Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?


Ninyi si mlisema mnapewa taarifa na Kigogo? Hahahaha


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ninasikitishwa sana na ukimya wa mamlaka kutotupa updates kama ilivyokuwa hapo awali. Hali hii ya 'covid-19 updates lockdown' ni hatari sana kuliko covid-19 yenyewe. Taarifa kwa wakati inafanya watu kuwa makini zaidi. Tafadhali mamlaka badilikeni. Tusiwe kama China au Korea kaskazini ambao wananchi wao hunyimwa taarifa sahihi kwa wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe binafsi hali yako ya Corona ni ipi?
a. umeambukizwa
b. ni mzima
c. uliugua na kupona
d. uliwekwa karantini ukaruhusiwa
e. hujawahi kupimwa corona
f. yote hapo juu siyo sahihi
 
Pengine na wewe unalojukumu la kumtangaza ndugu yako aliyeambukizwa ili asiambikize wengine kama serikali inaficha. Vinginevyo na wewe unaficha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani na wafuasi wake wanataka kusikia mitazamo hasi tu na wala si chanya

Furaha ya wafuasi wa shetani ni kisikia mnaambiwa watu kadhaa wamefariki

Ukitaka kumchanganya shetani na wafuasi wake basi tangaza yaliyo mema huwa hapendi kusikia kabisa watu wa MUNGU wakifurahia

Tusiruhusu shetani na wafuasi wake washinde.
 
Kutangaza tu mazuri haiondoi uhalisia kuwa watu hawafi. Hivi hizo buku 7 mnazopewa kuja kuandika uharo huku, hamjui kuwa ni jasho letu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni nywanoko kabisa hivi unaweza kuandika upuuzi kama huu ukiwa na akili zako timamu

Lakini sikulaumu maana ubongo wako haupo kichwani upo kwenye wowowo yako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutangaza tu mazuri haiondoi uhalisia kuwa watu hawafi. Hivi hizo buku 7 mnazopewa kuja kuandika uharo huku, hamjui kuwa ni jasho letu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupenda kutangaziwa watu kufa ni dalili ya uchawi Kama alivyo seme mleta mada utalilia vp usikie watu wanakufa? Kama si uchawi nini? Ukisikia vifo ndio Corona itakimbia ama kweli wafuasi wa shetani wako wengi
 
Kizazi Cha nyoka ndio kinapenda kusikia/kuona majanga
 
Akili pana tena yenye maono ndo inaweza elewa andiko lako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
achana na hyo biashara ya kuuza papa ndo maana akili yako inawaza mavi mavi, huyo shetani ni bibi yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…