Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Basi ndiyo hawahodhi tena, wanaohodhi zirudishwe serikalini wapewe raia au unasemaje?
Si ungesema tu toka mwanzo kuwa makanisa na taasisi za kikristu zirudishe serikalini ardhi zinazohodhi. Ila kumbuka kuwa ziliwahi kunyang'anywa hata shule na hospitali lakini mwisho wa siku serikali ya Mwinyi ikawaomba wakubali kurudishiwa.

Amandla...
 
Zimenyang'anywa na serikali zote, mfano mzuri ni eneo lote la Ikulu na Ocean Road Hospital Dar. Ni eneo la Waislam hilo.
Ocean Road Hospital ilijengwa 1895 na Ikulu ilijengwa 1905. Miaka yote hiyo waislam mlishindwa kujipatia meneo mbadala?

Amandla...
 
Haha mbona mapori yapo mengi tu 🤣 nendeni mkahodhi ,mnapendaga maeneo ya mijini wenzenu wanaenda pembezoni afu badae watu ndo wanawafata .Unateseka ukiwa wapi kizee mwenzangu
 
Ocean Road Hospital ilijengwa 1895 na Ikulu ilijengwa 1905. Miaka yote hiyo waislam mlishindwa kujipatia meneo mbadala?

Amandla...
Walijipatia maeneo mbadala walikuwa nayo emngi sana, lakini Uislam uliwafundisha kuchukuwa maeneo wanayoweza kufanyia kazi tu, siyo kuyshodho bils ksxi wskivizia yawe na thamani. Hiyo inaitwa "hoarding" na "hoarding" ni dhambi Kiislam.


Na hayo amadogo ya kazi tuliyokuwa nayo Nyerere akaja kuwapa vibaraka wake BAKWATA wayasimamie. Ajiib.
 
Hasa Roman Catholic...Hili kanisa linatapeli sana watu.
una chuki sana na wakatoliki, badili tu dini uwe mkristo ili umiliki nao pamoja kama vipi. limemtapeli nani? kati ya makanisa ambayo hayatapeli ni hili. hakuna kiwanja au ardhi waliwahi tapeli mtu, though sikubaliani na imani yao ya kuabudu mariam na wafu imani itakayowapeleka motoni, ila kwa mambo ya duniani hasa hilo unalowasingizia, hakika unawaonea.
 
Yako Madhehebu wakati wanakamata hayo maeneo yanakuwa ni mapori. Wanapofanya uwekezaji wa miundo mbinu muhimu huwa mnawafuata wenyewe, halafu baaade mnabaki kushangaa kama sio kuwaonea kijicho !!!

Usijiulize sana bali unatakiwa kujua ni Akili Kubwa, Mipango Mkakati, Kuangalia Mbele, Mawazo Chanya na Mwisho Utekelezaji !!
 
ukweli halisi ni kwamba, ni wivu tu. kama katoliki huwa wanapenda kujitenga kabisa na jamii,wanaenda kujenga misheni pembeni ya mji kabisa au hata kijijini, wakijenga shule, hospitali na huduma zingine watu wanakuja kujenga karibu yao, panachangamka afu watu wale wale waliowafuata wanaanza kulalamika kuwa kanisa linahodhi ardhi yao. kama sio ujinga na wivu ni nini hii?
 
Sasa hilo la mwanzo walilipataje maana bila shaka hawakuwa na uwezo wa kulihudumia. Ukweli ni kuwa marais wamisheni wamekuwa wema sana kwa waislamu. Nyerere alinyang'anya shule zote za taasisi za kikristu na kuzifanya kuwa za serikali na hivyo kufanya waislamu waweze kujiunga nazo kirahisi. Mkapa alichuku Chuo cha Tanesco kilichojengwa kwa fedha zetu wote, akawapa waislamu. Chuo hicho mpaka sasa kinasua sua. Labda nacho waombwe wenzetu wa Middle East wakisaidie. Bahati mbaya hao wenzetu hawawekezi sana kwenye elimu. Labda waturuki wanaweza kukisaidia.

Amandla...
 
Wivu mbaya sana. Hivi unajua kuna sehemu heka ni laki 5. Ss ww una heka ngapi mpaka sasa. Hizi taasisi ziliamka wakati ww ubeti Arsenal achukue ligi kuu
 
Kwani raia wanapovamia maeneo ya jeshi au ardhi za wawekezaji au watu wengine, ardhi sehemu zingine inakuwa imekwisha?
Kwani hao raia hawajaona hayo maeneo ambayo taasisi za dini zinahodhi
 
Tena kwa kuongezea, taasisi za Kiislam ndiyo zinahodhi maeneo makubwa makubwa kila sehemu Tanzania hii, kuliko taasisi yoyote ya kidini Tanzania, serikali ikazirudishe wapewe wananchi.
Maskini,aibu naona mimi!
 
Mmejenga tumisikiti wala hamna mpango wa kujenda shule wana vyuo wala hospital nyie maeneo ya nini.

Hao wenye maeneo walijenga pori wakaendeleza watu ndio wakawafuata hukohuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…