Kwanini vyama vya upinzani havishindi, na hata vikishinda havishindi?

97.6% ya waliopiga kura, hata akili hamna. Hata kama waliopiga kura walikuwa 100,000 tu, lakini 97.6% (97,000) yao walichagua CCM. Chadema mliweka mpira kwapani kaeni kimya.

Kumbe wewe ndio huna akili , tume ya kweyne mkoba wa Samuya muuaji ilisema walipiga kura milioni 32 yeye akapata 31 sasa wewe umekuja na kura 100,000 kumbe ndio uhalisia wa idadi ya watu waliopiga kura zezeta kavulata?
 
Udhaifu wako hapa umelinganisha vitu viwili visivyofanana. Samia ni Rais wa kwanza mwanamke kwenye nchi yenye idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume unayemlinganisha matokeo yake ya kura na wanaume kwenye nchi ya idafi ndogo ya wanaume ambao hawana muda wa kwenda kupiga kura.

Wanawake ndio kundi la wanaojitokezaga kupiga kura kwenye chaguzi zote zilizopita kuliko wanaume. Uchaguzi wa 2025 walikuwa na mwanamke mwenzao ndani ya CCM ambae alikuwa Rais anaewania awamu ya pili ya miaka 5 kumalizia kipindi chake. Mgombea ambae kwenye awamu yake ya kwanza alionyesha upendeleo kwa wanawaje wenzake kwenye uwezeshaji, uteusi wa nafasi na kuwajali watoto wa kike kwenye elimu.

Miaka yote wanaume hawajitokezi kupiga kura kutokana na majukumu yao na tabia ya vihana wa kiume kuvuta mibangi na kubwia madawa kiasia cha kupuuza kwenda kupiga kura.

Kwahiyo sishangai kuona Samia kupata 99.9% ya kura zilizopigwa, na hasa ukizingatia chama cha upinzani chenye viongozi machachari wasio hatari kuweka mpira kwapani ili watumie njia mbadala ya mapinduzi ili kupata mabadiliko ya uongozi kando na uchaguzi.
 
97.6% ya waliopiga kura, hata akili hamna. Hata kama waliopiga kura walikuwa 100,000 tu, lakini 97.6% (97,000) yao walichagua CCM. Chadema mliweka mpira kwapani kaeni kimya.
Kwanini sasa watangaze matokea ya uongo kuwa milioni 31 wamepiga kura. Unaweza kuta idadi ya watu wazima(waliozidi miaka 18) Tanzania ni milioni 40 tu
 
Kumbe wewe ndio huna akili , tume ya kweyne mkoba wa Samuya muuaji ilisema walipiga kura milioni 32 yeye akapata 31 sasa wewe umekuja na kura 100,000 kumbe ndio uhalisia wa idadi ya watu waliopiga kura zezeta kavulata?
Ubongo wako unashindwa kuchakata taarifa za kitakwimu. Hata hivyo tuzishukuru shule zetu na kata, si hapa.
 
Kwanini sasa watangaze matokea ya uongo kuwa milioni 31 wamepiga kura. Unaweza kuta idadi ya watu wazima(waliozidi miaka 18) Tanzania ni milioni 40 tu
Tz tuko watu 65,000 000, Kwahiyo wewe unadhani walipiga kura watu wangapi? Mimi hapa nilipiga kula kwenye mji ambao vurugu zilitokea kubwa tu pamoja na wale mliowakata vidole vyenye wino. Sasa kama mnabisha kuwa watu hawakupiga kura hao mliokata vidole vyenye wino mliwapata wapi?. Watu wengi wanaishi kwenye Mikoani, wilayani, tarafani, kwenye kata, vijiji na mitaani/vijijini. Nipe takwimu kuhusu vurugu zenu zile za mapinduzi zimetokea kwenye majiji mangapi, mikoa mingapi, wilaya ngapi, tarafa, kata, vijiji na vitongoji vingapi nchini?. Wewe na wenzio hamna maarifa ya kufanya calculation, analysisi, na evaluation, ndiyo maana mlishindwa kwenye jaribio lile, wananchi waliwagomea, hawakushiriki kwenye upuuzi wenu sasa mnahaha namna ya kuimaliza movie yenu iliyodunda sokoni. Na kumbuka kuwa hakuna movie inaisha kwa uhalifu na wahalifu kushinda.

Hawakutangaza matokeo ya uongozi kwakuwa watu walipiga kura kwenye vitongoji, motaa, vijiji, kata, tarafa, wilaya, na mikoa. Hata miji iliyokumbwa na vurugu watu walipiga kura kwelikweli ndiyo maana mkapata kirahisi mitaani watu wengi wa kukata vidole vyenye wino wa kupigia kuonyesha walipiga kura wengi sana.

Mtu kama wewe huwezi kutetea hoja yako kwanini unasema watu hawakupiga kura lakini hapohapo kuna watu mliwakata vidole vyenye wino. Kwahiyo huo wino walijipaka wenyewe majumbani kama hina?
 
Mimi siamini kama yale matokea ni ya kweli.

Wewe tulia na tafakari. Tukianza kubishana hapa tutakesha
 
Usijali wala usiogope wapinzani sio wahalifu. Siku uchaguzi huru na haki utakapofanyika.

Hakutakuwa na visasi, utakuwa ni mwanzo mpya, wa demokrasia ya kweli, amani, maendeleo, haki na katiba mpya.
 
