Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Ila kwa mbaaaliii nahisi yesu naye aliona mbali akaona aa acha akamilishe mishe tu iliyomleta duniani .Na sio kuhangaika na mashangazi wa yudea ,karpenaumu au kule galilaya maana angepigwa na kitu kizito.
Mapenzi ukishaanzana nayo kupigwa na kitu kizito n kawaida
 
Wakina Winnie, Julieth, jackline, Ruty ,Pendo na Amina hawana jema 🤔 Bora kina Kulthum na Habiba angalau wanafanya kwa vificho
 
Sio kila mtu anaweza na pia haitoi 100% satisfaction. Yaani miaka 27 yote mtu unapiga nyeto hata shetani atakushangaa
kila nikiwa na mechi, masaa kadhaa kabla ya kwenda dimbani
nafikiria mwili wa anko wangu ulivyolika na lile ligonjwa, dah mpaka huruma
navuta mafuta ya mgando, nakwea cha fasta, najifuta naoga kisha nazima simu mpaka kesho yake
 
kila nikiwa na mechi, masaa kadhaa kabla ya kwenda dimbani
nafikiria mwili wa anko wangu ulivyolika na lile ligonjwa, dah mpaka huruma
navuta mafuta ya mgando, nakwea cha fasta, najifuta naoga kisha nazima simu mpaka kesho yake
Ha haa sasa uoe basi ili uwe nae wa kwako peke yako. Naamini hatafanya kama winnie kwa mandela
 
Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi

Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela kutoka gerezani, wanachama wa ANC waliokuwa karibu na mandela waliudukua mchezo kama ambavyo walidukua matukio kadhaa ya ulevi wa Winnie

Winnie alikuwa kituko katika kipindi cha miaka miwili baada ya mandela kutoka gerezani. kumfuata kumweleza ukweli
Ilifikiriwa kuwa hatua ya juu sana ya busara kwa wapigania uhuru hao wa ANC

Lakini ulifika wakati ambapo mandela au jamii isingeweza kujidanganya. maelezo kuhusu mapenzi ya Winnie na Mpofu yalifikia sehemu mbaya kiasi cha kuonakana hadharani, nakuandikwa kweye gazeti

Gazeti liliandika barua ya Winnie Mandela kwa Mpofu ikifichua wivu wa wazi kwamba Winnie Mandela alichukia kusikia Mpofu kapata mtoto na mwanamke mwingine

"...Kumbuka ni namna gani kila mara unaniumiza. Naendelea kukueleza kwamba hali ya uhusiano inazidi kuzorota nyumbani wewe haujali sababu umeridhika na huyo mwanamke.
mimi si mpuuzi Dali"

Si hivyo tu. Mandela alivumilia mateso ya unyumba kupita kiasi. Kisa kimoja kilichomuumiza sana kilihusu safari. Winnie alikuwa amepata mwaliko wa kwenda marekani kwa ajili ya shughuli za ANC. alitaka kwenda na Mpofu lakini Mandela alimkatalia.

Winnie alikubali kutosafiri naye.ikaaminika Winnie ameondoka mwenyewe nchini lakini Mandela alipomgia simu Winnie kwenye hoteli aliyokuwa amefikia New York, aliyepokea na kujibu alikuwa Mpofu ikiwa na maana alikuwa amesafiri naye. mandela alikuwa mwanamume aliyefanyiwa uzinifu wa kutisha sana.

Mandela anakaririwa akisema hakuwahi kumtarajia Winnie kuwa mseja wakati alipokuwa gerezani lakini alimtaka awe msiri. pia hakukubali kabisa aendeleze uhusiana na wapenzi wake wa nje baada ya yeye kuachiwa gerezani

Mwisho.Tuishi nao kwa akili💔😥

Katiba ...
Mnakuja kimafumbooo..
..
Katibaa...
Pumbavu nyinyi
 
Back
Top Bottom