LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Ni haya madawa ya uzazi wa mpango ndio yanawakosesha hamu ya kufanya mapenzi. Unakuta demu hana hamu unamng'ang'ania tu anaamua kukupa na unapiga bao moja tu la harakahara la pili hataki anakusukumia mbali hataki tena kuendelea na libeneke. Anakupa kwa shingo upande ili tu achukue hela. Ukute ni mke utaishia kumbamiza mabazi kitandani kwa hasira kwa nini hataki kutoa uroda