Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #161
Huu n ukweli mchungu maana kadri unavyozidi kuyang'ang'ania ndio unapalilia maumivu.Hili natilia mkazo, pasipokuwepo uwiano katika mahusiano achana nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu n ukweli mchungu maana kadri unavyozidi kuyang'ang'ania ndio unapalilia maumivu.Hili natilia mkazo, pasipokuwepo uwiano katika mahusiano achana nayo
Kumbe tupo wengi, winnie yupo vyema sana mandela alijua kuchagua.Pisi ya kwenda hata mi ningeishweraa
Baba Moreen wacha Kenge waumizwe Mana hata biblia inasema usimuweke mtu au kitu Moyoni mwako.KATAA NDOA
NDOA NI UJAMBAZI
Pole sana mapenzi ndivyo yalivyoWala sio wote wengine tumechapika hapa na mapenzi
Hatimae 😅
Umemisika🤗Hatimae 😅
Kuna Mzulu mmoja tulijenga nae barabara Tinde na kampuni ya Afrika kusini Grinaker LTA.....alinieleza jambo hili...lakini sikumuelewa....wewe ni mtu wa pili baada ya miaka 18Ni kwasababu Mandela aliyeingia jela alikua ndie mume wa Winnie na alifia huko.Mandela aliyetoka hakua yule aliyeingia bali ni clone hivyo ni Winnie ndiye aliyemkataa sio yeye kukataliwa
NB
Inasemekana
Huo ndio urafiki wa kweli. Unamuachia mwanao mke kama ukifa ili aendelee kukuenzi kupitia friendly match. Vijana wa sikuhizi tunakwama wapi kutoa ULISI jamani 🤣🤣🤣Kwa ufupi tu...samora macheli aliwahi kumuaga mkewe Graca macheli kuwa yeye [samora] anaweza poteza maisha hivyo akamwambia nikifa uende kwa mandela naamini mandela atakuwa raisi wa RSA...hivyo baada ya samora kutunguliwa graca alikuwa mjane na mandela akawa raisi hivyo unabii ukatimia ....hivyo mandela alikuwa na akiba ya mke ...haikvwa rahisi kumrudia kahaba
Ndio mnayoambianaga kwenye vikao vyenu sio ?Kama show za ndani ni mbovu lazima za nje zizingatiwe
Kweli kuna wanawake wanagawa sana na sio kwamba wanajiuza, ni tabia ya umalaya.
Kumbe we mtoto ni mkora kiasi hikiUlitaka Winnie abaki na upwiru kwa miaka 27?
We mwenyewe sikumoja tu huwezi kaa bila kuzini
We unaweza kumuachia rafiki yako mkeo ukijua unakufa?Huo ndio urafiki wa kweli. Unamuachia mwanao mke kama ukifa ili aendelee kukuenzi kupitia friendly match. Vijana wa sikuhizi tunakwama wapi kutoa ULISI jamani 🤣🤣🤣
Umemisika pia mamy 😍Umemisika🤗
We unaweza kumuachia rafiki yako mkeo ukijua unakufa?
Ukimwambia hvyo alafu ukachelewa kufa atakutanguliza
Anaweza kukua ili tu apate ulichokua unapewa 😂😄 😄 😄 😄 Sio rahisi
Huo ni ukweli hakuna haja ya vikao. Haijalishi jinsia...usipotimiziwa haja ipasavyo utaenda tu kutafuta solution.Ndio mnayoambianaga kwenye vikao vyenu sio ?
Solution sio lazima kuchepukaHuo ni ukweli hakuna haja ya vikao. Haijalishi jinsia...usipotimiziwa haja ipasavyo utaenda tu kutafuta solution.