Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Uislam upi huo unaye amini hadithi na inapinga Qur'anKwa Mujibu wa Uislamu Isa bin Maryamu hajawahi kufa mpaka sasa ila yupo mbinguni na atarudi karibu na kiama kisha ndo atakufa
Let's lough togetherIQ yako ndogo sana acha nikudhibitishie:
Quran inasema Allah Ana mikono miwili upande wake wa bega la kushoto mean yupo defective bega la kushoto hamna kiungo mlemavu ,five finger each hand, ana mguu mmoja wenye ugoko mzuri,siku ya Kiama ataingiza huo mguu moyoni huko akhera, mtume wenu alisema msimpige adui usoni kwani Allah alimuumba Adsm kwa taswira yake ya uso,Allah Ana makalio ya kukalia kiti chake Ash, Allah Ana mdomo na macho mawili,kisogo musa alikiona viungu hivyo ni kuonesha ni physical being tatizo hana Rojo spirit jibu ni sanamu kafanana hata were unaweza tengeneza viungoUnaposema Allah nisanamu au haeleweki eleweki usitumie hisia zako, falsafa wala hoja za biblia.
Tumia Hadith, Aya, na tafsiri za wanazuoni kupinga maandiko katika Suratul Iqhras, Allah aliposema hafanani na kitu chochote
Nilishawahisikia hiyo nikacheka sana yaani. So ukifikilia Allah ni mzuri kwa sura its mean ni kinyume chake hivyo Allah ni ugly sura mbaya, uislam ni jokesunachokifkiria hii yani hii ndo tafsiri ya "Supernatural power".
Aya 52 haipo At tur inaishia 49ukisema mtume Muhammad ni chenga chenga huu ni mtazamo wa waliompinga na Allah kashusha maandiko ya kumpa moyo.
Suratul At-Tur aya ya 52.
Sura inayowaambia yusu ni messenger pia inasema Yesu no Neno la Allah( kunfakun )na Yesu no Roho ya Allah iloyo ndani yake mean Allah ndani ya Yesu tokea anazaliwa kufa na kufufuka.Ndio maana tunakubali Isa ni nabii wa Allah katika walioshushiwa kitabu
Nyie mpo programed so lukaluka ila wewe ni app ya Allah uswali usiswali Allah hajali keshakuset uwe fukara anakuchora tu unavyotimiza matakwa yake, anajua utasex Mara kadhaa utaiba n.k Huna hjha ya kuswaliAllah atufahamu sisi kabla hata hatujawa kwenye tumbo la wazazi wetu, anajua kila kitu kuhusu sisi.
Sisi tuna free will tunachagua kwenda kwake au tukatae, mbinguni si pa kulazimishwa na Moroni vilevileSijui nyie dua kwenu inamaana gani
Allah ashakuambieni hakuna Wa kubadilisha maneno yake si wajua aliwaambia kuwa kitabu chake kimeshaandikwa kwenye mawe peponi alipo na iblis huwa anaenda kusoma yatajayotokea kesho kwa kutumwa na waganga,ila kwetu sisi dua tafsiri yake ni kuomba Allah abadirishe Qadar, akukadilie yaliomema zaidi
naelewa ila mifano hiyo ni ya jokesInaelekea Akili yako haiko sawa so shida tu ya IQ.
Kama huamini dhambi itakuwa kama mlima ni vyema ukapinga kwa maandiko ya kiislamu.
Trinity hufanya kazi pamoja Yesu amesema Baba take yupo ndani yake na yeye yupo ndani mwa baba take Mungu wa kweli tunaamini utatu mtakatifu.Ngoja nikufundishe jinsi ya kujibu hoja za dini.
Imejengwa hoja "Yesu so Mungu ni nabii Isa aleysalaam"
why:
Kwa Mujibu wa Yohana 1:1,14, Mwanzo kulikuwa neno, nae nano alikuwa kwa Mungu, neno alikuwa Mungu, akafanyika mwili akaja kwetu.
Haya ni maandiko ambayo yanaitaji imani kuyaelewa na sio akili coz yanafanana na farsafa ya "Yai na kuku kipi kilianza" (Mungu na Neno)
Lakini je Neno kweli ni Yesu kama Wasomi wa kilristo wanavyotafsiri.
Alietusimulia kuhusu mwanzo ni yohana na yohana huyo huyo anaeleza yesu alikuwa akisali.
Yohana 17:1-3 __Yesu alipokwisha kusema hayo, akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imefika. Mtukuze Mwanao.
Hii ni Ishara tosha kuwa Yesu sio Neno kama tulivyoambiwa au Neno si Mungu Kwani huyo neno ambae alifanyika mwili yupo Nasi na si mbinguni.
Wengine kama Luka na Mathew pia wanathibitisha.
Luka 6:12__Ikawa siku zile, akaenda mlimani kuomba; akakaa usiku kucha katika kumwomba "Mungu.:
Hapa wazi wazi kuwa Yesu alimuomba Mungu. It means wakati tup na Yesu kuna kilichokuwa kikiratibu Mipango yetu na hicho ndio Mungu Sasa amacho hata yesu anaomba.
Mathayo 26:39____Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Kwa mujibu wa Mathew pia inaonesha Kuna vitu Yesu hakufanya si kwa atakavyo yeye bali ni kwa "Baba yake" ambae yupo Mbinguni Na huyo ndio Mungu nasie Yesu.
Soma Aya yote Quran 4:171 Yesu ni trinity kwenu ni messenger, word of Allah and Spirit of Allah proceeding.Je Yesu ni ISA.
Yesu kwa mujibu wa biblia kazaliwa na Mariam, na hana Baba, hii haihitaji andiko coz wote twafahamu hivyo.
Kwa mujibubwa Qur'an, Isa kazaliwa na Mariamu na hana baba, so hii ni uthibitisho huenda Yesu ni Isa.
Lakini hapana si kwetu Isa ni nabii yani mtume wa Mungu.
Yohana 17 Soma Aya za nyuma na mbele uenjoy biblia ipo vizuri ujue Yesu alikuwepo na Mungu kabla dunia haijaumbwa.Vipi huko ? Yohana 17:3 -- Nauzima wa milele: Wakujue wewe Mungu wa Pekee, na Yesu kristo uliyemtuma.
Hapa Inaonesha kuna Vitu viwili kati ya Mungu na Yesu na Yesu ni alietumwa na Mungu so Nimtume.
We know Fix za Mohammad kudai issa ni yesu ila story ni tofauti wazazi wa Yesu mtume wenu alifikia kusema musa ni mjomba wa yesu yaani musa na Maryam wamezaliwa na baba mmoja aitwae Imran, mtume wenu alitembelewa na wayahudi walimtoa nishai hadi Aisha akacheka kusikia utofauti ni miaka elfu kadhaa. Naija ya Mariam mama wa Yesu na Musa so hawawezi kuwa mtu na kaka yake.Ina maana Yesu na Isa kwa hoja hizo
Yesu = Isa.
Huo ni mfano tu wa namna ZINAVYOJENGWA HOJA ZA KIDINI
Huo uelewa wako naona kama utanivuruga tu.Let's lough together
Quran inasema Allah Ana mikono miwili upande wake wa bega la kushoto mean yupo defective bega la kushoto hamna kiungo mlemavu ,five finger each hand, ana mguu mmoja wenye ugoko mzuri,siku ya Kiama ataingiza huo mguu moyoni huko akhera, mtume wenu alisema msimpige adui usoni kwani Allah alimuumba Adsm kwa taswira yake ya uso,Allah Ana makalio ya kukalia kiti chake Ash, Allah Ana mdomo na macho mawili,kisogo musa alikiona viungu hivyo ni kuonesha ni physical being tatizo hana Rojo spirit jibu ni sanamu kafanana hata were unaweza tengeneza viungo
Nilishawahisikia hiyo nikacheka sana yaani. So ukifikilia Allah ni mzuri kwa sura its mean ni kinyume chake hivyo Allah ni ugly sura mbaya, uislam ni jokes
Aya 52 haipo At tur inaishia 49
Sura inayowaambia yusu ni messenger pia inasema Yesu no Neno la Allah( kunfakun )na Yesu no Roho ya Allah iloyo ndani yake mean Allah ndani ya Yesu tokea anazaliwa kufa na kufufuka.
Nyie mpo programed so lukaluka ila wewe ni app ya Allah uswali usiswali Allah hajali keshakuset uwecfukara anakuchora tu unavyotimiza matakwa yake, anajuavutasex Mara kadhaa utaiba n.k Hina hata haha ya kuswali
Siri tuna freewill tunachagua kwenda kwake au tukatae mbinguni si pa kulazimishwa
Ashakuambieni hakuna WA kubadilisha yake si wajua aliwaambia kuwa kitabu chake kimeshaandikwa iblis huwa anaenda kusoma yatajayotokea kesho kwa kutumwa na waganga,
naelewa ila mifano hiyo no ya jokes
Trinity hufanya kazi pamoja Yesu amesema Baba take yupo ndani yake na yeye yupo ndani mwa baba take Mungu wa kweli tunaamini utatu mtakatifu.
Soma Aya yote Quran 4:171 Yesu no trinity kwenu ni messenger, word of Allah and Spirit of Allah proceeding.
Waislam wanapenda kwenye messenger tu hahaha no Mungu wenu ukisikia kun faya kun ndio Yesu Allah akisema Yesu anaumba ndie kalam
Yohana 17 Soma Aya za nyuma na mbele uenjoy biblia ipo vizuri ujue Yesu alikuwepo na Mungu kabla dunia haijaumbwa.
1Yesu alipokwisha sema hayo, alitazama juu mbinguni, akasema, “Baba, ile saa imefika! Mtukuze Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza. 2Maana ulimpa Mwanao mamlaka juu ya watu wote ili awape uhai wa milele wote hao uliompa. 3Na uhai wa milele ndio huu: Kukujua wewe uliye peke yako Mungu wa kweli, na kumjua Yesu Kristo uliyemtuma. 4Mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa niifanye. 5Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
6“Nimekufanya ujulikane kwa watu wale ulionipa kutoka duniani. Walikuwa watu wako, nawe ukanipa wawe wangu; nao wamelishika neno lako. 7Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako. 8Mimi nimewapa ule ujumbe ulionipa, nao wameupokea; wanajua kwamba kweli nimetoka kwako, na wanaamini kwamba wewe ulinituma.
9“Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale ulionipa, maana ni wako. 10Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana katika hao ulionipa. 11Na sasa naja kwako; simo tena ulimwenguni, lakini wao wamo ulimwenguni. Baba Mtakatifu! Kwa nguvu ya jina lako ulilonipa, tafadhali uwaweke salama ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo mmoja. 12Nilipokuwa nao, mimi niliwaweka salama kwa nguvu ya jina lako ulilonipa. Mimi nimewalinda, wala hakuna hata mmoja wao aliyepotea, isipokuwa yule mwana mpotevu, ili Maandiko Matakatifu yapate kutimia. 13Basi, sasa naja kwako, na nimesema mambo haya ulimwenguni, ili waweze kushiriki kikamilifu furaha yangu. 14Mimi nimewapa ujumbe wako, nao ulimwengu ukawachukia, kwa sababu wao si wa ulimwengu, kama vile nami nisivyo wa ulimwengu. 15Siombi uwatoe ulimwenguni, bali naomba uwakinge na yule Mwovu. 16Wao si wa ulimwengu, kama vile nami nisivyo wa ulimwengu. 17Waweke wakfu katika ukweli; neno lako ni ukweli. 18Kama vile ulivyonituma ulimwenguni, nami pia nimewatuma wao ulimwenguni; 19na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.
20“Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao. 21Naomba ili wote wawe kitu kimoja. Baba! Naomba wawe ndani yetu kama vile wewe ulivyo ndani yangu nami ndani yako. Naomba wawe kitu kimoja kusudi ulimwengu upate kuamini kwamba wewe ulinituma. 22Mimi nimewapa utukufu uleule ulionipa mimi, ili wawe kitu kimoja kama nasi tulivyo mmoja; 23mimi niwe ndani yao, nawe uwe ndani yangu; naomba wakamilishwe na kuwa kitu kimoja, ili ulimwengu upate kujua kwamba wewe ulinituma, na kwamba unawapenda wao kama unavyonipenda mimi.
24“Baba! Nataka hao ulionipa wawe pamoja nami pale nilipo, ili wauone utukufu wangu ulionipa; kwa kuwa ulinipenda kabla ya kuumbwa ulimwengu. 25Baba Mwema! Ulimwengu haukujui, lakini mimi nakujua. Hawa nao wanajua kwamba wewe ulinituma. 26Nimekufanya ujulikane kwao na nitaendelea kufanya hivyo, ili upendo ulio nao kwangu uwe ndani yao, nami niwe ndani yao.”
We know Fix za Mohammad kudai isani yesu ila story ni tofauti wazazi WA Yesu mtume wenu alifikia kusema musa no mjomba wa yesu yaani musa na Maryam wamezaliwa na baba mmoja aitwae Imran mtume wenu wayahudi walimtoa nishai hadi Aisha akacheka kusikia utofauyi ni miaka elfu kadhaa.
Ujinga wa myume wenu alisikia kuwa musa Alicia na Dada aitwaye milliam akajua ni mama WA yesu ndio akabugi eti oh Maryam sister of Musa and Harun sons of Imraan hahaha
Ndio ujue Allah sio Mungu bali no mohammad
We kenge mimi kutaka kukublock sababu huwa unauliza swali ukijibiwa na kulizwa swali unahamia pointing zingine hazihusiku kabisa na unacho uliza na unacho ulizwa ni kama mmoja mjinga kazi ku copy na kupaste.It's good ukiwa unaweka aya kusaidia wasomaji kuliko ujuaji Peter 2:24
Huna la Kucheka Muslim Dhambi zenu zinabebwa na vingi sana kama Hujui Uislam i told usumbufu wako mimi natoa faida tu sababu sipendi uongo uongo ulidhani kutaka kuni block utafaidika nukufahamishe ni hasara ungepata.
Kuna vichekesho vingi sana katika uislam ambavyo mnatucheka huku kwenu vimejaa kuhusu intercession Quran yenyewe Siku ya kiama itakuwa kama Mtu, Jiwe la Kaaba litawekewa macho na na mdomo litatoa ushahidi kwa walioligusa na kuwatetea kisha unasepeshwa hadi firdaus.
Wajua Mtume wenu aliwaambia kuwa Siku ya kiama Allah wenu atachukua Dhambi zenu na kuwabebesha Wakristo au wayahudi kisha ewe musilm unakuwa huna dhambi unaingia Firdaus hahahaha So sisi ni Mwokozi kwenu yaani sisi ndio Yesu kwenu tutabeba dhambi zenu woyiii
Sahih Muslim 2767d
Abu Burda reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Watakuja watu miongoni mwa Waislamu Siku ya Kiyama wakiwa na madhambi makubwa kama mlima, na Mwenyezi Mungu atawasamehe na atawaweka Mayahudi na Wakristo badala yao. (Ninavyofikiri), Abu Raub akasema: Sijui ni nani mwenye shaka. Abu Burda akasema: Nilimsimulia Umar b. Abd al-Aziz akasema: Je, ni baba yako aliyekusimulia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Nikasema: Ndiyo.
Sahih Muslim 2767d
Abu Burda reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians. (As far as I think), Abu Raub said: I do not know as to who is in doubt. Abu Burda said: I narrated it to 'Umar b. 'Abd al-'Aziz, whereupon he said: Was it your father who narrated it to you from Allah's Apostle (ﷺ)? I said: Yes.
Tuna amini Alikufa and alifufuka ndio imani yetu, there is any problem hapo maana kama Biblia ilithibitishwa na Quran yenu means tupo na imani ya ukweli even Allah kusema hakufa yeye but mashahidi walioona ni mwili wa Yesu msalabani na kifo chake na kufufuka kwake hii yenu after miaka 600 Allah kusema hakuwa Yesu ndio tunasema Allah ni mdanganyifu magirini Muongo la laghai, na ulaghai wake akabadilisha majina ya mitume akiwaambieni nyinyi.
