Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
- Thread starter
- #101
[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16]
warab kuoa weus syo weusi kuoa warabUna proof? Sina data kuthibitisha ila eye test nikiangalia ndugu jamaa na marafiki interacial ya waarabu na weusi ni kubwa kuliko race yoyote ile,
Unaangalia world cup sasa hivi angalia Qatar tu ile muingiliano wake, na Qatar si maarufu sana Nchi kama Oman, Yemen, Saudi etc kuna mixture kubwa sana ya watu weusi.
Bado hii hailet usawa kama din isemavyoKwani weusi wenzako wana shida gani?
Kwann kweny din kuwekw vgezo kama ivyo?Dini uislam au
kama una,ungumzia DINI ya UISLAM hawafanyi ubaguzi wanafata DINI inavyotaka na mwanamke ndo mchaguzi wa mwisho
Lbda useme TAMADUNI zao lakini kidini wako sahihi
Uislam unamtaka mwanaume AOE
Kwa
NASABA ya mwanamke
DINI yake
Uzuri wake
Tabia yake
Kinyume chake pia MWANAMKE anapoletewa POSA ni lazima wazazi wake
wajiridhishe hayo mambo manne pia kwa huyo mletaji POSA kidha wanamshauri bint yao kisha yeye binti ndo uamua kama amempenda NDOA hufungwa
Hvyo kama wao WAZAZI hawajaridhika na
NASABA ya ukoo wako
Eidha DINI yako
Tabia yako mbaya
Na binti pia ajakupenda kwakua sio mnzuri (sio HANDSOME) au sio mweupe kama yeye
Au wazazi wakamuambia huyu sio katika NASABA tunazozitaka sisi hawakosei KIDINI
Hawajakosea KIDINI wako sawa kumshauri BINTI yao Asiolewe na wewe MZARAMO mpiga MADOGORI
Au BINTI kakukataa wewe kwa kuwa wewe mmatumbi lakini ELIMU ya dini unayo hajakosea KIDINI 7bu NASABA yako hawajaipenda
Lakini kama BINTI MWARABU kakupenda wewe hvyohvyo MSUKUMA MSHAMBA hata wakikataa hawawezi kumfanya CHOCHOTE ataolewa tu na wewe na hata wakitoa RADHI haimpati
ndio maana hao watoto wa rangi nkiwaotea huwa napita na nyum pia ili kuwakomoa [emoji57]Akili za mtu mweusi zipo kuhisi kuonewa tu. Mtu umepauka lakini unataka eti kuoa mtoto wa mtu ambaye hata shida hazijui kisa dini? Mwanamke kwa mujibu wa dini ya Kiislam anahitaji kupewa ulinzi, makazi, chakula na mavazi, Sasa ndugu zetu nyinyi hamtaki kutafuta hela ila mnalazimisha kuoa kwa waarabu eti kisingizio ni dini. Wapo watu wameoa waarabu tena bila shida.
Ukitaka waarabu tu nenda hata Palestine, Syria wapo, ila kama unataka Bakhersa na wa aina yake wakuozeshe wewe kapuku unakosea, Hata kina Kikwete, Kimei, Mwinyi, Makame, Mengi hawawezi kukupa watoto wao kama wewe ni hohehahe
Unatafuta ugomvi na Waarabu weusi wa kwa mtogole wewe...[emoji6]Mwarabu ni mbaguzi wa asili, ukishakuwa mweusi hata uwe na pesa au mcha-dini kiasi gani hung'owi jiko kwenye familia yake! Kwao kuolewa na mtu mweusi ni mkosi! Mtu wa hivyo anapata wapi ujasiri wa kunishawishi niiamini dini/imani yake?
Ayseee...[emoji28]Wewe unaruhusiwa Tu kuwa Mwislam, ila huna ruhusa ya Kuoa Mwarabu, kwani wewe ni Mwislam Mtumwa tu, imebidi uwe Mwislam kwa sababu ni Dini ya Bwana wako.
poleKuna binti wa kiarabu nakaribia kumuoa. Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini
Ilo ilikuwa zuga kwa waafrika kunyonywa viZuri na kilaini kabisa.vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote
Ni mtuwe ni Muarab?[emoji2357]
Sasa umeshamwita ustaadh mganga wa kienyeji hiyo ni sawa na kusema ustaadh PadriPia dini inaruhusu vip mtu kuoa malaya mfano naona watu maarufu hutumia dini na kufungishwa ndoa na malaya mfano yule ustadh mganga wa kienyeji alooa Diva Malinzi
Mbona unajidharau hivyo? Usitujuumuishe wote kwenye huo ujinga.Waarabu ni wajinga ila sisi waafrika tumepitiliza kwa ujinga hata mimi siwezi kuruhusu kizazi changu kiolewe na watu wajinga
Tatizo linaanzia hapa.Tukubal sasa wao si mfano wa kuigwa katka dini
[emoji16][emoji16]kiuwel hawa jamaa ni sengez.comIlo ilikuwa zuga kwa waafrika kunyonywa viZuri na kilaini kabisa.
Ungejua mwafrika unavyodharaulika na hao jamaa wote wenye ngozi za nguruwe usingedhubutu kusema Ilo nakuambia.
Afrika tunajulikana kuwa ndio si unit ya umasikini,akili ndogo,maradhi,ujinga,wapenda anasa na ngono na miziki yaani tunapenda anasa kuliko kazi ama kuwaza kizazi chetu kitaishi vipi incoming 100/200 yrs to come.yaani sie Ni mbususu kwenda mbele na pia magonjwa yetu uchafu wetu udumavu wa akili Ni wetu yaani Mambo yote mabaya Ni ya kwetu ,tunadharaulika mno nje ungejua Basi. Yaani mfano Black uoe Ile white elite society Ni never. Kuna mkenya walipendana na binti wa Bill Clinton mbona mapema Kijana alirudishwa kwao Kenya ili USA isije ikachafua damu ama DNA.
Kwanini walilie wakati akitaka anytime anapata? Unaweza kulilia kitu ambacho ni rahisi kukipata?Hiyo siyo ishu, ishu ni kwa nini wao hawalili na kulazimisha kuoa kwenu kama wewe unavyotamani kuoa kwao?
Hapana, ila bwana wake muarabuwe ni Muarab?[emoji2357]
Hongera san japo najua kuna maumivu meng umehifadh[emoji16][emoji2357]Hapana, ila bwana wake muarabu
HeeHabari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?
Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.
Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?
Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?
Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.
Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani[emoji120]