kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

Mzee toka usingizini sasa hivi siyo 2013 sasa hivi ni 2024 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

View attachment 3054871

 
Ethiopia, Rwanda na Burundi zinaongoza kwa raia wake kukimbia kwao. Boda ya Kasesya, Rukwa kwa sasa inapitisha waburundi na wanyarwanda wengi sana wanaoenda South Africa. Utakuta mburundi yuko na familia ya watoto hata watano wanaenda Zambia hadi South.
 
Mzee sina muda wa kujibishana na wewe. Maana nimeshagundua wewe ni Mkenya aka Kundustan 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Raia wanaoishi chini ya mstari wa umaskini Kenya ni 16% wakati Tanzania ni 26%.
Hizo taatifa umezitoa wapi? πŸ˜€ πŸ˜€ nenda kawatangazie Kundusta Gen Z taarifa hizo.

Wewe ni Mkundustan

 
Biggest slum in africa ni kibera
 
16% ya Wakenya wanaishi chini ya mstari wa umaskini wakati Tanzania ni 26%.
Uhalisia mara nyingi hauendani na standards,kenya kupata sh 5000 ya kitanzania ni rahisi lakini matumizi ya hio pesa kwa mahitaji ya msingi kama chakula na malazi haviendani pia..Gharama za maisha lazima uziweke unapofanya ulinganifu wa kipato
 
Umeelezwa wanaoishi below poverty line ni 10.6m.

πŸ˜€ πŸ˜€ Hujui kusoma kingereza?
Kwa mtindo huo Watanzania wanaoishi below poverty line ni 26 Millions.
 
Hayo maandamano wanayofanya kila kukicha ni ya nini Kama kweli hawana maisha magumu wacha chuki zako kwenye nchi yetu pendwa ya tz su hamia kenya πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Hayo maandamano wanayofanya kila kukicha ni ya nini Kama kweli hawana maisha magumu wacha chuki zako kwenye nchi yetu pendwa ya tz su hamia kenya πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜ŽπŸ˜Ž
Ulaya na Marekani raia wanaandamana kuliko Tanzania
 
Regional office kwa MNcs na INGO kwa EA nyingi zipo KE, so ndo kusema anaajiriwa mtu wa IT wa INGO anamanage KE, TZ, RW, BU, UG, Sasa huyu kwa workload hiyo automatically mshahara wake unakuwa mkubwa na ndo maana middle income earners ni wengi kenya , Tanzania kiduchu, then huyu IT baadae utamkuta yupo HQ US anazidi chanja mbuga tu so again hapo unakuta kuna KEs wengi US, Europe wanapiga mzigo kuliko Tzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…