Kwa logic ya Allah hata Qutham kumuita Mohammad jina ambalo linamfiti Allah yaani Wakuabudiwa kama mnaamini Mungu ni Mmoja Mohammad ni wa kuabudiwa.
Kafiri ni mpingaji na wewe ni kafiri na nilipokukamata ni pale Jua kuzama kwenye tope la chemchem ulimpinga ukafiri wako huo.
Dua Gani wakati unaambiwa Dajjal ana nguvu kama za Yesu sasa dua gani hizo ujiepushe nae wakati Dua za Waarabu wa Gaza hazifanyi kazi ndio Dua zimzuie Dajjal hahahaha Dajjal hadi Yesu aje na atayayuka kama chumvi inavyoyayuka kwenye maji
Sasa una ligi ya ajabu base kwenye imani ya ukristo kuliko kujionesha u mjinga
Weka source maana Mtume wenu kasema ana khofu mtachanganyikiwa na Dajjal ila mtambue Mungu wenu hana chongo kama Dajjal ila anafanana kila kitu ndio kumtofautisha na Allah sasa Dua zipi hizo hahahaha
Dajjal hashikiki kwa Dua za mtumwa wa Allah
Ndio ukristo tuna muamnini Yesu wewe pinga uwe kafiri
Una pingana na Quran mbona. Kasome vizuri aya, kama Allah anasema atacouse Kifo chake kisha atamtakasa na kumnyenyua nilikuuliza unaweza ukaitakasa Maiti? and firdaus kuna maiti kule? kama hamna Jesus is still Alive
Haupo sawa nadhani unamatatizo ya kuelewa pia unaona aibu kuona uislam ukianikwa uchi wake, Mimi unasema nacopy unataka nitoe kichwani kwangu majibu? Mimi Kola kitu nakuonesha Malibu from source pure muslims, huwa nakushangaa wewe kujifanya unajua tu na huna source ukiulizwa. Nishakuuliza sana hujibu kuwa wewe ni suni unafuata skuli ya Sahaba gani wa Mohammad hujibu kama hujui unasema tu yoga wa nini?We kenge mimi kutaka kukublock sababu huwa unauliza swali ukijibiwa na kulizwa swali unahamia pointing zingine hazihusiku kabisa na unacho uliza na unacho ulizwa ni kama mmoja mjinga kazi ku copy na kupaste.
Islam bila Hadithi ni hamna kitu and wasomi wa kiislam wanasena hata hadith dhaifu hazikataliwi, and unaposema naleta hadithi fake ni easy unaweka grade kuipinga.Siku zote nakuambia hadithi mara nyingi sana unazo leta ni fake ndio sababu nakuambia ukitaka kujuwa Uislam ni kurudi kwenye Qur'an tu au hizo hadithi ziwe hazitofautiani na Qur'an ndio hizo ndio hadithi za kweli.
Hadith za mtume wenu ndio kasema Dajjal no powerful only Jesus ndio anamuweza ukikataa unakuwa hau obey mtume wako so unakuwa no longer muslim same kama Aisha na Hafsa hawakumuheshimu Mohammad. Allah akasema atawa replace na wake waislam na wanaoswali Quran 66:5Wapi uliposoma ukasikia Dijal hashikiki na dua hebu tupe dalili tukasome tupate elimu hahaha.
Dua hazina kazi Allah keshapanga ujio wa Dajjal na kila atakachofanya , dua for what haswa maana Dajjal so kwamba anakuja kuua watu lah hasha yeye ni kukusanya watu wamuamini kama mwokozi miujiza,kuponya magonjwa yote hadi walemavu na kuletea watu utajili n.kSisi tuna soma dua kila kwenye Salaah tunasema hivi Allahuma ini audhubika mini Adhabu Al Kaburi wa Mini Adhabu Al Jahanamu Wa Mini Fitna Mahyaii wa Mamaati wa Min Al Fitna Masihi Dijal.
Kamsome tena Dajjal according to Mohammad amemfananisha na Allah kasoro chongo. Sahih HadithHapo ni dalili wazi Dijal ni Fitna tu hana lolote zaidi ya Fitna ni kama vile Fitna za Zinaa na Fitna zingine zilizo jionyesha na zilizo jificha.
Kama Dijal hawezekani kwa dua basi tusinge fundishwa hizo dua, tungeambiwa msubirini Yesu kristo mpaa arudi ndio atamyayusha kama unavyo dai hahaha.
Quran ni page ambazo hazieleweki so muslim ikabidi watafsiri kila Aya ndio ndugu wa mtume akapewa kazi hiyo inn Abbas na wengine so ukiniuliza hilo swali nitasoma tafsir ya mmoja wa mwanazuoni, hapo ndio unaniambiaga eti mbishi n.k swali langu kwako unaamini tafsir ya nani ili twende sawa.Wewe unaju kwanini Yesu anasema Salamu siku nilipo zaliwa na salamu siku nitakayo kufa na Salamu siku tafufuliwa hai. Surah Maryam 19.33
وَٱلسَّلَـٰمُ عَلَىَّ يَوْمَ وُلِدتُّ وَيَوْمَ أَمُوتُ وَيَوْمَ أُبْعَثُ حَيًّۭا ٣٣
Peace be upon me the day I was born, the day I die, and the day I will be raised back to life.
Hata Yahya mbatizaji alisema hivyo hivyo Salamu siku nimezaliwa na siku nitakufa na siku nitakayofufuliwa hai.
Kama hakufa vipi atafufuliwa kama mnavyo dai nyie na badhi ya Waislamu.
