Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Unatakiwa uweze tu maana hamna namna ingineYaani sijui hata nina shida gani yaani nishashindwa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa uweze tu maana hamna namna ingineYaani sijui hata nina shida gani yaani nishashindwa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Hahahah ni ujana tu mkuuUkachezea mbususu usiku wa ndoa, mkuu wewe ni noma sana😁😁
Kuna jambo linanitatiza sana maana nimefanya research kiasi nikuwa huko mikoani na hata nilipofika huku Dar hili nimeliona sana.
Kwa mujibu wa utafiti wangu nilioufanya kwa kiasi toka miaka ya 2000 wanandoa wengi japo sio wote hawaonekani kuwa na pete za ndoa kwenye mikono yao, nilijaribu kuuliza baadhi ya wanandoa upande wa jinsia ya Me wengi walitoa sababu mbambali japo nyingi hazina mashiko na Kwa jinsia ya Ke ni hivyo hivyo.
Nimejaribu kutafakari ila naona kama kuna sababu zingine zenye uzito zaidi ambazo zinawafanya wawe si watu wa kuvaa pete za ndoa japo wanaishi wote kama wanandoa na wengi wakiwa sawa tu.
Hii kitalaamu imekaaje wajuvi mje mnifundishe Je, kuvaa pete ya ndoa ni Ushamba? Au si kitu cha maana kwenye utamaduni wetu sisi waafrika?
[emoji15]khaaaSiku moja kabla ya harusi mbususu ya akiba ilitafunwa na ikaja kucheza kwaito the day of event[emoji1787]
Kwa kifupi tu mueleze tunawala na Pete zao za ndoa vidoleni.Mkuu, kwa hiyo sisi tunaopinga kuvaa pete tuna letu jambo? Tunajificha tusionekane kama tumeoa. Hivi kwa umri wangu nikikutana na mdada nina haja ya kumwambia nimeoa/nina mke?
Binafsi sioni tija ya pete, kiimani kwangu haina nafasi yoyote, nikiamua kucheat pete haiwezi kunizuia.
Wanaume wanataka uhuru wa kuchepuka anytime, mambo ya kuulizwaMi naona wanawake wanavaa ila wanaume nadra sana labda watu wazima sana.
So sad[emoji55]Tunatimiza wajibu na utamaduni wa mzungu.