Umewahi kusikia mwarabu au mzungu anaitwa kaduguda,mwanahija, lugumi , ulomi au mwashamba na mengineyo mengi ya kibantu..Mtumwa kama wewe huwezielewa umuhimu wa huu uzi kwa sasa kwani bado una akili za mwaka 1949 na hujui unakotoka ,ulipo au unakoenda,umewahi sikia mwarabu anaitwa masanja,kaduguda,mlilo,heche,nk??
Hata kudadisi huwezi kwa kuwa ni maiti.
Umewahi kusikia mwarabu au mzungu anaitwa kaduguda,mwanahija, lugumi , ulomi au mwashamba na mengineyo mengi ya kibantu.. au unafikili kwanini happiness asiitwe furahaMtumwa kama wewe huwezielewa umuhimu wa huu uzi kwa sasa kwani bado una akili za mwaka 1949 na hujui unakotoka ,ulipo au unakoenda,umewahi sikia mwarabu anaitwa masanja,kaduguda,mlilo,heche,nk??
Hata kudadisi huwezi kwa kuwa ni maiti.
Ishengoma,nkimbili au kapili wa nimaMaana ya Afrika ni kama ipi. nitajie angalau 3
Ndio umepewa na reference nyingine kama unàona majina mabaya na hivyo vingine tumia vya kiafrikaUjinga ulionao ni 100G ,hivi nimeongelea vitu au majina ?
Kuna simu au gari la mzungu lenye jina na maana ya Afrika??
Ebu acha undezi basi,ni wazungu au warabu kwa % ngapi wanatumia majina yenye asili ya Afrika?
Basi waambie hao mabwana zako watumie hiyo soft ware yenu kupiga simu,watu kama wewe ni mzigo kwa AFRIKA ya sasa,yaani hata kuolewa na wazungu mko radhi kwa sababu hamuushughulishi ubongo,hivi kweli soft ware unaweza kulinganisha na simu,kati ya simu na software unadhani ni kipi kinampa nguvu mwenzie?jakuna Waafrika waliogundua software au simu?wewe ni maiti!!Punguza jazba hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu..
Tengeneza hiyo simu na wewe madini si yapo kama unaona ni rahisi..
Wewe unafikir simu ni hayo madini pekee Kuna kitu kinaitwa software ni ghali kuliko madini yenyewe
Elewa mada ,tuchanganye kwa manufaa yapi sasa au majina ya kizungu yanamchango gani kwa WAAFRIKA na kwanini yapewe kipaumbele?Kwa dunia ya sasa tunatakiwa tuchanganye majina, katika majina matatu liwepo moja la kikolonii na mawili ya kiafrika mfano Robert Usiri Mwalukama au Said Sijali manara
Wewe ni pimbi kwanini usiitweUsiri Mwarukama Robert??unadhani nguvu ya jina la ukoo ni lipi lina nguvu au uliona wazingu ni wajinga kutaka kila Mwafrika awe na jina ukoo au lake lenye maana??Kwa dunia ya sasa tunatakiwa tuchanganye majina, katika majina matatu liwepo moja la kikolonii na mawili ya kiafrika mfano Robert Usiri Mwalukama au Said Sijali manara
Njoo huku unyakyusani tukupe majina ya kiafrikaJe,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Shit holes,ujinga wako mmoja hauwezi kurudisha nyuma juhudi za PANAFRICANISM/UMAJINUNI WA WAAFRIKA au BLACK PEOPL MOVEMENT kote duniani,wewe ni MAITI,kwahiyo unatumia majina ya kizungu kwa sababu unatumia vitu vya kizungu?Ndio umepewa na reference nyingine kama unàona majina mabaya na hivyo vingine tumia vya kiafrika
Gademit
Kama nyie mmeshindwa kutambua UTU WENU mimi ndiyo nije mtambue UTU WANGU?Njoo huku unyakyusani tukupe majina ya kiafrika
Shida ya kusikiliza vipindi vya ayoub ryoba tbcShith
Shit holes,ujinga wako mmoja hauwezi kurudisha nyuma juhudi za PANAFRICANISM/UMAJINUNI WA WAAFRIKA au BLACK PEOPL MOVEMENT kote duniani,wewe ni MAITI,kwahiyo unatumia majina ya kizungu kwa sababu unatumia vitu vya kizungu?
UNAAKILI ZA MBWA!!
Mbona mawazo yako ni ya kijinga hivyo sasa umeandika nini sasa .Hauwezi kaa dakika 10 bila kuwaza ngono..Basi waambie hao mabwana zako watumie hiyo soft ware yenu kupiga simu,watu kama wewe ni mzigo kwa AFRIKA ya sasa,yaani hata kuolewa na wazungu mko radhi kwa sababu hamuushughulishi ubongo,hivi kweli soft ware unaweza kulinganisha na simu,kati ya simu na software unadhani ni kipi kinampa nguvu mwenzie?jakuna Waafrika waliogundua software au simu?wewe ni maiti!!
Sasa naona hormone zako zishaanza kuzidiana hebu k a n y o n y e sh eKama nyie mmeshindwa kutambua UTU WENU mimi ndiyo nije mtambue UTU WANGU?
Dini zilitudanganya Sana, ilifika wakati mfano, kwa, wakoriki, ilikuwa, huwezi, kubatiza, mtoto kwa, jina,la, kabila lako,miaka ya, 80,90,lakini, baadae, baada ya kupata ufahamu siku hz unaweza, kubatiza, kwa, jina, lolote unalotaka, kwa, ukristo, tunabatiza watoto kwa, majina, ya, watakatifu, ambao wengi walikuwa, jews, na tunatumia majina ya, kizungu maana ukristo uliletwa, na, wazungu, na majina ya, kiarab kwa sababu uislam uliletwa na waarab,Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo?
Je,yana faida au hasara kwetu??
Wewe ndio huna akili hata hao wazungu wanatumia madini ma vitu vingi vya thamani vya afrika je wamechukua na majina ya hao waafrika?🤣🤣🤣Wewe mjinga acha kujifariji ... Kiufupi hujielewi kafie mbele huko!
Jina tu unaleta uzi ,hivyo unavyotumia vingine?
Unajitekenya hata hujielewiWewe ndio huna akili hata hao wazungu wanatumia madini ma vitu vingi vya thamani vya afrika je wamechukua na majina ya hao waafrika?
Mbona china wanatengeneza simu na hawana majina ya kizungu wala kiarabuPunguza jazba hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu..
Tengeneza hiyo simu na wewe madini si yapo kama unaona ni rahisi..
Wewe unafikir simu ni hayo madini pekee Kuna kitu kinaitwa software ni ghali kuliko madini yenyewe