Not holly imejaa dhambi quran kuruhusu kudanganya,kuiba,kuzini na mateka n.k Dhambi inakutoa kwenye u HollyIn the Holy Qur'an,
Almight ni yenye kuweza kila kitu, Allah hawezi kuwa na MtotoAllah the Almighty states:
Hii naomba niweke Comment maana Kuna uongo, katika aya Mutawaffika ni kusababisha kifo cha muda kama kupoteza fahamu sio mawt umauti kuamka kwake ni hadi Kiama kufufuliwa, ndio maana Alka anadai hata ukilala umekufa and ukiamka amekufufua.اِذۡ قَالَ اللّٰہُ یٰعِیۡسٰۤی اِنِّیۡ مُتَوَفِّیۡکَ وَ رَافِعُکَ اِلَیَّ وَ مُطَہِّرُکَ مِنَ الَّذِیۡنَ کَفَرُوۡا وَ جَاعِلُ الَّذِیۡنَ اتَّبَعُوۡکَ فَوۡقَ الَّذِیۡنَ کَفَرُوۡۤا اِلٰی یَوۡمِ الۡقِیٰمَۃِ ۚ ثُمَّ اِلَیَّ مَرۡجِعُکُمۡ فَاَحۡکُمُ بَیۡنَکُمۡ فِیۡمَا کُنۡتُمۡ فِیۡہِ تَخۡتَلِفُوۡنَ
“And when Allah said, ‘O Jesus, I will cause thee to die a natural death and will exalt thee to Myself, and will clear from thee charges of those who disbelieve, and will place those who follow thee above those who disbelieve, until the Day of Resurrection; then to Me shall be your return, and I will judge between you concerning that wherein you differ.’” (Surah al-e-Imran, Ch3: V.56)
Haijaandikwa hivyo kasome wenzio wanavyopingana - Surah Ali 'Imran, Verse 55 - Quran 3:55Hi Aya inathibitisha wazi Yesu alipo paishwa mbinguni Mungu akamwambia lazima nitoe roho yako mpaa siku ya Kiyama ndio atamrudishia roho
Ndugu yako Zakir Naik Kule Naigeria alijibu hilo swali wanaijeria wakashangilia kuwa eti Yesu atawahukumu Christians kwakumuita Yesu no Mungu wewe unakataa sijui upo ignorant au ukorofi tu, mtume wenu amesena Yesu atatoa hukumu ya Haki kwa humankind, (hakaman eadlaan) atavunja msalaba ataondosha Jazya ataharibu mali n.kafu ndio atawahukumu wapi walipo tofautiana. Hapo Aya inathibitisha kafaa na pia sio atakaye Judge watu kama mnavyo dai anaye Judge ni Mungu tu
Mtume wako akiongea unadai ni uzushi niliweka hadi hadith huamini unadai uislam unakataza dhulma wakati non muslim Hana Haki mbele ya muislam hata jizya ni dhulma Quran 9:29, mtume wenu alikuwa anaruhusu dhulma kisa non muslim eti no maadui wa Allah, Kule Mecca na madina wayahudi na wakristo walichoka kodi ya jizya Kuna waliotaka wawe muslim wakakataliwa kisa caliphate watapata wapi pesa hahaha,Kuna lingine?
Afu we Kenge wacha kumzulia Allah atachukua dhambi za Waislam na kuwa twika Wakristo hio umeitoa wapi nipe Aya au ndio uwongo wako wakila siku. Uislam unakataza usimdhulumu mtu yoyote awe Mkristo, Mhindu au Myahudi sijui wewe unatolea wapi hizo Story zako za kanga.
Niliuliza kwa kutumia logic ya maswali yunu muslims mnavyouliza '' show me wapi Yesu kasema mimi ni Mungu mniabudu' hivyo Nami 'nikakuulizeni ni wapi katika Quran Yesu (Issa) amesema mwenyewe mimi ni Al Massiah, hukuweza kujibu leo umabadilisha swali hahahaAfu we kenge siku zote unadai Qur'an ina muita Yesu kama ni Masihi ,
Massiah ni kiarabu? Hahaha I told you Kila Mara acha kufuata akili za watu wa Dawah hawana akili wale ni wapotoshaji tu kila wanaloongea ni uongo hata wakitoa aya soma ya nyuma yake na ya mbele yake utakuta ni out of contents, Massiah ni Mpakwa Mafuta ya upako katika uyahudi walipakwa waliokuwa viongozi wa dini na wafalme chain ya kingship kusimikwa ni Jesus according to Isayah Yesu ndie alitarajiwa na wayahudi awe king wao awaokoe na Tawala za nje waishi Kwa raha kumbe Yesu alikuja tofauti na walivyodhania kumbe ufalme wa kiroho milele na free of dhambi.kweli anaitwa Masihi Issa bin Maryam unajua kwanini alitwa Masihi Issa. Sababu lugha ya kiarabu Masihi ni kufuta na Nabii Issa au kama mnavyo muita Yesu alikuwa akigusa sehemu unamaradhi na akafuta unapona sehemu hizo hapo hapo sababu Mungu alimjalia hivyo na hata yeye hakujisifu hata siku moja na kudai ni uwezo wake alikuwa akisema kwa amri ya Mungu ndio mtu anapona.
