Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #81
Honestly speaking, nilipata B moja tu ya Civics katika matokeo yangu ya kidato cha nne mwaka 2003, kisha nikawa na D tano pamoja na F tatuCheti chako Kama kina A ya civics tu na umekuja hapa I'll ndalichako akufikirie umepotea nenda karudie mtihani
Hiyo ni mwaka 2003 kidato cha nneDuuh
Hapondio ulichemka
Wee mtoto usiongee Tena hvyo watu wakakusikiaWewe endeleza ubishi wako humu JF lakini wanaofaulu sana Civics wanapaswa kupewa uzito wa kipekee. Civics sio lelemama ndio maana wengi hawapati As
Sawa mimi ninajikubali kuwa ni slow learner, sasa vp kuhusu wale ma-genius yanayopiga A za Civics? Kwanini wasipewe combinations zao?...Wee mtoto usiongee Tena hvyo watu wakakusikia
Eti civics sio lelemama?????
Utakuwa slow learner weee
Nimechoka kukujibu Mana kila Nina yokuelekeza huelewiSawa mimi ninajikubali kuwa ni slow learner, sasa vp kuhusu wale ma-genius yanayopiga A za Civics? Kwanini wasipeke combinations zao?...
Ukisoma URAIA na ukija ktk mazingira halisi utaona jinsi gani tunavyodanganywa na Hawa wanaojiita WAZALENDO wa Nchi hii DEMOCRACY FREE AND FEAR ELECTION cjui Muhimili wa BUNGE MAHAKAMA hakuna CHOCHOTE unasoma inabaki vitabuni ukija field uchaguzi unavyofanyika utachoka mwenyeweKuna sehemu tunafeli kama taifa ndio maana wazi kama kina mbowe na lisu eti ndio wanasiasa simply watu hawajui elimu ya uraia vema
Maelezo yote uliyopewa na wadau hapa jukwaani Kama hujayaelewa basi tenaSawa mimi ninajikubali kuwa ni slow learner, sasa vp kuhusu wale ma-genius yanayopiga A za Civics? Kwanini wasipewe combinations zao?...
SawaMaelezo yote uliyopewa na wadau hapa jukwaani Kama hujayaelewa basi tena
Mmhhh!!!!,Uraia siyo applicable?, are you sure?.somo la uraia ni la kupata uelewa tu na si applicable kama mengineyo uliyoyataja ndo maana halina combination na somo lolote
Sidhani km hiyo ni sababuHata ukisoma definition NI
The study of the rights and duties of citizenship
Ndio Mana hata mwalimu was biology anaweza kufundisha civics
Au mwalimu was somo lolote
Sasa somo la civics Lina kitu gani Cha ajabu mpaka mwalimu was history au sayansi ashindwe kulifundishaSidhani km hiyo ni sababu
Hao wenzetu wenye Robotic process automation, Artificial intelligence na Intelligent apps kumbuka pia wana somo la Civics plus diplomats wazuri...Kuna mwingine amesema somo la civics sio lelemama
Wakati wenzetu wana
Robotic process automation
Artificial intelligence
Intelligent apps nk
Kama Civics ni rahisi mbona wanafunzi bado wanapata F?Sisi tunasema somo la civics sio lelemama
Yaani roho inaniuma Kama kweli tz tuna vichwa vya aina hii
Kama somo la Civics halina kitu chochote cha ajabu sasa mbona kuna wanafunzi bado wanapata alama F katika hilo somo husika?...Sasa somo la civics Lina kitu gani Cha ajabu mpaka mwalimu was history au sayansi ashindwe kulifundisha
VilazaKama somo la Civics halina kitu chochote cha ajabu sasa mbona kuna wanafunzi bado wanapata alama F katika hilo somo husika?...
Wote wanaopata F NI vilazaKama Civics ni rahisi mbona wanafunzi bado wanapata F?
Bado point yangu NI kwamba sio somo gumu l kuumiza kichwaHao wenzetu wenye Robotic process automation, Artificial intelligence na Intelligent apps kumbuka pia wana somo la Civics plus diplomats wazuri...
Wewe jamaa unanishangaza sana kwa kweliBado point yangu NI kwamba sio somo gumu l kuumiza kichwa
Haijalishi linasimwa na kila mtu
Jaribu kuelewa ninachokifahamu
Mbona unakuwa kilaza kwwnye vitu vidogo