Kiranga ni supporter wa mashoga na wasagaji, haamini uwepo wa Mungu anakubariana na uwepo wa ushoga na usagaji wewe je uhamini katika uwepo wa Mungu una-support ushoga na usagaji ?
Ni Nani aliyekuambia kwamba USIPOAMINI MUNGU YUPO BASI UNA SUPPORT USHOGA!? ...mbona hao wanaoamini Mungu yupo ndio wanao Pamba ushoga huko maulaya kwenu!!?
Yaani maoni yako ya kutokuwepo kwa Mungu hayaondoi uwepo wake. Yeye yupo
Zaburi 14:1 “Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema”.