Serikali zao za kiislamu hazitaki Injili ihubiriwe. Hivyo Yesu mwenyewe anawatokea sasa kwa njia ya ndoto. Huu ni ujumbe kwa Waislamu wote duniani kuwa wamedanfanywa na Muhamadi. Njia ni Yesu Kristo peke yake wamgeukie atawasamehe dhambi zao na kuwapa uzima wa milele. Kuna wengine wanajitoa sana kwa Allah na kumuomba kwa bidii lakini anayetokea ni Yesu Kristo na akitokea anawaeleza njia sahihi kwamba wasome Biblia na kwenda kanisani.Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Lini kasema?And Mtume wenu alisema msifuate hadith zake mfuate only Quran,
Amri na uwezo ni kutoka kwa AllahHadith za mtume wenu ndio kasema Dajjal no powerful only Jusus ndio anamuweza
Huu ni uongoKamsome tena according to Mohammad amemfananisha na Allah kasoro chongo.
Wapi hapo iliporuhusu zinaa na kuibaNot holly imejaa dhambi quran kuruhusu kudanganya,kuiba,kuzini na mateka n.k Dhambi inakutoa kwenye u Holly
Tumia akili bhana kwani huyo mungu wenu anaweza kuwa Mtanzania kwa mfano 😃Almight ni yenye kuweza kila kitu, Allah hawezi kuwa na Mtoto
Same way aliyotumia kwa Yesu ndio maana ya kuitwa AlmightTumia akili bhana kwani huyo mungu wenu anaweza kuwa Mtanzania kwa mfano 😃
Allah anajua alivyotuumba ndio, akili na saikolojia zetu, ndio maana akasema "Hafanani na chochote kile" elewa "CHOCHOTE".Haupo sawa nadhani unamatatizo ya kuelewa pia unaona aibu kuona uislam ukianikwa uchi wake, Mimi unasema nacopy unataka nitoe kichwani kwangu majibu? Mimi Kola kitu nakuonesha Malibu from source pure muslims, huwa nakushangaa wewe kujifanya unajua tu na huna source ukiulizwa. Nishakuuliza sana hujibu kuwa wewe ni suni unafuata skuli ya Sahaba gani wa Mohammad hujibu kama hujui unasema tu yoga wa nini?
Ili kupunguza majibizano ukisema sect yako tunaanza kubase maswali na Majibu ya uislam maana huwezi kataa. Debate inakuwa poa. Nakupasua vizuri.
Islam bila Hadithi ni hamna kitu and wasomi wa kiislam wanasena hata hadith dhaifu hazikataliwi, and unaposema naleta hadithi fake ni easy unaweka grade kuipinga.
And Mtume wenu alisema msifuate hadith zake mfuate only Quran, na Quran inasema mmfuate muobey mtume wenu na Allah hiyo contradiction mnayo kwenye kila kitu.
Hadith za mtume wenu ndio kasema Dajjal no powerful only Jesus ndio anamuweza ukikataa unakuwa hau obey mtume wako so unakuwa no longer muslim same kama Aisha na Hafsa hawakumuheshimu Mohammad. Allah akasema atawa replace na wake waislam na wanaoswali Quran 66:5
Dua hazina kazi Allah keshapanga ujio wa Dajjal na kila atakachofanya , dua for what haswa maana Dajjal so kwamba anakuja kuua watu lah hasha yeye ni kukusanya watu wamuamini kama mwokozi miujiza,kuponya magonjwa yote hadi walemavu na kuletea watu utajili n.k
Kamsome tena Dajjal according to Mohammad amemfananisha na Allah kasoro chongo. Sahih Hadith
Sunan Abi Dawud 4320 - Battles (Kitab Al-Malahim)
Quran ni page ambazo hazieleweki so muslim ikabidi watafsiri kila Aya ndio ndugu wa mtume akapewa kazi hiyo inn Abbas na wengine so ukiniuliza hilo swali nitasoma tafsir ya mmoja wa mwanazuoni, hapo ndio unaniambiaga eti mbishi n.k swali langu kwako unaamini tafsir ya nani ili twende sawa.
Not holly imejaa dhambi quran kuruhusu kudanganya,kuiba,kuzini na mateka n.k Dhambi inakutoa kwenye u Holly
Almight ni yenye kuweza kila kitu, Allah hawezi kuwa na Mtoto
Hii naomba niweke Comment maana Kuna uongo, katika aya Mutawaffika ni kusababisha kifo cha muda kama kupoteza fahamu sio mawt umauti kuamka kwake ni hadi Kiama kufufuliwa, ndio maana Alka anadai hata ukilala umekufa and ukiamka amekufufua.
Quran anayeongea ni Allah so hawezi kusema pale Allah anaposema ewe Yesu =tumrekebishe -"Ewe Yesu nitaondosha uhai wako kisha nitakutakasa alafu nitakufugua na kukunyakua hadi kwangu, nitawafanya wafuasi wako wawe juu dhidi ya wanaokufuru kina Adiosamigo mnaopinga fidaus Yesu yupo hai kama Kuna dead body basi miili haiwezi ishi kule. Mkienda mtasex vipi?
Hiyo Aya 3:56 inakuhusu 100% were mpingaji wa Allah.
