Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga na sio salama..🎶🎶🎶🎶Mbona jaman Kila siku wanawake eh 😹😹💔
Mimi nazani tatizo kubwa ni ajenda yaHili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa!
Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex.
Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo la wanawake walioko kwenye ndoa wanasema kabisa hawajisikii hamu ya kusex.
Hili suala mbona limekuwa serious sana?
Mimi nazani hii ni ajenda ya adui shetani katika kuitawala Dunia, hofu ya Mungu kupungua na wanawake kuiacha asili Yao(feminist), ndio vyanzo vikuu ila wakirudi kwenye asili Yao ya kimungu hawawezi kaa bila sex Kwa muda mrefu hivyoHili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa!
Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex.
Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo la wanawake walioko kwenye ndoa wanasema kabisa hawajisikii hamu ya kusex.
Hili suala mbona limekuwa serious sana?
Mie kukaa hata wiki bila kunjunjana siwezi Uncle😎😎Toa ushuhuda mpwa!
Ni kweli na wametuingiza kwenye tabia ya kuwa na michepuko bila kupenda.Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa!
Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex.
Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo la wanawake walioko kwenye ndoa wanasema kabisa hawajisikii hamu ya kusex.
Hili suala mbona limekuwa serious sana?
Ukimpata mwenye kausha damu Ndiyo utajutaa, wengine wana marejesho ya kila siku SI chini ya bk30 Ndiyo hiyo inaitwa mwana ukome. bado marejesho ya wiki na ya mwezi hapo vipi?Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa!
Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex.
Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo la wanawake walioko kwenye ndoa wanasema kabisa hawajisikii hamu ya kusex.
Hili suala mbona limekuwa serious sana?
Uko sahihi hata mwanaume ambaye huna pesa confidence inakuwa haipo ngoja upaate pesa hadi mtoto bembea, kikikikiKwa utafiti wangu upo hivi
Wanawake waliolewa na ambao ndoa hazina misuko suko hawa libido ipo juu.
Ila kwa wanawake ambao wapo mtaani , hawana ndoa , na wanasumbuliwa na madeni, kausha damu n.k hawa wanaweza kukaa muda mrefu bila kufanya ngono.
Huu ni utafiti ambao niliufanya
Kuwa mwanamke mwenye maisha magumu , msongo wa mawazo madeni ya kausha damu anaweza kukosa hamu ya kufanya ngono ukilinganisha na mwanaume mwenye hayo matatizo
In zuchu's voice 😹Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga na sio salama..🎶🎶🎶🎶
mh nitafute tafadhaliMambo yamekuwa mengi sana,ndoa zilishajifia tunaishi bora liende hisia zinatoka wapi.
Mimi hata mwaka sawa tu.
Hao michepuko nguvu wanazitoa wapi kwaniNi kweli na wametuingiza kwenye tabia ya kuwa na michepuko bila kupenda.
Wamezaliwa nazoHao michepuko nguvu wanazitoa wapi kwani
Hakuna kahaba anayefanya mapenzi kwa hamu, hata kama hatumii zile contraceptives, mwanamke hupata hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanaume mwenye hisia naye tu, ila kibiashara hawezi pata hamuHata yale makahaba, machangudoa na madada poa huwa hayana hamu. Yanafanya tu ili yapate hela ila hayafanyi kwa kuwa yana hamu na penzi, homoni zimevurugwa na dawa za kuzuia mimba
KumbeWamezaliwa nazo