Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Hiyo inasaidia sana....wengi sana ambao wameoana marafiki ndoa zao hazina mambo mengi
Mapenzi bila urafiki nakufanana lazima kiumane.
 

Attachments

  • 1694701099311.jpg
    1694701099311.jpg
    90.6 KB · Views: 4
Winnie alimpenda sana Mandela before kifungo,ila baada ya kufungwa maisha yalibadilika ni mambo ya kibinadamu, mtu kuvumilia miaka zaidi ya 20 sio mchezo,ukisoma kile kitabu cha Mandela unamuelewa Winnie.

Maisha ya kiharakati aliyoishi Winnie na Mandela kabla ya kifungo,na zile kesi zilivyokuwa zinaendeshwa plus hali mbovu ya kiuchumi ya Mandela akiwa kama mwanaharakati Winnie aliyavumilia wakati wote.

Hata Winnie alivyofariki nilisikitika sana sijui kwanini,she was very beautiful and charismatic
 
Hakuna kazi Wala mateso yyt yanayoweza kusahaulisha uasili wa mwanadamu.

Kamuzu Banda pamoja na kuhasiwa (castration) lakini anakuambia kuna wakati alikuwa akipata kumbukumbu ya kutamani asingefanyiwa hivyo kwa hamu ya kutaka ku Do.

Vinginevyo kwa mtu aliyezaliwa na matatizo ya hali ya juu ya kimaumbile (abnormal)

BTW alijutia sana kitendo chake cha kukubali kuhasiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu, ilikuwaje mpaka akakubali kuhasiwa??
 
Back
Top Bottom