Haijaandikwa hivyo
Ndugu yako Zakir Naik Kule Naigeria alijibu hilo swali wanaijeria wakashangilia kuwa eti Yesu atawahukumu Christians kwakumuita Yesu no Mungu wewe unakataa sijui upo ignorant au ukorofi tu, mtume wenu amesena Yesu atatoa hukumu ya Haki kwa humankind, (hakaman eadlaan) atavunja msalaba ataondosha Jazya ataharibu mali n.k
Je mudy ni muongo? Sahih hadith, Sahih al-Bukhari 3448
حَدَّثَنَا إِسْحَاقُ، أَخْبَرَنَا يَعْقُوبُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، حَدَّثَنَا أَبِي، عَنْ صَالِحٍ، عَنِ ابْنِ شِهَابٍ، أَنَّ سَعِيدَ بْنَ الْمُسَيَّبِ، سَمِعَ أَبَا هُرَيْرَةَ ـ رضى الله عنه ـ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " وَالَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ، لَيُوشِكَنَّ أَنْ يَنْزِلَ فِيكُمُ ابْنُ مَرْيَمَ حَكَمًا عَدْلاً، فَيَكْسِرَ الصَّلِيبَ، وَيَقْتُلَ الْخِنْزِيرَ، وَيَضَعَ الْجِزْيَةَ، وَيَفِيضَ الْمَالُ حَتَّى لاَ يَقْبَلَهُ أَحَدٌ، حَتَّى تَكُونَ السَّجْدَةُ الْوَاحِدَةُ خَيْرًا مِنَ الدُّنْيَا وَمَا فِيهَا ". ثُمَّ يَقُولُ أَبُو هُرَيْرَةَ وَاقْرَءُوا إِنْ شِئْتُمْ {وَإِنْ مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ إِلاَّ لَيُؤْمِنَنَّ بِهِ قَبْلَ مَوْتِهِ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكُونُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا}.
Mtume wako akiongea unadai ni uzushi niliweka hadi hadith huamini unadai uislam unakataza dhulma wakati non muslim Hana Haki mbele ya muislam hata jizya ni dhulma Quran 9:29, mtume wenu alikuwa anaruhusu dhulma kisa non muslim eti no maadui wa Allah, Kule Mecca na madina wayahudi na wakristo walichoka kodi ya jizya Kuna waliotaka wawe muslim wakakataliwa kisa caliphate watapata wapi pesa hahaha,
Niliuliza kwa kutumia logic ya maswali yunu muslims mnavyouliza '' show me wapi Yesu kasema mimi ni Mungu mniabudu' hivyo Nami 'nikakuulizeni ni wapi katika Quran Yesu (Issa) amesema mwenyewe mimi ni Al Massiah, hukuweza kujibu leo umabadilisha swali hahaha
Massiah ni kiarabu? Hahaha I told you Kila Mara acha kufuata akili za watu wa Dawah hawana akili wale ni wapotoshaji tu kila wanaloongea ni uongo hata wakitoa aya soma ya nyuma yake na ya mbele yake utakuta ni out of contents, Massiah ni Mpakwa Mafuta ya upako katika uyahudi walipakwa waliokuwa viongozi wa dini na wafalme chain ya kingship kusimikwa ni Jesus according to Isayah Yesu ndie alitarajiwa na wayahudi awe king wao awaokoe na Tawala za nje waishi Kwa raha kumbe Yesu alikuja tofauti na walivyodhania kumbe ufalme wa kiroho milele na free of dhambi.
Mtume wenu na Allah hawajui Aramaic hata tafsiri story za mitume wa kiyahudi alitafsir Waraqah ibn Nawfal
Mshaambiwa mkipatwa na shaka katika imani mtuulize watu wa kitabu. Maneno ya Aramaic kigiriki na kiebrania mtume wenu na Allah hawakujua tafsir, Mudy angejua maana ya Jina Zachariah angemreplace pia Kwa another name na mngsema ni kiarabu.
Yesu anaweza kuwa mwanamke?Same way aliyotumia kwa Yesu ndio maana ya kuitwa Almight
Wewe kenge yote unayo andika ni ujinga mtupu wewe unataka kusema hakuna hadithi zimeandikwa na Wayahudi hahaha wewe unajua Bukhari alikuwa na hadithi hazizidi hata 400 hizo zingine nani kaziandika. Au sahihi Muslim zingine mpaa waislam wanajiuliza hivi hii kweli hadithi sahihi hahaha. Kwanza Bukhari ni nani mpaa tukubaliane naye au hao walio andika hizo hadithi.Haupo sawa nadhani unamatatizo ya kuelewa pia unaona aibu kuona uislam ukianikwa uchi wake, Mimi unasema nacopy unataka nitoe kichwani kwangu majibu? Mimi Kola kitu nakuonesha Malibu from source pure muslims, huwa nakushangaa wewe kujifanya unajua tu na huna source ukiulizwa. Nishakuuliza sana hujibu kuwa wewe ni suni unafuata while ya Sahaba gani wa Mohammad hujibu kama hujui unasema tu yoga wa nini?
Ili kupunguza majibizano ukisema sect yako tunaanza kubase maswali na Malibu ya uislam maana huwezi kataa. Debate inakuwa poa. Nakupasua vizuri.
Islam bila Hadithi ni hamna kitu and wasomi wa kiislam wanasena hata hadith dhaifu hazikataliwi, and unaposema naleta hadithi fake ni easy unaweka grade kuipinga.
And Mtume wenu alisema msifuate hadith zake mfuate only Quran, na Quran inasema mmfuate muobey mtume wenu na Allah hiyo contradiction mnayo kwenye kila kitu.
Hadith za mtume wenu ndio kasema Dajjal no powerful only Jusus ndio anamuweza ukikataa unakuwa hau obey mtume wako so unakuwa no longer muslim same kama Aisha na Hafsa hawakumuheshimu mohammad. Allah akasema atawa replace na wake waislam na wanaoswali.
