Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

Hakuna kahaba anayefanya mapenzi kwa hamu, hata kama hatumii zile contraceptives, mwanamke hupata hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanaume mwenye hisia naye tu, ila kibiashara hawezi pata hamu
na ndio maana ni matapeli wanaotumia penzi feki kutapeli wanaume wanaoingia kwenye anga zao, hela utatoa ila penzi hutapewa (hutaingiza kule) utatimuliwa kabla hujaingiza
 
Ntarudi...
 

Attachments

  • IMG_20250309_153955.jpg
    144.7 KB · Views: 36
UZI UFUNGWE
 
1. Migogoto ya ndoa
2. Hali mbaya ya maisha
3. Mume kukosa uaminifu
4. Marejeaho
 
Tupe siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…