cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Umemaliza kila kitu.Kuwa atheist sio kuporomoka kwa maadili, ni kupata akili
Wachungaji walizokula zinawatosha, watu wamepata akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kitu.Kuwa atheist sio kuporomoka kwa maadili, ni kupata akili
Wachungaji walizokula zinawatosha, watu wamepata akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni kwamba Vijana hawana hela halafu Mungu anahitaji Pesa. Na Mungu hatoagi pesa hata akikupa unakua ushapigika kweli
Hakuna Mungu kwani uongo?? Toeni uthibitisho wa uwepo wake.Na ni wengi kweli si mchezo, nilidhani ni hapa jf tu hata huko mitaani vijana wanamkana waziwazi.
Nadhani ugumu wa maisha, malezi pia vinachangia. Na pia kufahamu vitu juujuu.
Kwani Kuwepo kwa ushoga ndo kunafanya nn??Na overtime watauunga mkono hata ushoga Ili waendelee kula sadaka
Siamini uwepo wa Mungu wa kwenye Biblia au QuranKwani Kuwepo kwa ushoga ndo kunafanya nn??
Nyie wafia dini, swali dogo linawashinda mnabaki kupovukwa,
Toeni uthibitisho wa uwepo wa Mungu, mbna rahisi tyuuh
Mambo ya kiroho hayana ithibati ya kisayansi ili kuthibitishwa kama unavyotaka mkuu.Hakuna Mungu kwani uongo?? Toeni uthibitisho wa uwepo wake.
Basi sawa.Siamini uwepo wa Mungu wa kwenye Biblia au Quran
Basi hakuna Mungu.Mambo ya kiroho hayana ithibati ya kisayansi ili kuthibitishwa kama unavyotaka mkuu.
Tafuta vitabu vya kiroho utafunuliwa kwayo, ila kwa hilo la kutaka ithibati ni kutafuta ligi isiyoisha hapa jf.
Ukihitimisha hivyo pia ni sawa kwa upande wako mkuu.Basi hakuna Mungu.
Sidhani kama kuweka hoja yako kwenye mtazamo wa "Hela/Pesa" tu unaweza kuwa na mantiki.Kuwa atheist sio kuporomoka kwa maadili, ni kupata akili
Wachungaji walizokula zinawatosha, watu wamepata akili
Kuna mambo mengi sana ambayo YAPO NJE YA UWEZO WETU KUJUA NA KUELEZEA. Muumba Mwenyewe ndio Mwenye kujua majibu ya hayo.Mungu ametuagiza tusamehe 7 mara 70, ila yeye kashindwa kumsamehe shetani. Ufafanuzi wa hili sijui ukoje.
Mungu alisema kuua ni dhambi lakini kwenye vitabu vya dini mara kadhaa Mungu ameua wale waliomchukiza.
Je kuna kitabu chochote kinachoelezea kuhusu hiliHakuna sayansi inayoelezea ni muda gani roho inamuingia mtoto akiwa tumboni mwa mama yake
KAma ni kweli asingetupa hata akili za kuyafikiria, nini maana ya kumpa mtu mtihani ambao unajua atafeli 100%Kuna mambo mengi sana ambayo YAPO NJE YA UWEZO WETU KUJUA NA KUELEZEA. Muumba Mwenyewe ndio Mwenye kujua majibu ya hayo.
Kwenye sayansi sidhani kama kuna kitu kinaitwa rohoMfano mwingine.
1. Hakuna sayansi inayoelezea ni muda gani roho inamuingia mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
2. Hakuna anayeona roho ikiwa inaacha mwili, huwa inapitia wapi, na inaenda wapi!. Hakuna sayansi itaweza elezea hayo yote. Hata maendeleo yake yaweje.
3. Wasichokubali wanasayansi ni kuwa hakuna mwenye uwezo wa kujiiumba, wala kuzuia kifo.
-Vyote hivyo vipo kwenye uweza wake Yeye Aketiye Juu Mbinguni.
Kanisa Lako liko wapi nataka Nije nikuungishe nduguSidhani kama kuweka hoja yako kwenye mtazamo wa "Hela/Pesa" tu unaweza kuwa na mantiki.
Sababu dhumuni la hela ni kuitumia, na mtu hupangiwi namna ya kuitumia.
1. Mwingine ataipeleka Kidimbwi, Samaki-Samaki, Hello Jua na wala msihesabu hela anazo kusanya hao watu.
2. Mwingine jasho lake anapeleka kwa wanawake
-Lakini likifika swala la watu kutoa Kanisani lwa mtumishi mmoja kwanini mnaumia? Si ndio chaguo lake la matumizi ya pesa yake,ama?
- Sawa kuna "watu" watasema tumetoa sadaka mpaka tumefilisika ila pia kuna watu wamepeleka hela Kidimbwi, Hello Jua na mahali kama huo mpaka wamefilisika kabisa. Kwanini hao haituumi?
- Nadharia ya Pesa na Dini inapotosha wengi sana na kupoteza imani.
Si kwamba Waafrika hawaamini Mungu, lahasha.....wengi siku hizi baada ya kusoma na kupevuka akili tumegundua kuwa tulichezewa akili na Waarab na wenzao wazungu kwa kutuletea dini zisizo na mashiko kwetu. Tuliaminishwa upuuzi na bado kuna Waafrika wengi tu hawajaelimika juu ya hizi dini za kimchongo, tuna kazi kubwa ya kuwakomboa wenzetu.Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Tatizo ni kwamba tunaomba waarab, wayahudi, na wazungu na ndiyo maana hatufanikiwi. Mungu kakuumba wewe Mwafrika as binadamu wa kwanza hapa duniani kwa mfano wake, ya nini umuabudu Mwarab, Myahudi au Mzungu, inakuja kichwani kweli? Hizi laani zingine tunajitakia tu sisi wenyewe, we fikiria tu hii kitu, Mtume Mohammed alikuwa mbakaji na muuwaji, leo wewe Mtanzania unazaa mtoto unampa jina la Mohammed, yaani unamrithisha mwanao laana za Mohammed inakuja kichwani kweli?Tatizo ni kwamba unapokuwa unaomba kitu ambacho hakikusaidii wala kukupa matokeo lazima ukate tamaa
Jina halina uhusiano na matendo ya mtu mwingine.Tatizo ni kwamba tunaomba waarab, wayahudi, na wazungu na ndiyo maana hatufanikiwi. Mungu kakuumba wewe Mwafrika as binadamu wa kwanza hapa duniani kwa mfano wake, ya nini umuabudu Mwarab, Myahudi au Mzungu, inakuja kichwani kweli? Hizi laani zingine tunajitakia tu sisi wenyewe, we fikiria tu hii kitu, Mtume Mohammed alikuwa mbakaji na muuwaji, leo wewe Mtanzania unazaa mtoto unampa jina la Mohammed, yaani unamrithisha mwanao laana za Mohammed inakuja kichwani kweli?