Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

Sasa watu 200 unaleta hapa?? We jamaa una akili kichwani kweli?
Hiko kivuko kinachoenda kukarabatiwa unajua Capacity yake.
We jamaa maku kweli.
Embu nambie wewe kwa akili yako hicho kivuko cha magogoni kinabeba watu wangapi kwa trip moja?
 
Sasa watu 200 unaleta hapa?? We jamaa una akili kichwani kweli?
Hiko kivuko kinachoenda kukarabatiwa unajua Capacity yake.
We jamaa maku kweli.
Labda nikuongezee jambo! Unakumbuka ile meli iliyowekwa kwenye maji pale Mwanza? Inauwezo wakubeba abiria 1,200 na ukubwa wote ule kwa Trip moja sasa sijui we mv magogoni ulivyoambiwa inauwezo wa kubeba abiria 3,000 unajua kwa Trip? Utakuwa unaumwa wewe
 
Ni mambo ya Ajabu ,yalojaa wizi , Roho mbaya Kwa Watanzania , matumizi mabaya ya Fedha zetu, na kutuona Watanzania ni wajinga sana .

Lakini haya yote ni matokeo ya kuongozwa na Kiongozi mwepesi mwepesi, asiyemjuzi na mdadisi, ambaye yeye akiletewa jambo ni kutia wino tu!.

Bahati mbaya sana, Unakuta Hizi Pesa, watu wa TAKUKURU wanafungu lao, Usalama Wana lao, Vyombo vyetu vya Ulinzi ma Usalama nao wa lao, Viongozi wa Dini Wana lao, Wapinzani njaaz Wana lao , Kiongozi Mkuu naye ana lake '.

Tumejengewa madaraja ya mbao Kwa mamilion, tumejengewa vibanda Kwa ma milion, watu wameonba Trillion 11, watu wameingia mikatana na wahindi, wr mikatana ya kumonitor hali ya umeme nchini..

Mambo ya ovyo ovyo ovyooo..

Hivi Kwa akili ya haraka haraka, Kivuko kiloungwa Kwa Billion 8, Leo kinakarabatiwa Kwa Bilion 7??.

RAIS KWELI ??
Kivuko kipya ni Shilingi ngapi? It's better kitengenezwe kipya
 
Wote ni wala asali hutomsikia mtu yyte akiongelea hili awe mpinzani a.k.a Zitto k, Mbowe, lissu, Lipumba, n.k wanasema kipindi hiki msitegemee wataipinga serikali in zitto's voice...
 
J
Ni mambo ya Ajabu ,yalojaa wizi , Roho mbaya Kwa Watanzania , matumizi mabaya ya Fedha zetu, na kutuona Watanzania ni wajinga sana .

Lakini haya yote ni matokeo ya kuongozwa na Kiongozi mwepesi mwepesi, asiyemjuzi na mdadisi, ambaye yeye akiletewa jambo ni kutia wino tu!.

Bahati mbaya sana, Unakuta Hizi Pesa, watu wa TAKUKURU wanafungu lao, Usalama Wana lao, Vyombo vyetu vya Ulinzi ma Usalama nao wa lao, Viongozi wa Dini Wana lao, Wapinzani njaaz Wana lao , Kiongozi Mkuu naye ana lake '.

Tumejengewa madaraja ya mbao Kwa mamilion, tumejengewa vibanda Kwa ma milion, watu wameonba Trillion 11, watu wameingia mikatana na wahindi, wr mikatana ya kumonitor hali ya umeme nchini..

Mambo ya ovyo ovyo ovyooo..

Hivi Kwa akili ya haraka haraka, Kivuko kiloungwa Kwa Billion 8, Leo kinakarabatiwa Kwa Bilion 7??.

RAIS KWELI ??
Kwani kujenga daraja ni sh.ngapi?
 
Naomba tu aina ya wizi ule wa kipindi cha JK usijirudie jaman, tutapata Hyper inflation na siasa zetu zitakuwa very volatile.....
Mkuu, mbona kama ombi lako limechelewa sana? Discovery zimekuwa kama IST kwa sasa, GWagon kila kona etc...

Unaambiwa, lidude limejengwa kwa 8b from the scratch; leo wanalikarabati kwa 7b, unataka wizi upi tena?

Nadhani labda useme tumerudi kwenye muziki wa cassette, side B ndo inapiga sasa! Wametupilia mbali CD yetu
 
Trump hakukosea kuhusu Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani gharama za MV Magogoni kama kununua kimya, na hata MV KAZI kimekarabatiwa kwa fedha ndefu mno..! Nchi hii kuna vitu mpaka kuja kukaa sawa itachukua muda sana
 
Ni mambo ya Ajabu ,yalojaa wizi , Roho mbaya Kwa Watanzania , matumizi mabaya ya Fedha zetu, na kutuona Watanzania ni wajinga sana .

Lakini haya yote ni matokeo ya kuongozwa na Kiongozi mwepesi mwepesi, asiyemjuzi na mdadisi, ambaye yeye akiletewa jambo ni kutia wino tu!.

Bahati mbaya sana, Unakuta Hizi Pesa, watu wa TAKUKURU wanafungu lao, Usalama Wana lao, Vyombo vyetu vya Ulinzi ma Usalama nao wa lao, Viongozi wa Dini Wana lao, Wapinzani njaaz Wana lao , Kiongozi Mkuu naye ana lake '.

Tumejengewa madaraja ya mbao Kwa mamilion, tumejengewa vibanda Kwa ma milion, watu wameonba Trillion 11, watu wameingia mikatana na wahindi, wr mikatana ya kumonitor hali ya umeme nchini..

Mambo ya ovyo ovyo ovyooo..

Hivi Kwa akili ya haraka haraka, Kivuko kiloungwa Kwa Billion 8, Leo kinakarabatiwa Kwa Bilion 7??.

RAIS KWELI ??
Unajua Mkuu nilitaka kuandika kuhusu hili jambo kweli kivuko ukarabati 7b si tununue kipya tu mbona hii Nchi ina masihara sana hivi hatuna Wanasheria waende kuweka pingamizi kuhusu huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom