Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

Mbuge na Samia wote hao CCM. Ungeuliza kwenye group la NEC YA CCM wangeshakuja kukutonya inbox
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Mbuge pengine sasa hivi angekuww nominee wa kuwa CDF
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Ulevi + Mbunye + Ufujaji + Kujisahau
 
Gen tumain el kiweru, alikuwa rc kgr
Shinyanga pia! Siku ile Nyerere anafariki,mwege ulikua Shinyanga,Kiweru aliuchukua Mwenge hadi Kanisani Roman Catholic Jimboni pale,ukatulia pale
 
Mbuge alirukishwa vyeo kimuhemuko na jiwe kiasi ya kwamba seniority haikuzingatiwa, ila yote kwa yote jamaa ni fogo sana kapiga sana kibunda kwenye ukuta wa mererani na ujenzi wa Ikulu
Mabeyo pia karukishwa sana vyeo na Jiwe! Hivi unajua Jiwe alimkuta Mabeyo na Cheyo gani??
 
Rais hawezi kutishwa na kiongozi yeyote wa kijeshi,upole na unyonge unaouona kwa raia ndo huo huo upo Jwtz,polisi,Magereza nk hamna watu majasiri wa kumtingisha rais hata Iweje,,,hivyo Mbuge hakuondolewa kwa sababu ya kuogopwa bali kwa mipango mingine ambayo rais aliipima akaona ampeleke huko
Huna akili hata kidogo,Hivi unajua nguvu ya jeshi wewe! Wale wakiamua laleni saa moja, na mtalala kweli! Wakiamua Rais atoke madarakani anatoka siku hiyo hiyo,hivi huoni mifani ya Nchi za wenzetu??
 
Naona kila mtu anakuja na sababu yake, sijui mleta mada achukue ipi, au tuzipigie kura sababu zenu zote?
 
Mbuge aliwadhulumu sana wale vijana walikuwa wanajenga Chamwino wakati wa JPM. Kwenye posho ya Tsh 50,000 ya kila kijana kwa mwezi waliyokuwa wanapewa na Serikali alikuwa anachukua Tsh 10,000 yeye binafsi. Hakuogopa kwa kuwa Magufuli alikuwa mtu wake.

Tumshukuru Mungu tu kwa maamuzi yake ya 17/ 03/ 21 otherwise baada ya Mabeyo alikuwa anakuja huyu Mbuge kuwa CDF. Magufuli alikuwa anapenda mijitu yenye haiba kama yake
 
Hatari Wakuu Hawaridhiki Na Wanachopata Mpaka Achukue Cha Mdogo
 
Angekuwa Muslim mpaka muda huu tunavyojadili hili suala angekuwa bado yupo katika nafasi aliyoondolewa. Kwa sasa siyo Muislam basi ndiyo maana aliondolewa katika kitengo kile.
Haya sasa, Mkuu wa Magereza(Suleiman) ambaye ni Muislam ameondolewa. Ongea lingine. Au utasema yule wa Suti nyeusi yeye bado yupo
 
siioni tofauti ya mbuge na makamba kiutendaji.... ni mbabaishaji anaejua kucheza na fursa.

waliofanya nae kazi wanamjua.....
 
Back
Top Bottom