Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kwa nyakati hzo south Africa walikua wanaimplement conjugal visit?Kuna kitu kinaitwa conjugal visit.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nyakati hzo south Africa walikua wanaimplement conjugal visit?Kuna kitu kinaitwa conjugal visit.
🤣🤣Gusanisha nyama kwa nyamaBado havina uhalosia, haviwezi kukutouch touch kukupa ule msisimko. Ni plastic ile utumie miaka yote hiyo ni kujitesa
We mtu aliitwa gaidiKwa nyakati hzo south Africa walikua wanaimplement conjugal visit?
Dharau hizi🤣😁😂😂🤣Inaitwaje hiyo albino mweusi?
Unaweza kuthibitisha sio Mandela og??Kwahiyo wewe unaamini kabisa alietoka jela alikua Mandela og?
Hapo lazima mmoja afeliMapenzi bila urafiki nakufanana lazima kiumane.
Peleka uongo wako hukoAmen.
Ila husband material anakuja kwako soon, mshikilie sana, huwa naandikaga kama utani kwa watu, zinatokea kweli wanasema mi nabii wakati ni intuitions zangu.
Waambie haoHakuna kitu kisicho na kanuni chini ya ulimwengu huu ni vile vijana mnakaza shingo tu , unakuta unataka mpnzi asio saizi yako lazima ukutanishwe tu.
Focus na swali tafadhaliDharau hizi🤣😁😂😂🤣
Kwahiyo ukipata mwanaume ambaye Hana akili, lazima ukatombane nje??Hata Biblia inasema ishini nasi kwa akili
Ova
Hamna bhana sijamtongoza, muulize kama nimem-DM.Peleka uongo wako huko
Ndiyo gia yako ya kutongoza hiyo??
Una feli sana
Hapo sawa🤗, maana nilitaka nishangae how which when why
tena nilichapika haswaaa😃😃😃Ushawahi kuchapwa na mapenzi wewe?
Siwezi kabisaaa maana sitobaki salama 😄Hapo sawa🤗, maana nilitaka nishangae how which when why
Nimekuelewa vyema kabisa mkuu umeeleza vizuri sana. Umenikumbusha boers sijui ilikuwa ni History two?Kuna nadharia kama Mbili tulizisoma wakati tunasoma the history of South Africa HI 271 Chini ya usimamizi WA Mr Frank PhD
From reading Kwanini Mandela alishindwa kupatana na Winnie Mandela ni kwamba wakati Mandela akiwa jela winnie alishirikiana na wanaharati wengine kutumia radical ways kupambana na serekali ya makaburu Kwa kiasi kikubwa hizi njia zilifanikiwa kuwalazimisha Boers kukubali Mandela aachiliwe....
SASA Mandela aliye ingia jela na Mandela aliyetoka jela walikuwa watu wawili tofauti kimtazamo juu ya best approach ya kuleta majority rule in South Africa huyu aliyetoka hakutaka kabisa radical ways au violent ways katika kuendeleza mapambano badala yake alihubiri Amani na umoja na ushirikiano baina ya blacks na Boers kitu ambacho kilimdis appoint saana Winnie Mandela pamoja na wengine wote waliompambania Mandela atoke jela na Uhuru WA watu wengi WA South Africa.... From there zikaanza doubt kwamba huenda huyu sio Mandela Yule aliye ingia jela....kwann abadilike gafla hivi kimtazamo?? Kuna time baadhi ya wanaharakati walimuona Mandela Kama puppet WA white kutokana na huo mtazamo....
Ilifikia hatua tofauti ya kimtazamo WA namna ya kupambana na Boers ilikuwa kubwa kutaka kuigawa ANC Kati ya radicals na wale wenye mismamo WA wastani.... Kutokana na ushawishi mkubwa WA Mandela na Ile public image aliyokuwa amejengewa Mandela na blacks in South Africa as well as support from whites basi mtazamo WA Mandela ukashinda....
Secondly kuna theories zinasema Mandela alikufa gerezani kutokana na kazi ngumu na pia kuumwa so far ilikuwa Siri kubwa kwao maamna
Hata usipomruhusu ataliwa tuMm hata nifungwe miaka 5 namruhusu wife kuliwa .ila ikizidi mitano Nampa talaka chap