Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Usher-smithViongozi wanaogopa kusikia ukweli , wananchi hatuogopi ukweli.
Hapo sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imenenwa kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usher-smithViongozi wanaogopa kusikia ukweli , wananchi hatuogopi ukweli.
Hapo sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Malaria na corona zinafanana?we mbona unapenda kutukanwa?Alishindwa kutumia akili. Mbona wagonjwa wa malaria hawatangazwi??? Huwezi kukopy kila kitu
Tokea tarehe 22/04/2020 Rais wetu, John Magufuli, alipofanya kikao maalum kule Chato na viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kuhusiana na ugonjwa wa COVID 19, tumeshuhudia kimya kizito kwa upande wa mamlaka za utoaji taarifa wa Tanzania Bara ya maambukizi mapya na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo
Tukumbuke pia katika kikao hicho tulimsikia Rais wetu, akipiga "mkwara" mzito, kuwa haridhishwi na namna taarifa zinazotolewa na wizara ya Afya, kuhusu maambukizi mapya na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo wa corona
Tulishuhudia pia akifanya "mini reshuffle" kwa kumwondoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara ya Afya na kumteua mwingine
Tumeshuhudia waziri wa Afya, Ummy Mawalimu ambaye amekuwa akitupa "updates" za ugonjwa huo, akipata ghafla "kigugumizi" baada ya kikao hicho cha Mheshimiwa Rais kwa kutoweza tena kutupa taarifa zinazohusiana na ugonjwa huo
Ndipo hapo tunapomuuliza waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, nini kimekutokea hadi usitishe kutupa "updates" za maendeleo ya ugonjwa huo nchini?
Tunashuhudua kwenye nchi jirani za Zanzibar, Kenya na nchi nyingine za mbali za Uingereza na Marekani wakitoa "updates" za ugonjwa huo kila siku.
Tunafahamu pia kuwa Taifa la Tanzania limetoka kwenye maombi mazito ya kumlilia Mungu wetu atuepeshie na janga hili la corona.
Ikiwa hakuna maambukizi mapya wala vifo kutokana na maombi tuliyoyafaya kwa Mungu, basi ni vyema waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, akawa anatupatia "daily briefing" na sisi wananchi turejeshe utukufu kwa Mungu wetu, kwa kutuondolea janga hili la corona
Kwa kuendelea kukaa kimya kwa serikali, kunatoa mwanya kwa wananchi wasiolitakia mema Taifa letu, kwa kutangaza wao taarifa wanazozijua wao za maambukizi mapya na vifo vinavyotokea nchini kutokana na ugonjwa huo wa corona
Naziomba mamlaka zinazohusika za wizara ya Afya zitujibie utata huu wa suala nyeti sana la ugonjwa wa corona hapa nchini, ili sisi wananchi zituondolee hofu kubwa inayotukabili hivi sasa kuwa wananchi wa Taifa hili, hususani wa Jiji la Dar, wanapukutika kwa wingi sana
Ni lazima pia tuwajulishe watawala wetu kuwa kupewa taarifa za maendeleo ya ugonjwa huu wa corona siyo hisani kwa watawala wetu, bali ni kitu cha LAZIMA kwa wananchi wake
Ninasikitishwa sana na ukimya wa mamlaka kutotupa updates kama ilivyokuwa hapo awali. Hali hii ya 'covid-19 updates lockdown' ni hatari sana kuliko covid-19 yenyewe. Taarifa kwa wakati inafanya watu kuwa makini zaidi. Tafadhali mamlaka badilikeni. Tusiwe kama China au Korea kaskazini ambao wananchi wao hunyimwa taarifa sahihi kwa wakati.Tokea tarehe 22/04/2020 Rais wetu, John Magufuli, alipofanya kikao maalum kule Chato na viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kuhusiana na ugonjwa wa COVID 19, tumeshuhudia kimya kizito kwa upande wa mamlaka za utoaji taarifa wa Tanzania Bara ya maambukizi mapya na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo
Tukumbuke pia katika kikao hicho tulimsikia Rais wetu, akipiga "mkwara" mzito, kuwa haridhishwi na namna taarifa zinazotolewa na wizara ya Afya, kuhusu maambukizi mapya na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo wa corona
Tulishuhudia pia akifanya "mini reshuffle" kwa kumwondoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara ya Afya na kumteua mwingine
Tumeshuhudia waziri wa Afya, Ummy Mawalimu ambaye amekuwa akitupa "updates" za ugonjwa huo, akipata ghafla "kigugumizi" baada ya kikao hicho cha Mheshimiwa Rais kwa kutoweza tena kutupa taarifa zinazohusiana na ugonjwa huo
Ndipo hapo tunapomuuliza waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, nini kimekutokea hadi usitishe kutupa "updates" za maendeleo ya ugonjwa huo nchini?