Ubongo wako unashindwa kuchakata taarifa za kitakwimu. Hata hivyo tuzishukuru shule zetu na kata, si hapa.

Wewe zezeta thibitisha kura milioni 31 walizosema tume ya mkoba wa Samuya alizipitaje mbona hazikua published kwenye website ya tume kama sheria inavyosema zikae miezi 6?

Miaka ya kutudanganya imepita , kubwa jinga wewe!
 
Mimi siamini kama yale matokea ni ya kweli.

Wewe tulia na tafakari. Tukianza kubishana hapa tutakesha
Unatumia hisia zako kwenye mambo nyeti sana. Sayansi ya siasa haitaki mambo hayo. Kama huwezi kuthibitisha unachosema ni heri unyamaze tu. Kesi ya Lissu ndio imetuonyesha kumbe jamaa huwa wanatumia hisia zao tu kusambaza propaganda. Wakifikishwa mahaakamani kila kitu wanajibu "sijui", "nimeambiwa", "nimesikia wanasema" hadi wanaboa wasikilizaji wa kesi.

Yaani tuvurugu tudogo tu tule tena tuliotokea jioni kwenye miji mitaa michache ya miji michache ndio zisababishe nchi nzima watu wote waliojiandikisha wasiende kupiga kura? Hapa kwetu Biharamulo hakukuwa na vurugu eti na sisi tusiende kupiga kura?. Sisi wananchi tunawadharau sana kwa uongo wenu.
 
Wewe zezeta thibitisha kura milioni 31 walizosema tume ya mkoba wa Samuya alizipitaje mbona hazikua published kwenye website ya tume kama sheria inavyosema zikae miezi 6?

Miaka ya kutudanganya imepita , kubwa jinga wewe!
kama kuna sheria au kanuni imevunjwa peleka mahakamani. Utawala wa sheria unataka ufanye hivyo badala ya kujipayukia tu.
 
kama kuna sheria au kanuni imevunjwa peleka mahakamani. Utawala wa sheria unataka ufanye hivyo badala ya kujipayukia tu.

Mahakama za CCM na majaji wa CCM?

Na huo utawala wa sheria unauzungumzia nchi ipi hiyo?

Wewe zezeta ndio unapayuka.

Thibitisha Samuya alipataje kura milioni 31 .
 
Mahakama za CCM na majaji wa CCM?

Wewe zezeta ndio unapayuka.

Thibitisha Samuya alipataje kura milioni 31 .
Kitu ambacho mnasahau ni kwamba hata CCM kuna vijana na watu wazima wanaovuta bhangi kama nyinyi ambao wangeweza pia kuwakata vidolegumba vyenu wote na kuzichoma ofisi na nyumba za wapinzani zote bila kubakiza hata moja iliyosimama kama jibu la vurugu zenu zile. Lakini CCM kuna uongozi madhubuti na makini ambao hawakuta kuwaamuru wavuta bangi wao wajibu mapigo,x kwani CCM inafahamu yaliko maslahi ya chadema, Mzee warioba, makanisa na wadau wote wa vurugu zile.

CCM inafahamu kuwa vurugu zile hazikuwa za chadema tu, chadema walikuwa kama kobe tu waliopandishwa juu ya mkaratusi na watu fulani ambao ukienda pale mahakamani kwenye kesi ya Lissu ama utawakuta wenyewe au wawakilishi wao wa kila kundi lililohusika wanahuduria mahakamani liwe jua iwe mvua wapo.
 
Wewe zezeta usikwepe swali langu, thibitisha Samuya alipata kura milioni 31 kama huwezi sema huwezi usilete ngojera hapa!

Mambo ya bhangi na wavuta bhangi na akina Warioba na kanisa sijakuuliza mimi na hayanihusu.
 
Kazi ya kuthibitisha ni yako wewe mlalamikaji. Lakini kwa uzezeta wako unaropoka tu kuwa hakupata hakupata hakupa bila kuonyesha ushahidi. sijui sijui nyiiiingi mkifikishwa mahakamani.
 
Kuna haja gani ya kuwa na uchaguzi,?kodi zetu zinatumika vibaya tu sana.kama vipi vyama vya upinzani zifutwe tu ubaki ccm.
Hata vikifutwa ni sawa tu maana hata ujio wao ulikuwa wa kulazimisha tu baada ya 80% ya wananchi kuvikataa kwenye ile white paper. Vyama vyenyewe havina sera mbadala zaidi ya kuikumbusha CCM na serikali kuhusu orodha ya mambo ambayo hayajafanyiwa kazi bado.

Asikwambie tu, kama wananchi wangekuwa hawaipendi CCM kwelikweli hakuna mtu angeweza kuiba kura zao. Hakuna mtu anaeweza kuiba kura za wananchi, ukiona mtu anasema zetu zinaibiwa ujue zilikuwa ni chache sana zinazoibika. Hivyohivyo, ukiona maandamano yamezimwa kama kibatali ujue walikuwa wakora tu hao, sio wananchi wenyewe kabisa.
 
Wewe bwana sijui ni hutaki kuelewa au unajitoa ufahamu,umeambiwa Katiba ya Tanzania imetengenezwa kwa mfumo wa chama kimoja-pasipo makubaliano ya pande zote.Sasa hicho unachokitaka kuwa wapinzani nao waridhie hayo unayoyasema ni muhimu kuwa na ridhaa ya oande zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…