Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Yes for advance level ni history 2 but at higher level than that Kwa wale waliosoma history kuna optional course ya history of South Africa ....
Ok mkuu kumbe kuna history kubwa zaidi ya advance, sikuwahi kufahamu
 
Kuna nadharia kama Mbili tulizisoma wakati tunasoma the history of South Africa HI 271 Chini ya usimamizi WA Mr Frank PhD



From reading Kwanini Mandela alishindwa kupatana na Winnie Mandela ni kwamba wakati Mandela akiwa jela winnie alishirikiana na wanaharati wengine kutumia radical ways kupambana na serekali ya makaburu Kwa kiasi kikubwa hizi njia zilifanikiwa kuwalazimisha Boers kukubali Mandela aachiliwe....

SASA Mandela aliye ingia jela na Mandela aliyetoka jela walikuwa watu wawili tofauti kimtazamo juu ya best approach ya kuleta majority rule in South Africa huyu aliyetoka hakutaka kabisa radical ways au violent ways katika kuendeleza mapambano badala yake alihubiri Amani na umoja na ushirikiano baina ya blacks na Boers kitu ambacho kilimdis appoint saana Winnie Mandela pamoja na wengine wote waliompambania Mandela atoke jela na Uhuru WA watu wengi WA South Africa.... From there zikaanza doubt kwamba huenda huyu sio Mandela Yule aliye ingia jela....kwann abadilike gafla hivi kimtazamo?? Kuna time baadhi ya wanaharakati walimuona Mandela Kama puppet WA white kutokana na huo mtazamo....

Ilifikia hatua tofauti ya kimtazamo WA namna ya kupambana na Boers ilikuwa kubwa kutaka kuigawa ANC Kati ya radicals na wale wenye mismamo WA wastani.... Kutokana na ushawishi mkubwa WA Mandela na Ile public image aliyokuwa amejengewa Mandela na blacks in South Africa as well as support from whites basi mtazamo WA Mandela ukashinda....


Secondly kuna theories zinasema Mandela alikufa gerezani kutokana na kazi ngumu na pia kuumwa so far ilikuwa Siri kubwa kwao Kwani kuna kipindi wasouth Africa waliamua liwalo na liwe walikuwa wakorofi mnoo waliharibu miundombinu na kila kitu cha white ikafikia hatua the only way ya kuwastop ni kumtoa Mandela... Inasemeka SASA Mandela keshakufa na wananchi hawaelewi huko kitaa wameliamsha the only way ni kutafufa Mandela fake..... Na aje kuaatuliza wasouth...MTU pekeee anayeweza kumgundua na kuthibitisha zaidi ni winnie Kwa sababu anamjua Inn and out... Kwa hiyo ukatengenezwa mchoro WA hawa watu wasipatane akitoka jela...ndio Mandela akalishwa maneno as well as Winnie akalishwa maneno...

Mpango ukatiki....
Paragraph ya pili huu ni uongo sasa, khaaah
Sijawahi amini kitu km hiki, bas marehemu wangekua wanaletwa wakiwa wapyaaa.

Hii ni uongoooo.
 
Paragraph ya pili huu ni uongo sasa, khaaah
Sijawahi amini kitu km hiki, bas marehemu wangekua wanaletwa wakiwa wapyaaa.

Hii ni uongoooo.
Ndio maana nimeiandika Kama theories..hata Mimi siamini but I have just presented what was written....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hata usijar, ntaweka uzi hapa kuwaalika wana JF wote mje mjumuike.

Lastborn wa JF navaa joho. [emoji91][emoji91]
Naaam maana lile chimbo lenu la selfica mmefungiwa sijui chimbo jipya....


Mtoa Uzi unisamehe nipo out of topic. Japo huyu coca hawezi kuvumilia mume akifungwa jela even two months
 
Naaam maana lile chimbo lenu la selfica mmefungiwa sijui chimbo jipya....


Mtoa Uzi unisamehe nipo out of topic. Japo huyu coca hawezi kuvumilia mume akifungwa jela even two months
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mingi hivyo? Yaan anavyoenda jela na mie natafuta wa kudeveleka nae siku hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom