Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu.

Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya majeshi yetu na raia kuhusu ardhi.

Kwanini serikali isizirudishe hizo ardhi na kuwapa raia?

. Maeneo ya mashambani wapewe wenye kuhitaji kulima japo eka mbili mbili. Wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji.

Maeneo ya maporini wapewe wafugaji waanze kufundishwa kupanda majani bora ya mifugo kama alfalfa na mengineyo, nao wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwaguliaji. (irrigation). Wakafuge huko badala ya kuwa wahamahamaji, kurandaranda Tanzania nzima wskitafuta majani ya mifugo yao.

Maeneo ys kuishi watu wapewe raia wajenge.

Hii utaendana vizuri na mpango wa mama Samia wa BBT.

Nawakilisha.
Nyie mnataka ardhi kubwa ya nini wakati keshokutwa mnakwenda kupewa bikra 7 ughaibuni?
 
AlhamduliLlah, leo Waislam wapo Arafa wakitimiza nguzo ya Uislam ya Haj.

Tusisahau leo ni siku ya kujiombea na kuwaombea Dua njema wengine wote, tulio hai na waliotangulia.

Pia tusisahau kuwaombea ndugu zetu wasio Waislam, asaa iwe heri nyoyo zao ziione nuru, warudi katika Uislam.

View attachment 2670498
 
Eneo la Taasisi ya dini Ni eneo la wananchi wote wa dini husika, ktk eneo Hilo!
Maana yake Hilo eneo Ni dogo kuliko unavyofikiria!
 
Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu.

Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya majeshi yetu na raia kuhusu ardhi.

Kwanini serikali isizirudishe hizo ardhi na kuwapa raia?

. Maeneo ya mashambani wapewe wenye kuhitaji kulima japo eka mbili mbili. Wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji.

Maeneo ya maporini wapewe wafugaji waanze kufundishwa kupanda majani bora ya mifugo kama alfalfa na mengineyo, nao wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwaguliaji. (irrigation). Wakafuge huko badala ya kuwa wahamahamaji, kurandaranda Tanzania nzima wskitafuta majani ya mifugo yao.

Maeneo ys kuishi watu wapewe raia wajenge.

Hii utaendana vizuri na mpango wa mama Samia wa BBT.

Nawakilisha.
Hata nyie waislam mlikuwa nayo sema sema mashekhe wenu wakawatapeli na kuyauza
 
Taasisi za dini zina hela. Tafuta hela

1. Unajua Magufuli amehodhi robo ya ardhi ya Jimbo la Bashungwa?

2. Unafahamu Sumaye alihodhi nusu ya ardhi ya wilaya ya Mvomero? Alinyang'anywa baada ya kuhamia chadema.
3. Unafahamu mama Anne Makindq ana mahekari ya ardhi kule Bagamoyo?
4. Unaelewa kwamba maeneo mengi yanayotwaliwa na serikali kwa fidia kubwa ili kuweka EPZ mkoani Pwani yanamilikiwa na nani?

5. Unajua kuwa rais Samia ana eneo kubwa Sana Bagamoyo?

6. Unaelewa kuwa Bashe ana maekari ya ardhi Morogoro ambayo ameyafanya kuwa ranch ya mifugo yake ?
7. Umelisikia sakata la Mpina hivi karibuni? Amehodhi ardhi ya vijiji 3.
Wewe una shida tu na wakatoliki. Tunafahamu mna conspiracy theories zenu mnajishtukia kisa wamewazidi. Hawakumdhulumu mtu, na nyie si mhodhi? Kwani shida ipo wapi? Laanatullah
 
Hata nyie waislam mlikuwa nayo sema sema mashekhe wenu wakawatapeli na kuyauza
Inawezekana kweli, lakini nijuavyo mimi hao walikuwa "Mashekhe" wa Nyerere siyo waliochaguliwa na Waislaam.

Ushahidi wangu huu hapa chini:

Shenzi zao hao mashekhe watakuwa walikuwa wakristo
 
Unaongelea "nyie" ndiyo kina nani hao?
Nyie wavaa suruali fupi na hijab. Hapo kale hata nyie mlipewa/mlihodhi maeneo makubwa lakini kwa bongo lala zenu mkawa mnakimbizana kuwauzia kina Manji na wengine ndio maana huko kwenu migogoro hiyo haiishi
 
Shenzi zao hao mashekhe watakuwa walikuwa wakristo
Walikuwa ni Waislam waliokuwa na tamaa zao binafsi, hasad, naamini walikuwa na mpaka sasa wapo wengi Bakwata. Bakwata ni chombo cha serikali kilichoanzishwa na Nyerere, Muislam mwenye kufata Uislam kwa kumcha (kumuogopa) Allah, hakai pale aytajiona kabisa anakwenda kinyume na Uislam.

Hakuna cha Mufti Simba waka Chui, wote ni mafisi tu humo, kazi yao kuokoteza mizoga na mifupa ya ndugu zao wlio wafu.

Juzi juzi walimuita Sheikh Issa wa Masjid maamour wakampa kamati ya kupitia mahesabu, aliyoyakuta huko mwenyewe kaamuwa kuachia ngazi. Unafahamu kwanini>

Siyo nyingine, sasa yeye ndgedere aamuwe kesi ya nyani? Maan Sheikh Issa wanaomjuwa wanafahamu kuwa yeye nye ni mtumwa wa serikali katiaka ma informer wa (UWT) toka zamani sana,

Hilo aliwahi kusema Spearman, rafiki yake alliyemuingiza mjini Sheikh Issa.Huyu Spear alisilimu akawa anajuta sana mambo ya ujahilia aliyokuwa akiyafanya.

Jana sijuwi juzi nilikumbusha kisa alichopigwa kichwa Mbowe ujanani akasema kapigwa tofari, huy spear kwa vijana wa Dar, alikuwa ni katika kundi la kina vijana waliotokea Mwanza, lakina Sudi, Khalifa , SAedou, spear alikuwa mpigapiga picha mitaani madisco, na ma kwenye masherehe. Nnachompendea spear, ni kijana aliyekuwa anajituma na ana akili sana, sema hawa kina Issa ndiyo walikuwa wnampoteza, yeye kasilimu aachane na mambo ya kijinga akawakuta Waislm kinaIssa wanapiga mipango ya kupiga madili kwa kutapeli.

Namfahamu sana huyu mambo yake huyu Issa na kupitia Spear na kwengine.

Spear alikuja kumuoa rafiki yangu, binti moja la kichotara la Shinyanga na Iringa huko, akmsilimisha akampeleka kuhiji, siku hizo spear hapigi picha tena kapata line za National Housinhg.

Dar kuna watu jamani.
 
Kwanini tusimshauri mama Samia aivunjilie mbali bakwata maana iliundwa na Nyerere mkristo kuwakandamiza waislam
 
Nyie wavaa suruali fupi na hijab. Hapo kale hata nyie mlipewa/mlihodhi maeneo makubwa lakini kwa bongo lala zenu mkawa mnakimbizana kuwauzia kina Manji na wengine ndio maana huko kwenu migogoro hiyo haiishi
nalosema kweli lakini umeliandika kishabiki na kwa lugha ya mauzdhi kama vile kuvaa "kobazi" ni dhambi, sasa unataka kufananisha "kobazi" na kandambili au matairi uliyokuwa unayavaa kwenu huko?

Kobazi = makubadhi.

Naona hata kuandika vizuri huelewi kwa ujinga uliokujaa. Makubadhi si mchezo kijana ni "leather sandals", huwezi kununuwa mjinga mjinga usiyeijuwa quality. Hayo makubadhi ndiyoyamemtajirisha Bakhresa kama ulikuwa huelewi, ndiyo iklikuwa bishara yake hiyo.

Halafu unashangaa kanzu fupi, hebu tazama pich za Yesu kavaa kanzu ndefu? Hiyo wanaovaa wanafata Sunna ya Yessu, isikushangaze.

Huwashangai mama zako na dada zako mnaowavalisha vinguo vinaitwa "mini" vya kuwawacha nusu uchi na kubana makalio? Usiwe "biased", hata sijuwi kama unaelewa maana yake. Ndiyo utaitafuta maana yake upate elimu japo ndogo kwa sababu yangu.

Makubadhi tu yamekustuwa hivyo, ushawahi kuyaona au kuyasikia matarawanda?

Hapana siyo sisi, hao walikuwa vibaraka wa Bakwata wa Nyerere.
 
Kwani hao wengine walikatazwa kuhodhi ardhi...

Ova
 
Tena kwa kuongezea, taasisi za Kiislam ndiyo zinahodhi maeneo makubwa makubwa kila sehemu Tanzania hii, kuliko taasisi yoyote ya kidini Tanzania, serikali ikazirudishe wapewe wananchi.
Taasisi za kiislamu zinahodhi eneo gani kubwa Tanzania?

Amandla...
 
Zimenyang'anywa na serikali zote, mfano mzuri ni eneo lote la Ikulu na Ocean Road Hospital Dar. Ni eneo la Waislam hilo.
 
Taasisi za kiislamu zinahodhi eneo gani kubwa Tanzania?

Amandla...
maeneo bado yapo mengi tu waende wahodhi sasaivi, wasisubiri watu waliochangamka wahodhi ili baadaye watoto wao waje walaumu kwamba fulani ndio anahodhi.
 
Hakuna tofauti kati ya Watanzania na Mifugo mbali mbali.
 
Back
Top Bottom