Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Winnie alimpenda sana Mandela before kifungo,ila baada ya kufungwa maisha yalibadilika ni mambo ya kibinadamu, mtu kuvumilia miaka zaidi ya 20 sio mchezo,ukisoma kile kitabu cha Mandela unamuelewa Winnie.

Maisha ya kiharakati aliyoishi Winnie na Mandela kabla ya kifungo,na zile kesi zilivyokuwa zinaendeshwa plus hali mbovu ya kiuchumi ya Mandela akiwa kama mwanaharakati Winnie aliyavumilia wakati wote.

Hata Winnie alivyofariki nilisikitika sana sijui kwanini,she was very beautiful and charismatic
 
Samahani mkuu, ilikuwaje mpaka akakubali kuhasiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…