Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Hakuna kanisa linaloiywa Roman Catholic Church Dunia.
Kanisa linaitwa Katholiki
Leo utalikana kanisa:

Roman Catholic Archdiocese of Dar-es …

The Roman Catholic Archdiocese of Dar-es-Salaam (Latin: Archidioecesis Daressalaamensis) is a Latin Metropolitan archdiocese of the Roman Catholic Church in Tanzania. The archdiocese's motherchurch and seat of its archbishop is St. Joseph's Cathedral. The Archdiocese has been led by Archbishop … See more
 
Wikipedia siyo relevant source ya taarifa. Niletee hata angalau barua yoyote iliyoandikwa Roman Catholic
 
Hadi ile miti mitaa ya ikulu,karimjee etc walipanda wajerumani

Ova
Tatizo miji mingi huanzishwa around makanisa yalikojengwa yalikoweka huduma za jamii

Makanisa hujitahidi mno kuchukua maeneo.makubwa maporini kusiko hata na watu sababu sio rahisi kupata Ardhi kubwa mijini

Kwa upumbavu wa baadhi ya wanasiasa baadaye wakiona kumejengeka around wanaanza kubweka ohh makanisa yaachie ardhi kubwa wanahodhi

Kuna mipori kibao serikali iwaambie wananchi na yenyewe waende huko wakaanzishe makazi na ofisi zao

Sio sahihi kutwa kukomalia makanisa Mipori mbona iko kibao
 
Mkiambiwa pangeni mipango ya muda mrefu mnaona ni ujinga.
Mkiambiwa nendeni mpate elimu dunia iliyo bora, mnaona ujinga.

Kwa taarifa yako,taasisi za dini (Hasa Za Kikristo) ndizo zinazoongoza katika kuhudumia Watanzania wengi masikini (hasa kwenye sekta ya afya).
Nacho wakubalia hawa jamaa hawa hodhi ardhi bila kuiendeleza, Tofauti na Baaz ya Viongoz
 
Kwani ardhi imeisha mpaka wapewe. Mbona Tanzania ardhi ipo kubwa tu ni bikra kabisa au wivu wako tu. Sasa tuzungumzia bandari imeuzwa kingese sana
Anataka ardhi ambayo wenzake wameiendeleza kwa miaka 100. Hataki kutafta pori na yeye aliendeleze
 
Hadi ile miti mitaa ya ikulu,karimjee etc walipanda wajerumani

Ova
Tatizo baadhi ya wanasisa ni kupenda free ride

Una develop.wao wanakuja kutaifisha ulichodevelop.badala ya kuwa original kudevelop.vyao

Wanasubiri makanisa yaipe ardhi yao thamani halafu wao waitake ni upumbavu

Serikali iwe na Mikakati ya ku develop mipori isiyo na thamani ardhi yake.kuifanya iwe na thamani badala ya kusubiri kuvizia Ardhi ilifanywa ya thamani na kanisa

Ni sera za kitoto
 
Wikipedia siyo relevant source ya taarifa. Niletee hata angalau barua yoyote iliyoandikwa Roman Catholic
AlhamduliLllah nilisema utalikataa kanis teh teh teh.a, haijapita hata dakika.

Maana ile page ya wikipedia huwa anaandika FaizaFoxy?

Wewe umeshasema hakuna "Roman Catholic Church", sina haja ya kukubishia. MImi halinihusu.
 
Wewe unaweza kujiita mzanzibari lakini ni uraia huitwi mzanzibari bali mtanzania

Angalia picha hapo chini ya sample za kanisa Katholiki hutakitana na Neno Roman
Screenshot_20230630-190825_1.jpg
 
Wewe unaweza kujiita mzanzibari lakini ni uraia huitwi mzanzibari bali mtanzania

Angalia picha hapo chini ya sample za kanisa Katholiki hutakitana na Neno RomanView attachment 2674400
Kumbe ni hivyo, sasa tatizo nini?

Nimekwambia wewe umeshakataa hakuna "Roman Catholic Church", mimi nani nipinge?

