Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,829
Reaction score
38,912
Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa!

Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex.

Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo la wanawake walioko kwenye ndoa wanasema kabisa hawajisikii hamu ya kusex.
Hili suala mbona limekuwa serious sana?
 
1742070362532.jpg
 
Mtu pekee ambae anaweza kusababisha mwanamke apende kunyanduliwa ni mwanaume. Mim nishakutana na wanawake km hao ambao mwanzo anakuambia happened kunyanduana sana, anasema anaweza kuka mwez au miezi 3 bila sex. Ila nikiwa nae baada ya muda mambo yanabadilika, yeye ndo anakuwa addicted wa sex.
 
Anakuwa yupo kwenye ndoa? Au ni hawa unakutana nao weekend to weekend?
 
Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa!

Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex.

Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo la wanawake walioko kwenye ndoa wanasema kabisa hawajisikii hamu ya kusex.
Hili suala mbona limekuwa serious sana?
Hili tatizo kwa uzoefu wangu lipo sana kwa wanawake hawa career women na hii inasababishwa kwanza uwezo wa kiuchumi inafanya wasiwe tegemezi kwa waume zao
Pili uwezo wa kiuchumi unapokuwa mkubwa kwa binaadamu the more unatumia artificial things ambazo zinaharibu hormonal balance kwenye mwili
Na kukosa muda wa kufanya mazoezi na akili muda mwingi kufocus kwenye mambo ya kazi na maendeleo na kusahau wajibu wao kama wake
Its totally a different case ukienda uswazi watu wana nyege sana na ngumu kupita siku mbili hajafanyiziwa maana hakuna anachowaza zaidi ya hela ya kula na kukunwa ndio starehe ya maskini, ndio maana maskini wanazaa watoto wengi sana
 
Anakuwa yupo kwenye ndoa? Au ni hawa unakutana nao weekend to w

Anakuwa yupo kwenye ndoa? Au ni hawa unakutana nao weekend to weekend?
Kwa wanawake waliopo kwenye ndoa Mara nyingi ni changamoto za ndoa ndzo zinasababisha wakose hamu ya sex. Ndo nyingi Sasa hivi zina changamoto.
Unajua mwanamke ili awe na hamu ya sex inatakiwa akili yake iwe imetulia kabisa tofaut na mwanaume.
 
Mbona kama hamu ya kupenda kufanya mapenzi ndo imeongezeka
 
Back
Top Bottom