Hana lolote huyo na wategemee Jimbo kwenda kwa mpizani maana zitapigwa kura za maruhaniKatambi ni kiongozi mahiri ndio maana hata Mbowe alikuwa anamkumbatia.
Ndugulile kashinda kihalali. Hakutoa Rushwa. Makonda alitoa Rushwa.Siasa bhana hazitabiriki kabisa.
Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA.
Namsubiri mnec mzee Mgaya aje anipe ufafanuzi.
Maendeleo hayana vyama!
Pascal alikuwa wa sita baada ya Gasper kuna wengine wawili then ndo Katambi.Hana lolote huyo na wategemee Jimbo kwenda kwa mpizani maana zitapigwa kura za maruhani
Matokeo ya Kura za Moni CCM Shinyanga mjini
matokeo kura za maoni yalikuwa:
1. Stephen Masele - kura 152
2. Jonathan Ifunda - kura 65
3. Gasper Kileo - kura 51
4. Patrobas Katambi 12
Atateuliwa na nan kuwa..anakwenda kwenye cabinet kabisa.
..ila itakuwa shughuli pevu kwelikweli humo ndani ya baraza la mawaziri.
Unakosa mbwembwe za kurudi jimboni na kuunguruma kuhutubia " wananchi wangu" na "wapigakura wangu" 😂😂😂Ubunge wa kuteuliwa baada ya kushindwa jimboni haunaga heshima!
Daah mkubwa hana diniAisee kwahiyo katibua mipango
Tutatumia jeshi letu pendwa kumpa Katambi ushindi msukuma mwenzetuHana lolote huyo na wategemee Jimbo kwenda kwa mpizani maana zitapigwa kura za maruhani
Matokeo ya Kura za Moni CCM Shinyanga mjini
matokeo kura za maoni yalikuwa:
1. Stephen Masele - kura 152
2. Jonathan Ifunda - kura 65
3. Gasper Kileo - kura 51
4. Patrobas Katambi 12
Ndugulile kashinda kihalali. Hakutoa Rushwa. Makonda alitoa Rushwa.
Shy town number moja mpaka tano wote walitoa Rushwa. Katambi hakutoa Rushwa.
Atateuliwa na nan kuwa
Hivi Chadema nani anagombea pale shy town ?Kwa hiyo sababu uliyoisema basi itakuwa rahisi sana kumshinda katambi.Nani amekwambia katambi hakutoa rushwa? Alitoa sana rushwa kilichomdondosha ni kutokuwepo kwenye siasa za jimboni muda mrefu.
Hivi uzuri wa mtu ni kuweza kuongea sanaaaa. Nauliza kwa kua kajamaa kwa kweli kanaongea sana tu. Na kwa hiyo haka kajamaa ndio kana akili kuliko kila mtu wa upinzani. Kwamba msomi Lissue, msomi Zitto na wengine wote wa upinzani si lolote na si chochote lakini kenyewe ndio kaji smart ass sio?!Mtu namna hii utamuachaje kwa akili ya kawaida? Endelea
Makamba!Hivi Chadema nani anagombea pale shy town ?Kwa hiyo sababu uliyoisema basi itakuwa rahisi sana kumshinda katambi.
Anaitwa Salome Makamba.Hivi Chadema nani anagombea pale shy town ?Kwa hiyo sababu uliyoisema basi itakuwa rahisi sana kumshinda katambi.
Na ndio maana tunasema kuanzia Novemba file linaandaliwa kwa ajili ya kupelekwa kwa DPPjohnthebaptist,
Makonda ni kiongozi wa vitengo maalum kazi maalum wasiojulikana etc