Mimi likiwepo lisiwepo halinihusu. Mimi ni Muislam.
 
ni ukweli mtupu hasa roman catholic wanaongoza kuwa na maeneo makubwa ambayo ayatumiki,haiwezekani sisi tukosea ardhi wao wajimilikishe maekari na maekari
 
ni ukweli mtupu hasa roman catholic wanaongoza kuwa na maeneo makubwa ambayo ayatumiki,haiwezekani sisi tukosea ardhi wao wajimilikishe maekari na maekari
Halafu juzi nimesikia wafugaji wanahangaika hawana maeneo ya kulishia mifugo yao.

Maeneo yote waliyochukuwa hawa Kanisa la Kirumi, yarudishwe kwa Watanzania.
 
Vipi kanisa la Kirumi lenye makao makuu Italy, Vatikano lihodhi ardhi wakati wa Tanzania wanahangaika kulisha mifugo yao?
 
Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu.

Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya majeshi yetu na raia kuhusu ardhi.

Kwanini serikali isizirudishe hizo ardhi na kuwapa raia?

. Maeneo ya mashambani wapewe wenye kuhitaji kulima japo eka mbili mbili. Wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji.

Maeneo ya maporini wapewe wafugaji waanze kufundishwa kupanda majani bora ya mifugo kama alfalfa na mengineyo, nao wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwaguliaji. (irrigation). Wakafuge huko badala ya kuwa wahamahamaji, kurandaranda Tanzania nzima wskitafuta majani ya mifugo yao.

Maeneo ys kuishi watu wapewe raia wajenge.

Hii utaendana vizuri na mpango wa mama Samia wa BBT.

Nawakilisha.
Pumba wewe. Wenzenu hadi sasa wananua maeneo nyie endeleeni kuoa wake wanne na kusubiri misaada mjengewe misikiti
 
nyerere ndio aliyewapa viwanja vikubwa makanisa na kudhulumu mali za waislamu na kuipa NHC ndio maana mpaka leo na mpaka mwisho wa dunia watanzania wanaoneana kila sekta na ufisadi utaendelea dhambi itawatafuna sana, Bugando hospital nyerere aliigawa kwa wagalatia na mshahara unatoka serikalini, nyerere akatuletea bakwata kuuwa uislamu na kuwafunga waislamu na kunyamaza kimya pale wakristo wanahodhi kila kitu bakwata ni wagalatia waliovishwa kazu na kilemba
 
Mwambie aje Bugando tu aone Kanda ya ziwa inavyopata huduma wakati Hospitali ya Seko Toure ya serikali ipo hoi!

kwa taarifa yako Bugando ilikuwa hospitali ya serikali kwa msaada wa wajerumani nyerere akawapa wakristo na mshahara mpaka leo unatoka serikalini WHY?
 
Baba Ako anaheka ngapi na yeye anyanganywe
Huo n upumbavu unakusumbua kama kunamzungu nchini anamilik hekar 1000000
Na sio mzawa...af wew unaanz kuwaz dini
Tafuta Hela uone kama humilk had kanis lako Tena lenye hekar hat 200
 
nyerere ndio aliyewapa viwanja vikubwa makanisa na kudhulumu mali za waislamu na kuipa NHC ndio maana mpaka leo na mpaka mwisho wa dunia watanzania wanaoneana kila sekta na ufisadi utaendelea dhambi itawatafuna sana, Bugando hospital nyerere aliigawa kwa wagalatia na mshahara unatoka serikalini, nyerere akatuletea bakwata kuuwa uislamu na kuwafunga waislamu na kunyamaza kimya pale wakristo wanahodhi kila kitu bakwata ni wagalatia waliovishwa kazu na kilemba
Pale unapotetea dini baada ya kujib hoja
😀😀😀
 
Waislamu msipobadili fikra na mtazamo, miaka 200 ijayo mtakuw na hali mbaya sana. Sas hiv mnajifunza karet huko madrasa ili kupambana na ukristo hahahhaha, mnasahau kuwa Dunia inaenda kweny sayansi na teknolojia sijui hilo teke utampiga nani..
 
Back
Top Bottom