Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Mpeni fomu huko Chadema,
 
Habari ni kuwa Makonda alikuwa atumbuliwe kabla ya kampeni kuanza ili impe JPM credit , sasa yeye akaustukia machezo akajiengua mapema! Hizo hazikuwa habari njema kwa mkuu, akakasirika sana kwani amemharibia mahesabu. Kwa sababu hiyo sioni ajabu Makonda kutopata uteuzi wa Ubunge.
 
Sijakubaliana kabisa na mm kukatwa nahamia rasmi cdm....Tundu Lisu oyeee!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hata Mimi nilijua ndio lengo la mkuu ili a win mass support Ila makonda naye angecheza kwa step tu. Pole yake Mimi naona bashite Ni mpambanaji asiye choka
 
Aisee kwahiyo katibua mipango
 
Haiwezekani makonda kafanyiwa zengwe

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…