Embu nambie wewe kwa akili yako hicho kivuko cha magogoni kinabeba watu wangapi kwa trip moja?Sasa watu 200 unaleta hapa?? We jamaa una akili kichwani kweli?
Hiko kivuko kinachoenda kukarabatiwa unajua Capacity yake.
We jamaa maku kweli.
Labda nikuongezee jambo! Unakumbuka ile meli iliyowekwa kwenye maji pale Mwanza? Inauwezo wakubeba abiria 1,200 na ukubwa wote ule kwa Trip moja sasa sijui we mv magogoni ulivyoambiwa inauwezo wa kubeba abiria 3,000 unajua kwa Trip? Utakuwa unaumwa weweSasa watu 200 unaleta hapa?? We jamaa una akili kichwani kweli?
Hiko kivuko kinachoenda kukarabatiwa unajua Capacity yake.
We jamaa maku kweli.
Kivuko kipya ni Shilingi ngapi? It's better kitengenezwe kipyaNi mambo ya Ajabu ,yalojaa wizi , Roho mbaya Kwa Watanzania , matumizi mabaya ya Fedha zetu, na kutuona Watanzania ni wajinga sana .
Lakini haya yote ni matokeo ya kuongozwa na Kiongozi mwepesi mwepesi, asiyemjuzi na mdadisi, ambaye yeye akiletewa jambo ni kutia wino tu!.
Bahati mbaya sana, Unakuta Hizi Pesa, watu wa TAKUKURU wanafungu lao, Usalama Wana lao, Vyombo vyetu vya Ulinzi ma Usalama nao wa lao, Viongozi wa Dini Wana lao, Wapinzani njaaz Wana lao , Kiongozi Mkuu naye ana lake '.
Tumejengewa madaraja ya mbao Kwa mamilion, tumejengewa vibanda Kwa ma milion, watu wameonba Trillion 11, watu wameingia mikatana na wahindi, wr mikatana ya kumonitor hali ya umeme nchini..
Mambo ya ovyo ovyo ovyooo..
Hivi Kwa akili ya haraka haraka, Kivuko kiloungwa Kwa Billion 8, Leo kinakarabatiwa Kwa Bilion 7??.
RAIS KWELI ??
Hii mpya.View attachment 2519638
Mjenzi alikuwa Songoro Marine
Kwani kujenga daraja ni sh.ngapi?Ni mambo ya Ajabu ,yalojaa wizi , Roho mbaya Kwa Watanzania , matumizi mabaya ya Fedha zetu, na kutuona Watanzania ni wajinga sana .
Lakini haya yote ni matokeo ya kuongozwa na Kiongozi mwepesi mwepesi, asiyemjuzi na mdadisi, ambaye yeye akiletewa jambo ni kutia wino tu!.
Bahati mbaya sana, Unakuta Hizi Pesa, watu wa TAKUKURU wanafungu lao, Usalama Wana lao, Vyombo vyetu vya Ulinzi ma Usalama nao wa lao, Viongozi wa Dini Wana lao, Wapinzani njaaz Wana lao , Kiongozi Mkuu naye ana lake '.
Tumejengewa madaraja ya mbao Kwa mamilion, tumejengewa vibanda Kwa ma milion, watu wameonba Trillion 11, watu wameingia mikatana na wahindi, wr mikatana ya kumonitor hali ya umeme nchini..
Mambo ya ovyo ovyo ovyooo..
Hivi Kwa akili ya haraka haraka, Kivuko kiloungwa Kwa Billion 8, Leo kinakarabatiwa Kwa Bilion 7??.
RAIS KWELI ??
Mkuu, mbona kama ombi lako limechelewa sana? Discovery zimekuwa kama IST kwa sasa, GWagon kila kona etc...Naomba tu aina ya wizi ule wa kipindi cha JK usijirudie jaman, tutapata Hyper inflation na siasa zetu zitakuwa very volatile.....
Upumbavu wako wewe ni wa ukoo,ndio maana hatuwezi kukushashaa,Magufuri unayemzungumzia ndio huyu huyu alienunua ndege na vivuko cash??
akanunua na kivuko kile ambacho hakitembei watu walivyo hoji akawapatia JWTZ ili watu waache kuulizia?
au unamzungumzia Magufuri yupi? Period
Unajua Mkuu nilitaka kuandika kuhusu hili jambo kweli kivuko ukarabati 7b si tununue kipya tu mbona hii Nchi ina masihara sana hivi hatuna Wanasheria waende kuweka pingamizi kuhusu huu upuuzi.Ni mambo ya Ajabu ,yalojaa wizi , Roho mbaya Kwa Watanzania , matumizi mabaya ya Fedha zetu, na kutuona Watanzania ni wajinga sana .