Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Ni Nani aliyekuambia kwamba USIPOAMINI MUNGU YUPO BASI UNA SUPPORT USHOGA!? ...mbona hao wanaoamini Mungu yupo ndio wanao Pamba ushoga huko maulaya kwenu!!?Kiranga ni supporter wa mashoga na wasagaji, haamini uwepo wa Mungu anakubariana na uwepo wa ushoga na usagaji wewe je uhamini katika uwepo wa Mungu una-support ushoga na usagaji ?