Tunashuhudua kwenye nchi jirani za Zanzibar, Kenya na nchi nyingine za mbali za Uingereza na Marekani wakitoa "updates" za ugonjwa huo kila siku.
Tunafahamu pia kuwa Taifa la Tanzania limetoka kwenye maombi mazito ya kumlilia Mungu wetu atuepeshie na janga hili la corona.
Ikiwa hakuna maambukizi mapya wala vifo kutokana na maombi tuliyoyafaya kwa Mungu, basi ni vyema waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, akawa anatupatia "daily briefing" na sisi wananchi turejeshe utukufu kwa Mungu wetu, kwa kutuondolea janga hili la corona
Kwa kuendelea kukaa kimya kwa serikali, kunatoa mwanya kwa wananchi wasiolitakia mema Taifa letu, kwa kutangaza wao taarifa wanazozijua wao za maambukizi mapya na vifo vinavyotokea nchini kutokana na ugonjwa huo wa corona
Naziomba mamlaka zinazohusika za wizara ya Afya zitujibie utata huu wa suala nyeti sana la ugonjwa wa corona hapa nchini, ili sisi wananchi zituondolee hofu kubwa inayotukabili hivi sasa kuwa wananchi wa Taifa hili, hususani wa Jiji la Dar, wanapukutika kwa wingi sana
Ni lazima pia tuwajulishe watawala wetu kuwa kupewa taarifa za maendeleo ya ugonjwa huu wa corona siyo hisani kwa watawala wetu, bali ni kitu cha LAZIMA kwa wananchi wake
computerarsenal
Mbona wako zaidi ya 58 au umekosea kuhesabu?View attachment 1434094
Dada usiku wa kuamkia leo makaburi ya ununio kwa kondo wamezikwa Watu Zaidi ya 58 waliokufa kwa corona.
wewe binafsi hali yako ya Corona ni ipi?Tokea tarehe 22/04/2020 Rais wetu, John Magufuli, alipofanya kikao maalum kule Chato na viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kuhusiana na ugonjwa wa COVID 19, tumeshuhudia kimya kizito kwa upande wa mamlaka za utoaji taarifa wa Tanzania Bara ya maambukizi mapya na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo
Tukumbuke pia katika kikao hicho tulimsikia Rais wetu, akipiga "mkwara" mzito, kuwa haridhishwi na namna taarifa zinazotolewa na wizara ya Afya, kuhusu maambukizi mapya na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo wa corona
Tulishuhudia pia akifanya "mini reshuffle" kwa kumwondoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara ya Afya na kumteua mwingine
Tumeshuhudia waziri wa Afya, Ummy Mawalimu ambaye amekuwa akitupa "updates" za ugonjwa huo, akipata ghafla "kigugumizi" baada ya kikao hicho cha Mheshimiwa Rais kwa kutoweza tena kutupa taarifa zinazohusiana na ugonjwa huo
Ndipo hapo tunapomuuliza waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, nini kimekutokea hadi usitishe kutupa "updates" za maendeleo ya ugonjwa huo nchini?
