Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
sijawahi kucheat kwakweli.......Ukianza kucheat kuacha ni ngumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijawahi kucheat kwakweli.......Ukianza kucheat kuacha ni ngumu sana
Aisee ulifanikiwa au alishtuka?Mbona unauliza na kujijibu mwenyewe 😂😂😂..
Nimewahi ila alitaka mwenyewe kupigwa tukio😄
Heeeee..........sema suuuusijawahi kucheat kwakweli.......
Sasa hicho kitu kizito ni kipi?sijawahi kucheat kwakweli.......
Aisee kaka , mapenzi hayana formula.Kabisa , ningekua mshauri wa ndoa ningeshauri vijana waoane watu ambao tayari ni marafiki .
Tusubiri majibu.Sasa hicho kitu kizito ni kipi?
Nymphomaniac sounds much better.ila wanawake wa South Africa huwa ni sex maniac sana....hawezi vumilia kukaa muda mrefu
Suuuuuu😃😃😃😂🙌Heeeee..........sema suuuu
Alikua anapenda kushika simu yangu, akakutana na flirts za dear ex enzi hizo akapata wivu akaniacha😃😃😃😄Sasa hicho kitu kizito ni kipi?
So walihisi asipohasiwa angempiga pumbu Queen Elizabeth [emoji1787]Ili awe daktari wa malkia alitakiwa akubali kuhasiwa akakubali.
Baadaye anaeleza kuwa alijutia sana kitendo kile na kamwe asingemshauri mtu yyt akubali kufanyiwa vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Za ndaani kabisa,Mandela alinyetuka sana[emoji23]Hivi maanake mandela kwa miaka 27 aliyokua kifungoni hakupiga mzigo? Aiseeee[emoji848][emoji848][emoji848]
Kuna namna alisolve changamoto za nyege! Sio nyetoZa ndaani kabisa,Mandela alinyetuka sana[emoji23]
Aisee..... anyway ila ni nature, mwanamke anakupenda siku ya kwanza zikizidi siku tatu.Alikua anapenda kushika simu yangu, akakutana na flirts za dear ex enzi hizo akapata wivu akaniacha😃😃😃😄
Ndo hivyo my friend,, kama umeota vile😄😄... Ee Mungu nisamehe mimi🤦♀️🤦♀️🤦♀️Aisee..... anyway ila ni nature, mwanamke anakupenda siku ya kwanza zikizidi siku tatu.
Jamaa alikuwa anaforce sana so hapo sio kosa lako.
Imani ni nini?Kwahiyo wewe unaamini kabisa alietoka jela alikua Mandela og?
Amen.Ndo hivyo my friend,, kama umeota vile😄😄... Ee Mungu nisamehe mimi🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Hili swali tata.Imani ni nini?
AiseeAlikua anapenda kushika simu yangu, akakutana na flirts za dear ex enzi hizo akapata wivu akaniacha😃😃😃😄
Kwanini mkuuHili swali tata.
Na ikawe hivyo kiongozi...I receive 🙏🙏Amen.
Ila husband material anakuja kwako soon, mshikilie sana, huwa naandikaga kama utani kwa watu, zinatokea kweli wanasema mi nabii wakati ni intuitions zangu.