YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Tanzania ni robo tu ya nchi ndio ina watu wenye shughuli na makazi asilimia 75 ya ardhi yote mfano Tanzania bara ni mapori matupu yasiyotumika kwa chochote iwe kilimo,ufugaji wala makaziWew umenyimwa kuhold jamani
Watu hawataki kuanzisha maisha kwenye mamilioni ya eka za mapori wNakomaa na visehemu vidogo vidogo.vya mijini hasa
Utasikia ohh yule Ms ekari yote hayo mjini au karibu na mji serikali ichukue!!
Ndiko mleta maada naona ndio.mlengo wake
Jiji na miji hutakiwa kupumua pia kwa kuwa na open space undeveloped area.Hizo ni.pua za mji au jiji kupumua na watu kuvuta hewa safi
Haifai jiji au mji kuwa kila eneo ni.mijengo tu
Tuwashukuru hao washika maeneo makubwa na kuweka kibanda tu.Na tuwaombee kwa Mungu wasije nao kupata tamaa ya kuweka majengo .Miji na majiji yayajaa pollution ambayo hakutakuwa na eneo la ku I absorb
Concept ya mleta maana haiko sasa from environmental point of view.Anatak kila eneo aone mi structure ya msjengo ndio maana anasema maeneo kama hayo yako idle!! Hayako Idle yako busy ku safisha hewa ya Ukaa