Tunashuhudua kwenye nchi jirani za Zanzibar, Kenya na nchi nyingine za mbali za Uingereza na Marekani wakitoa "updates" za ugonjwa huo kila siku.
Tunafahamu pia kuwa Taifa la Tanzania limetoka kwenye maombi mazito ya kumlilia Mungu wetu atuepeshie na janga hili la corona.
Ikiwa hakuna maambukizi mapya wala vifo kutokana na maombi tuliyoyafanya kwa Mungu, basi ni vyema waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, akawa anatupatia "daily briefing" na sisi wananchi turejeshe utukufu kwa Mungu wetu, kwa kutuondolea janga hili la corona
Kwa kuendelea kukaa kimya kwa serikali, kunatoa mwanya kwa wananchi wasiolitakia mema Taifa letu, kwa kutangaza wao taarifa wanazozijua wao za maambukizi mapya na vifo vinavyotokea nchini kutokana na ugonjwa huo wa corona
Naziomba mamlaka zinazohusika za wizara ya Afya zitujibie utata huu wa suala nyeti sana la ugonjwa wa corona hapa nchini, ili sisi wananchi zituondolee hofu kubwa inayotukabili hivi sasa kuwa wananchi wa Taifa hili, hususani wa Jiji la Dar, kuwa wanapukutika kwa wingi sana
Ni lazima pia tuwajulishe watawala wetu kuwa kupewa taarifa za maendeleo ya ugonjwa huu wa corona siyo hisani kwa watawala wetu, bali ni kitu cha LAZIMA kwa wananchi wake
Pengine na wewe unalojukumu la kumtangaza ndugu yako aliyeambukizwa ili asiambikize wengine kama serikali inaficha. Vinginevyo na wewe unaficha.Ni wajibu wetu wananchi kuzipata taarifa hizo, kwa kuwa wanaoambukizwa na ugonjwa huo wa corona ni ndugu na jamaa zetu
Vile vile ni sharti na takwa mojawapo la WHO kuwa ni lazima kuwepo na "transparency" katika kutangaza ugonjwa huo kwa wananchi wote
Tukumbuke pia ule msemo unaosema mficha ficha maradhi mwisho kilio kitamwumbua.........
Kutangaza tu mazuri haiondoi uhalisia kuwa watu hawafi. Hivi hizo buku 7 mnazopewa kuja kuandika uharo huku, hamjui kuwa ni jasho letu?Shetani na wafuasi wake wanataka kusikia mitazamo hasi tu na wala si chanya
Furaha ya wafuasi wa shetani ni kisikia mnaambiwa watu kadhaa wamefariki
Ukitaka kumchanganya shetani na wafuasi wake basi tangaza yaliyo mema huwa hapendi kusikia kabisa watu wa MUNGU wakifurahia
Tusiruhusu shetani na wafuasi wake washinde.
Kupenda kutangaziwa watu kufa ni dalili ya uchawi Kama alivyo seme mleta mada utalilia vp usikie watu wanakufa? Kama si uchawi nini? Ukisikia vifo ndio Corona itakimbia ama kweli wafuasi wa shetani wako wengiKutangaza tu mazuri haiondoi uhalisia kuwa watu hawafi. Hivi hizo buku 7 mnazopewa kuja kuandika uharo huku, hamjui kuwa ni jasho letu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili pana tena yenye maono ndo inaweza elewa andiko lako.Shetani na wafuasi wake wanataka kusikia mitazamo hasi tu na wala si chanya
Furaha ya wafuasi wa shetani ni kisikia mnaambiwa watu kadhaa wamefariki
Ukitaka kumchanganya shetani na wafuasi wake basi tangaza yaliyo mema huwa hapendi kusikia kabisa watu wa MUNGU wakifurahia
Tusiruhusu shetani na wafuasi wake washinde.
achana na hyo biashara ya kuuza papa ndo maana akili yako inawaza mavi mavi, huyo shetani ni bibi yako?Shetani na wafuasi wake wanataka kusikia mitazamo hasi tu na wala si chanya