Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

HIVI BADO WATU WANASHUGHULISHWA NA HUYU BWANA...

HUYU ANA KAZI MAALUM TOKA AKIWA RÇ(Geresha)...

Aliyekuwa DAS ambaye ndio RC sasa...ndio aliyekuwa anafanya kazi zote za DAS na RC...

ILA HUYO BWANA UNAYEMUULIZIA ANAENDELEA NA MAJUKUMU YAKE HAKUNA ALICHOPUNGUA ZAIDI YA UMAARUFU TU...
 
Probably Yes
 
Aliyemshauri makonda kwenda kigamboni ndie aliyempotosha tena sana alipaswa kugombea ubungo,kawe,kibamba apakuwa na mtu mwenye nguvu
 
Wanaitwa ni wabunge wa kuteuliwa,,viti maalum ni kwa wanawake tu kwa mujibu wà katiba
Kama jiwe atashinda atamteua ubunge viti maalum kisha atamuundia wizara maalum ya kikosi kazi cha utekaji na uuaji!
 
Lakini pia mshindani wake kuna muda aliwakorofisha Viongozi wa kitaifa...alikua kwenye mafaili ya mangula Kwa muda...Katambi alifanya smart move kwenda kugombea Shinyanga kwani alishajua mapungufu ya mshindani wake.
Juzi kajianzishia Uzi humu wakumshambulia lissu na mzee hupita humu, pia Ndugai naye kachangia yeye kukatwa pia
 
Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
Wakurugenzi wa taasisi kubwa na makatibu wakuu wa wizara hawaokotwi barabarani mkuu. Hao lazima wawe wajuvi na wenye uzoefu wa kutosha, huyo uliyemtaja hawezi kutosha hapo.
 
Polepole alitudanganya kwamba wote waliokimbia vyeo vya awali kama kina mnyeti,kitila, kunambi,olesendeka watakatwa lakini tunawaona wameteuliwa nadhani kuna watu walilengwa poleni wote kwa madhira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist,

Yohana unaijua vizuri sana CCM; sasa hoja yako hii nikisema ni ya kichohezi ndani ya chama ntakuwa nimekosea, mbona unataka kuwapa wapinzani wetu point? Kada unauza mechi?

Jirekebishe!! tupo kwenye kipindi kigumu sana cha uchaguzi toa hoja za kujenga chama na si za kubomoa!!
 
Unachanganya Mafaili mkuu.

Huyo Makamu mwenyekiti Bunge la pan Ni masele wa Jimbo la Mbogwe Geita.

Na huyo masele mwingine ni Mbunge wa Shy Mjini alipopitishwa Katambi
Hapana mkuu wewe ndo umechanganya! Stephen Masele, ndiye alikuwa Mbunge wa Pan, na mbunge wa Shy town.
 
Watu kama nyinyi ni hatari kwa ustawahi wa chama na nchi kiujumla
 
Washukiwa wa shambulio alilofanyiwa Lissu mjini Dodoma mwaka 2017 mwezi September

 
Bashite kilichompoza nivyeti vyake vya uvuvi
Mganga wake aliyekuwa anampa kiburi amefariki huko Bagamoyo ndiyo maana siku hizi hakauki makanisani. Zile ndumba zimeshaekspaya na mimavi yake aliyokunya inaanza kunuka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…