n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Hii ndio heshima aliyostahili, unataka heshima gani tena. NonsenseKwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
😁😬😎😀 HatariEbanae!
Kama huyo jamaa alievaa kachumbali sijui ana cheo gani hapo
daaaahKwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu wa wilaya wale au sijui ni watu gani.
Mbona Rais wetu hapokelewi kiheshima jamani?
nimewaza tu.Ebanae!
Kama huyo jamaa alievaa kachumbali sijui ana cheo gani hapo
wengi hamjui protocal ni kitu gani.Kwani lazima Rais Mwenyeji aje akupokee yeye personal?
Subiria Activities zinazojiri ndio utajua
Hapa TZ kwani huo uzi umeletwa na mtu kutoka Ghana?? Mtu anasema mavazi ya waliompokea sio mazuri vipi MUSEVENI anavaa vizuri??Mama anachukiwa wapi? Ghana?
Kwa hiyo wewe unajua Sana kuliko Team ya Rais wa Ghana na WA Tanzania au?wengi hamjui protocal ni kitu gani.
hiyo tafsiri yake rais mwenyeji yuko busy,basi atume maofisa waandamizi.
makamu,spiker,au jaji sio huyo jamaa na maraba yake ya cossovo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengi hamjui protocal ni kitu gani.
hiyo tafsiri yake rais mwenyeji yuko busy,basi atume maofisa waandamizi.
makamu,spiker,au jaji sio huyo jamaa na maraba yake ya cossovo.
Tanzania mama hachukiwi ndiyo maana akirudi nchini anapokelewa vizuri. Labda huko Ghana ndo wanamchukia ndo mapokezi yale, labda lakini.Hapa TZ kwani huo uzi umeletwa na mtu kutoka Ghana?? Mtu anasema mavazi ya waliompokea sio mazuri vipi MUSEVENI anavaa vizuri??
Inaitwa ndopa.!hicho kiatu cha huyo mjomba hapo ndo kimeshusha sana credit aisee [emoji848][emoji848]
Alaf kweli hivi raisi anakuja kupokelewa na watu wamevaa raba au huko wanajua wametembelewa na moja ya watendaji wa mtaa wa huku tanzaniaAsiseme ukweli???
Kwan hiyo picha si imejieleza, angalia hata wearing style ya waliompokea, huoni kama wametoka kwenye vikoba??
Hamna lolote ww anagalia viongoz wengne wakienda nchi mbali mbali mapokezi yao yanakuaje tatzo huyu mama anajipendekeza sana alaf watu hawaoni analofanya kwahyo wakiskia anakuja nchini kwao wanaita madiwani wakampokee wao wanaendelea kula bata zaoSielewi nini kimekwenda tofauti katika diplomatic...
Zamani mapokezi ya wakuu wa nchi yalikiwa kama tulivyo mfanyia Obama.
Hata kwa mkuu wa nchi ndogo akifika basi alipewa mapokezi ya heshima ya juu mno... sijui what went wrong