Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Ni nani alikwambia mwanadamu anaweza fahamu kila kitu wewe kum@?? Si ndio maana nimekuja humu kujifunza??
Usipanic dada angu, kama hujui hujui tu. Acha kujitetea kishamba. Inamaana umeshindwa hata kutumia google ili kujua makabila ya hizo nchi ulizo orodhesha?!

Nchi yetu imejaza wajinga wengi wewe apo ukiwa mmoja wapo.
 

Burundi hakuna waha.
 

Na ukiangalia kiswahili cha mchagga kama sio wengi wao hawaongei kiswahili kizuri like tanga, pwani, kanda ya ziwa na kanda za magharibi na kusini+Zanzibar.
 
Ndani ya kabila la Wachaga kuna koo ambazo zinapatikana hata Kenya kama akina Maina, Lyimo etc. Aidha, kuna koo ambazo zina asili ya makabila mengine kama vile Minja (wengi asili yao Upareni), Mareale (asili ya Kimasai) etc. Huwa ninaamini kabila la Wachaga limeundwa na watu wenye backgrounds mbalimbali na waliunganishwa pamoja kuunda lililokuwa taifa la Wachaga.
 
Burundi hakuna waha, nyoosha maelezo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…