Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatofautiana na Magufuli?Samia anapenda watu systematic na sio maguvuguvu na mihemko
Mbuge pengine sasa hivi angekuww nominee wa kuwa CDFWote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Yawezekana alikuwa anamletea mabeyo shida mahaliHuyu mwamba alizinguana na cdf mapema sana Ndo akaliwa kichwa
Ulevi + Mbunye + Ufujaji + KujisahauWote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Shinyanga pia! Siku ile Nyerere anafariki,mwege ulikua Shinyanga,Kiweru aliuchukua Mwenge hadi Kanisani Roman Catholic Jimboni pale,ukatulia paleGen tumain el kiweru, alikuwa rc kgr
Mabeyo pia karukishwa sana vyeo na Jiwe! Hivi unajua Jiwe alimkuta Mabeyo na Cheyo gani??Mbuge alirukishwa vyeo kimuhemuko na jiwe kiasi ya kwamba seniority haikuzingatiwa, ila yote kwa yote jamaa ni fogo sana kapiga sana kibunda kwenye ukuta wa mererani na ujenzi wa Ikulu
Huna akili hata kidogo,Hivi unajua nguvu ya jeshi wewe! Wale wakiamua laleni saa moja, na mtalala kweli! Wakiamua Rais atoke madarakani anatoka siku hiyo hiyo,hivi huoni mifani ya Nchi za wenzetu??Rais hawezi kutishwa na kiongozi yeyote wa kijeshi,upole na unyonge unaouona kwa raia ndo huo huo upo Jwtz,polisi,Magereza nk hamna watu majasiri wa kumtingisha rais hata Iweje,,,hivyo Mbuge hakuondolewa kwa sababu ya kuogopwa bali kwa mipango mingine ambayo rais aliipima akaona ampeleke huko
Ulevi + Mbunye + Ufujaji + Kujisahau
Na sasa kashaliwa kichwaMsimpangie Rais, nilidhani ajapewa teuzi yoyote, kumbe now ni RC
Anarudi Ngome Sasa HiviNa sasa kashaliwa kichwa
Hatari Wakuu Hawaridhiki Na Wanachopata Mpaka Achukue Cha MdogoMbuge aliwadhulumu sana wale vijana walikuwa wanajenga Chamwino wakati wa JPM. Kwenye posho ya Tsh 50,000 ya kila kijana kwa mwezi waliyokuwa wanapewa na Serikali alikuwa anachukua Tsh 10,000 yeye binafsi. Hakuogopa kwa kuwa Magufuli alikuwa mtu wake.
Tumshukuru Mungu tu kwa maamuzi yake ya 17/ 03/ 21 otherwise baada ya Mabeyo alikuwa anakuja huyu Mbuge kuwa CDF. Magufuli alikuwa anapenda mijitu yenye haiba kama yake
Mi nadhani rais hawezi muondoa mtu jeshini tena mwenye cheo kikubwa bila recommendations zozote kutoka kwa cdf
Haya sasa, Mkuu wa Magereza(Suleiman) ambaye ni Muislam ameondolewa. Ongea lingine. Au utasema yule wa Suti nyeusi yeye bado yupoAngekuwa Muslim mpaka muda huu tunavyojadili hili suala angekuwa bado yupo katika nafasi aliyoondolewa. Kwa sasa siyo Muislam basi ndiyo maana aliondolewa katika kitengo kile.
unauhakika???Mbuge ni moja ya Askari wanaopendwa sana na Wanajeshi waliopitia mikononi mwake, the Guy is so smart
Samia na watu wake wa Karibu walihofia ushawishi wake ndani ya jeshi.