The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Jibu ni moja tu na rahisi: Ni kwa sababu ya HOFU YA KIFO.....!!Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Wakiweza kumzuia na yule aliyekamatwa Njombe jana na Polisi basi nitawaamini hawa Walinzi.Maza analindwa kuliko Bank Kuu ya Tanzania
Kilichobaki ni kuomba tumuombeeWalinzi ni wengi zaidi ya wale wa Magufuli.
nadhan ilikuwa safari maalum sio mara zoteUmeangalia hiyo video?
Mmh acha mambo yako huo ulinzi upo hivyo siku zote. Kuna vitu ni vya kutetea na Kuna vingine vipo wazi.nadhan ilikuwa safari maalum sio mara zote
Labda wasiojulikana wamegeuka mizimu na kama bunduki za makomandoo zinaweza kuwatisha...Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Uchaguzi ufike mapema tumuondoeAnakoenda Kuna maadui zake wengi,lazima alindwe na nimeona hata helicopter......wanasisiemu wenzie wanaitaka hiyo nafasi
Wakina nani hao ndio watamuondoa?Nyie ni a piss in Missisippi hamna madhara.Uchaguzi ufike mapema tumuondoe
Muda utaongea,hakuna ajuaye keshoUchaguzi ufike mapema tumuondoe
Huu ni ulinzi wa kurithi, amerithiki kwa mwendazake. Wameupunguza kidogo japo.Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
We mbona hujazoea?Na Hiki ndicho ulichotaka kusema.
Magufuli alishakufa. Zoea
Hamna!SSH alivyoingia madarakani alikuwa humble,tatizo lilianza alipoanza kuzitambua nguvu alizonazo kama Rais!
"if you want to test the man's character,give him power"
Sure mabunduki ya nini ,tuko vitamin auKagame ni miongoni mwa Marais wenye ulinzi mkali lakini huwezi kuona kazingirwa hovyo kama Hangaya
Hangaya mshamba tu kama ilivyokuwa Jiwe; katikati ya mabunduki yote hayo majinga ndani ya ccm yanaamini hizo ni sherehe za chama na kwamba chama chao bado kipo haiKwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Just swaggKwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Wewe ulitaka alindwe na mabunduki machache Ili umfanyaje?Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?