Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

Weka rekodi zako sawa au fanya utafiti zaidi: Hakuna waha walioko Burundi wala Rwanda, waha wako mkoa wa Kigoma na wilaya zinazoizunguka Kigoma. Burundi kuna warundi wenye lugha ya kirundi na Rwanda kuna wanyarwanda ambao wanazungumza kinyarwanda.
 
Mtoa mada alitaka kama ni kabila lipo Kenya na linatambuliwa rasmi kama walivyo wakuria
 
kenya wanaitwa wakikuyu, ki kama watutsi, tz wanaitwa wanyambo, congo wanyabulenge, uganda wahima na rwanda watutsi, mila na desturi ziko sawa
 
Wataita ni race flan ya kichagga, japo kenya wapo wachagga ila ni wachache sana.
 
Wanasikilizana kichaga😂😂😂
Tambua mkuu hakuna lugha ya kichaga..
Kirombo, kibosho, hawaelewani kabisa angalu machame na kimeru wanasikilizana.
 
Watu walioianzisha Nairobi walikuwa wahamiaji kutoka Mt. Kilimanjaro.
Wakamba
Asilo yao inaaminika kuwa katika eneo la Kilimanjaro yenyewe lakini walihama takriban miaka 400-500 iliyopita kuja Ukambani walipo. Walikuwa wafugaji,wakulima,na wawindaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…