Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
He he heee ngoja niishie hapa, niacheeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he heee ngoja niishie hapa, niacheeee
Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi
Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela kutoka gerezani, wanachama wa ANC waliokuwa karibu na mandela waliudukua mchezo kama ambavyo walidukua matukio kadhaa ya ulevi wa Winnie
Winnie alikuwa kituko katika kipindi cha miaka miwili baada ya mandela kutoka gerezani. kumfuata kumweleza ukweli
Ilifikiriwa kuwa hatua ya juu sana ya busara kwa wapigania uhuru hao wa ANC
Lakini ulifika wakati ambapo mandela au jamii isingeweza kujidanganya. maelezo kuhusu mapenzi ya Winnie na Mpofu yalifikia sehemu mbaya kiasi cha kuonakana hadharani, nakuandikwa kweye gazeti
Gazeti liliandika barua ya Winnie Mandela kwa Mpofu ikifichua wivu wa wazi kwamba Winnie Mandela alichukia kusikia Mpofu kapata mtoto na mwanamke mwingine
"...Kumbuka ni namna gani kila mara unaniumiza. Naendelea kukueleza kwamba hali ya uhusiano inazidi kuzorota nyumbani wewe haujali sababu umeridhika na huyo mwanamke.
mimi si mpuuzi Dali"
Si hivyo tu. Mandela alivumilia mateso ya unyumba kupita kiasi. Kisa kimoja kilichomuumiza sana kilihusu safari. Winnie alikuwa amepata mwaliko wa kwenda marekani kwa ajili ya shughuli za ANC. alitaka kwenda na Mpofu lakini Mandela alimkatalia.
Winnie alikubali kutosafiri naye.ikaaminika Winnie ameondoka mwenyewe nchini lakini Mandela alipomgia simu Winnie kwenye hoteli aliyokuwa amefikia New York, aliyepokea na kujibu alikuwa Mpofu ikiwa na maana alikuwa amesafiri naye. mandela alikuwa mwanamume aliyefanyiwa uzinifu wa kutisha sana.
Mandela anakaririwa akisema hakuwahi kumtarajia Winnie kuwa mseja wakati alipokuwa gerezani lakini alimtaka awe msiri. pia hakukubali kabisa aendeleze uhusiana na wapenzi wake wa nje baada ya yeye kuachiwa gerezani
Mwisho.Tuishi nao kwa akili💔😥
View attachment 2749016View attachment 2749018View attachment 2749019siasa zilimzidia akasahau upande wa pili
Winnie alikuwa kisu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]He he heee ngoja niishie hapa, niacheeee
Na yakiamua yanakuchapa kuanzia ujana hadi uzeeni😬😬Ni mwendo wa kupigwa matukio tu[emoji6]
Inaonyesha hivyo😅😅
hivi lee hujawahi mpiga mtu tukio kweli,Na yakiamua yanakuchapa kuanzia ujana hadi uzeeni😬😬
Haina proofKazi za ndani hiz boss
Daah mimi sisemiHuyo mwanamke ni hatari
Mbona unauliza na kujijibu mwenyewe 😂😂😂..hivi lee hujawahi mpiga mtu tukio kweli,
sema wadada wa jf mnajua kujifanya wastaarabu😂
Hili natilia mkazo, pasipokuwepo uwiano katika mahusiano achana nayoTuwe makini ukigundua upati kadri ya unavyowekeza kimbia.
ah wapi, ulimchoka hana maokotoNimewahi ila alitaka mwenyewe kupigwa tukio
Bahati mbaya ndio hutaacha kuwapiga...😁😁Mbona unauliza na kujijibu mwenyewe 😂😂😂..
Nimewahi ila alitaka mwenyewe kupigwa tukio😄
Kuondoa uteja wa mapenzi Sio kazi ndogoKwahiyo ni haki ya Winnie kufanya hivyo hata baada ya Mandela kutoka?
Kabisa , ningekua mshauri wa ndoa ningeshauri vijana waoane watu ambao tayari ni marafiki .Na yakiamua yanakuchapa kuanzia ujana hadi uzeeni😬😬
Hapana hata sio swala la maokoto😄😄😄😄ah wapi, ulimchoka hana maokoto
natamani niskie yeye anasemaje😂