Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

Vicoba & Kausha damu disease
 
Wanakula sana junk food, vya kukaanga kuliko michemsho na matunda
Ongezea na stress za madeni ya vikoba
 
Miezi 7 kidogo hivyo🤣🤣🤣🤣
 
😀😀hao watumiaji wa p2 miso na uzazi wa mpango daily?? Au unazungumzia wanawake gani
 
LIshe mbovu mkuu ,sukari na wanga shida sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…