Kwanini waajiriwa wengi hawana utamaduni wa kufanya savings nchini?

Usave 20% wakati NSSF kuna 20% zako kila mwezi?
Mi naona zile hela za NSSF watu wapewe kwa kiwango fulani kwa maendeleo sio zote zisubiri uzeeni
Bonge la point, tatizo wamekula zote, wamejengea magorofa, reli na mradi wa umeme, hamna kitu kule
 
Mkuu sasa unatuletea tamaduni kutoka kwa mabeberu mke na mume kujenga familia kiuchumi pamoja kitu ambacho Africa hakipo jukumu la kujenga familia kiuchumi ni jukumu la mume ndiyo maana ukienda kupeleka posa kwa wazaz wa mwanamke lazima wazaz watamuuliza mtoto anayetaka kukuoa je anajishugulisha na kazi gani na uchumi wake upoje
 
Napia zile PPF na NSSF sio servings ? sera zingependeza kama wafanyakazi walipaswa kukopa kwa Kila mwaka kwa maendeleo yao zinawekezwa kwenye miradi ambayo mchangiaji hunufaiki
 
Napia zile PPF na NSSF sio servings ? sera zingependeza kama wafanyakazi walipaswa kukopa kwa Kila mwaka kwa maendeleo yao zinawekezwa kwenye miradi ambayo mchangiaji hunufaiki
Yeah. Those are compulsory savings...
 
Mishahara midogo sana
 
Live within your means, dont act rich
 
Kwenye heading umesema waajiriwa wengi hawafanyii savings zao nchini (Tanzania) lakini haukusema nchi ambayo huwa wanafanyia savings zao.
 
Hiyo 20% ni mfano tu lakini mmeishupaliwa utafikiri dhima nzima ya ku save inaishia hapo, unaweza ku save hata 10% au hata 50% kulingana na pato lako.
 
20% ya 450,000 ukitunza itakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…