Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

Najua umesema Same unamanisha Wapare.Kwa taarifa yako Wapare hawakai tambarare wako kule milimani.Hata wachaga ukiwatathmini kwa kuangalia mji wa Moshi utaona wako nyuma sana ila panda kule juu milimani Machame,Marangu uone maendeleo yao.
Wahaya ukienda vijijini ndio utaona umasikini ulivyokidhiri.Kula kwao senene msidhani ni mila ni umasikini tena hata ngozi ya ngombe inakatwa vipande inachemshwa kisha inaanikwa inaliwa vipande vipande.
Upareni mjerumani alijenga makanisa mapema sana
 
wahaya wamepambana elimu wanao, wakati wachaga wana vyote elimu+biashara. kwahiyo wachaga wanavuna kote.
 
It is simple Wachaga ni WAFANYABIASHARA NA WAHAYA NI WAFANYAKAZI
Rekebisha kidogo
Wachaga ni wafanyakazi n'a wafanyabiashara
Yaani wapo kotekote sio kama nyie mmekalia angle Moja
Kuna Fani ambazo Wachaga wanaongoza mostly kuliko jamii yoyote mfano uhasibu,banking,maliasili na utalii
Nyingine walizobobea kwasana ni afya,Elimu, engineering,kilimo na mifugo na ardhi.
 
wacha upuuzi statistical Kagera ni moja ya mikoa maskini japokuwa wana ardhi ya rutuba na pia karibia kila kitu kama Kilimanjaro tena kwa kuzidi maana wana ardhi kubwa na ya rutuba haswa!
Mbona wanalisha mkoa wa shinyanga, mwanza na Tabora.
Ndizi, maharage na matunda.
Nazungumzia mwaka 9o+ wakati nakua hivyo vitu vilitoka kwa wahaya, usukumani hakukua na ndizi,maharage, nanasi, avocado nk.
Sasa iweje wawe masikini wakati wanalima matani ya mazao! Sijawahi fika kagera ila wametulisha sana usukumani, bila wao ndizi na maharage na matunda ingekuwa tabu.
 
Weeee,Kagera wanafunzi ni wengi kuliko shule,Kagera darasa Lina wastani WA wanafunzi 100+
Kilimanjaro madarasa ni Mengi Hadi yanakaliwa na mijusi
 
Iliongoza lini? Na mtihani gani?
Kilimanjaro kwanzia 2016 Hadi Sasa ndio kinara WA NECTA form four despite kuwa ndio mkoa wenye shule nyingi za secondary kuliko mkoa wowote Tanzania
 
Ufukara WA same hauwez kufanana hâta kidogo na WA Ngara
 
Nna mdada wa ugweno namkubali sana, vipi hawa watu wakoje?
 
Hujui usemacho,Yani Kagera iwalishe wasukuma WA mwanza,tabora shinyanga?
Aliyekwambia wasukuma wanakula ndizi ni nani? Wasukuma hula ugali na wali.
 
Sasa kwa nini wachagga msijilinganishe na top 5 yenu huko juu, kwa nini mnahangaika kujilinganisha na failures wahaya ambao wapo namba 25 kutokana na hizo takwimu
 
Sasa kwa nini wachagga msijilinganishe na top 5 yenu huko juu, kwa nini mnahangaika kujilinganisha na failures wahaya ambao wapo namba 25 kutokana na hizo takwimu
Kwasababu wahaya Wana mdomo mdomo WA kusema wamesoma kama Wachaga ilhali Elimu yao hai reflect Hali zao
 
Maendeleo yapi? Hujui kama Muhaya ndio kauleta umeme Bongo?
 
Spirit ya Wachaga ya kuendeleza kwao ilianza vizazi na vizazi nilienda kule Mahlangu nilimkuta Mzee anasema yeye kazaliwa kwenye bara bara ya lami huyo mtu uwezo wake wa kufikiri lazima utakua wa maendeleo tu ikiwa kijijini bara bara inapitika akitaka kufanya ujenzi hawezi kushindwa...Wachaga kila nikiwatembelea naona kabisa wana mawazo tofauti kabisa na vijiji vya makabila mengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…