mfano mm nmezaliwa ad nmekua kufka umri huu sijawai kuosha vyombo , sjawai kupika wala sjawai kufagia uwanja ila nkutokana na shule nlijikuta nkienda Musoma kwa ba mdgo kusoma advance Musoma tech nlipofka apo wakat nangoja kwenda shule bas pale kwa ba mdg wanakaa watu wawili tu ba mdgo na mke wake bas mke wa ba mdg akaanza nipa kaz za kuosha vyombo yeye anapika mm naosha vyombo na asubui nkiamka natakiwa kufagia uwanja kwakwel bila unafiki mke wa ba mdg nlimchukia sana na nlimuona mbaya sana ila baada ya kukaa na kuwaza sana nlikuja kujiona mm ndo nlkua na makosa tena sana
Sasa vtu km ivyo ndo hufanya ndg weng wa mwanaume kushindwa kukaa kwa ndg zao sabu mara nying wakiambiwa kitu huwa wanaona km wanaonewa au wanateswa
We ungeolewa na tajiri ingekuwa balaa!Mbona unabadilisha maneno? Kuna mahali nimesema nachukia ndugu? Tabia mbaya sana kubadilisha maneno ya mtu na kujitungia yako [emoji4][emoji4] hii ndio wale tunasema umbea ambao watu wanasutwa
Count me in[emoji109][emoji1787][emoji1787] You're welcome
Wana ushoga ndani yao! Mwanamume anayejua maisha hayupo hivyo!Huoni huko juu wanaume wanasema muache ujamaa kila mtu akae kwake? Kwahiyo na hao wanaume wana roho za korosho?
Unahamia kwa shemeji yako mpaka unawakosesha uhuru mke na mume kupeana malovidovie
Vyovyote vile🤣Aloo kumbe kuna muda huwa mnakubali wenyewe kwamba mwanamke kwenye ngono hafaidi bali anahenyeshwa tu, sasa zile lawama za kusema mbona wanawake kwenye mapenzi wanatanguliza pesa wakati ngono mnafaidi wote zinatoka wapi, acheni tu watangulize pesa na msilalamike maana kwenye ngono mnawahenyesha tu
Sasa hapa umepinga nini?Hayo niliyosema huwa ni maneno yenu wenyewe siyo yangu na huyo si wa kwanza kuona kaandika hivyo wengi mnatumia kauli zinazoonesha ni kama vile anayefaidi kwenye tendo ni mwanaume, mwanamke anatakiwa kufanya ili amridhishe mwanaume kwahiyo hii kitu inawajengea wanawake mentality ya kwamba lazima nao walipwe kwa kuwaridhisha ninyi ndio maana wao hutanguliza pesa, mwanamke huwa anafaidi tendo akifanya na mwanaume anayempenda tu mkuu hicho ndicho zinachomaanisha hizo tafiti
Hili la ndoa changa ni vema watu wakalizingatia, watu wanaoana na kuanza kuishi na mashemeji jamani sio poa.Tuache Ujamaa kila mtu akae kwa wazazi wake.
Wazazi ndiyo wenye jukumu la kulea na kusomesha.
Ndoa changa ziachwe zenyewe
NB: Umasikini mbaya sana
AahaaaMkuu siku zote umenyooka sana,huna kona kona.
Mazingira yetu ni ya kuinuana.Hili la ndoa changa ni vema watu wakalizingatia, watu wanaoana na kuanza kuishi na mashemeji jamani sio poa.
Tatizo ni umasikini na kujifanya kuchukua majukumu ya wazazi.Hili la ndoa changa ni vema watu wakalizingatia, watu wanaoana na kuanza kuishi na mashemeji jamani sio poa.
Hakuna kitu kama hicho labda useme unalazimisha mawazo yako yawe uhalisia, mwanamke akifanya na mwanaume ambaye hampendi hafaidi chochote na ndio maana mnachunwa hela, kwa mwanamke lile tendo liko kihisia zaidi kuliko kimwili kama ilivyo kwa mwanaumeSasa hapa umepinga nini?
Kisayansi Mwanamke huinjoy zaidi na hili limethibitishwa na watafiti na Sayansi imekubali.
Afanye na ampendae au lah utamu ni ule ule.
Humu si Kuna Wanawake si tuwaite wake wa clarify hii issue.Hakuna kitu kama hicho labda useme unalazimisha mawazo yako yawe uhalisia, mwanamke akifanya na mwanaume ambaye hampendi hafaidi chochote na ndio maana mnachunwa hela, kwa mwanamke lile tendo liko kihisia zaidi kuliko kimwili kama ilivyo kwa mwanaume