Dua hazina kazi Allah keshapanga ujio wa Dajjal na kila atakachofanya , dua for what haswa maana Dajjal so kwamba anakuja kuua watu lah hasha yeye ni kukusanya watu wamuamini kama mwokozi miujiza,kuponya magonjwa yote hadi walemavu na kuletea watu utajili n.k
Kamsome tena according to Mohammad amemfananisha na Allah kasoro chongo.
Quran ni page ambazo hazieleweki so muslim ikabidi watafsiri kila Aya ndio ndugu wa mtume akapewa kazi hiyo inn Abbas na wengine so ukiniuliza hilo swali nitasoma tafsir ya mmoja wa mwanazuoni, hapo ndio unaniambiaga eti mbishi n.k swali langu kwako unaamini tafsir ya nani ili twende sawa.
Not holly imejaa dhambi quran kuruhusu kudanganya,kuiba,kuzini na mateka n.k Dhambi inakutoa kwenye u Holly
Almight ni yenye kuweza kila kitu, Allah hawezi kuwa na Mtoto
Hii naomba niweke Comment maana Kuna uongo, katika aya Mutawaffika ni kusababisha kifo cha muda kama kupoteza fahamu sio mawt umauti kuamka kwake ni hadi Kiama kufufuliwa, ndio maana Alka anadai hata ukilala umekufa and ukiamka amekufufua.
Quran anayeongea ni Allah so hawezi kusema pale Allah anaposema ewe Yesu =tumrekebishe -"Ewe Yesu nitaondosha uhai wako kisha nitakutakasa alafu nitakufugua na kukunyakua hadi kwangu, nitawafanya wafuasi wako wawe juu dhidi ya wanaokufuru kina Adiosamigo mnaopinga fidaus Yesu yupo hai kama Kuna dead body basi miili haiwezi ishi kule. Mkienda mtasex vipi?
Hiyo Aya 3:56 inakuhusu 100% were mpingaji wa Allah.
Haijaandikwa hivyo
Ndugu yako Zakir Naik Kule Naigeria alijibu hilo swali wanaijeria wakashangilia kuwa eti Yesu atawahukumu Christians kwakumuita Yesu no Mungu wewe unakataa sijui upo ignorant au ukorofi tu, mtume wenu amesena Yesu atatoa hukumu ya Haki kwa humankind, (hakaman eadlaan) atavunja msalaba ataondosha Jazya ataharibu mali n.k
Je mudy ni muongo? Sahih hadith, Sahih al-Bukhari 3448
حَدَّثَنَا إِسْحَاقُ، أَخْبَرَنَا يَعْقُوبُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، حَدَّثَنَا أَبِي، عَنْ صَالِحٍ، عَنِ ابْنِ شِهَابٍ، أَنَّ سَعِيدَ بْنَ الْمُسَيَّبِ، سَمِعَ أَبَا هُرَيْرَةَ ـ رضى الله عنه ـ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " وَالَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ، لَيُوشِكَنَّ أَنْ يَنْزِلَ فِيكُمُ ابْنُ مَرْيَمَ حَكَمًا عَدْلاً، فَيَكْسِرَ الصَّلِيبَ، وَيَقْتُلَ الْخِنْزِيرَ، وَيَضَعَ الْجِزْيَةَ، وَيَفِيضَ الْمَالُ حَتَّى لاَ يَقْبَلَهُ أَحَدٌ، حَتَّى تَكُونَ السَّجْدَةُ الْوَاحِدَةُ خَيْرًا مِنَ الدُّنْيَا وَمَا فِيهَا ". ثُمَّ يَقُولُ أَبُو هُرَيْرَةَ وَاقْرَءُوا إِنْ شِئْتُمْ {وَإِنْ مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ إِلاَّ لَيُؤْمِنَنَّ بِهِ قَبْلَ مَوْتِهِ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكُونُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا}.
Mtume wako akiongea unadai ni uzushi niliweka hadi hadith huamini unadai uislam unakataza dhulma wakati non muslim Hana Haki mbele ya muislam hata jizya ni dhulma Quran 9:29, mtume wenu alikuwa anaruhusu dhulma kisa non muslim eti no maadui wa Allah, Kule Mecca na madina wayahudi na wakristo walichoka kodi ya jizya Kuna waliotaka wawe muslim wakakataliwa kisa caliphate watapata wapi pesa hahaha,
Niliuliza kwa kutumia logic ya maswali yunu muslims mnavyouliza '' show me wapi Yesu kasema mimi ni Mungu mniabudu' hivyo Nami 'nikakuulizeni ni wapi katika Quran Yesu (Issa) amesema mwenyewe mimi ni Al Massiah, hukuweza kujibu leo umabadilisha swali hahaha
Massiah ni kiarabu? Hahaha I told you Kila Mara acha kufuata akili za watu wa Dawah hawana akili wale ni wapotoshaji tu kila wanaloongea ni uongo hata wakitoa aya soma ya nyuma yake na ya mbele yake utakuta ni out of contents, Massiah ni Mpakwa Mafuta ya upako katika uyahudi walipakwa waliokuwa viongozi wa dini na wafalme chain ya kingship kusimikwa ni Jesus according to Isayah Yesu ndie alitarajiwa na wayahudi awe king wao awaokoe na Tawala za nje waishi Kwa raha kumbe Yesu alikuja tofauti na walivyodhania kumbe ufalme wa kiroho milele na free of dhambi.
Mtume wenu na Allah hawajui Aramaic hata tafsiri story za mitume wa kiyahudi alitafsir Waraqah ibn Nawfal
Mshaambiwa mkipatwa na shaka katika imani mtuulize watu wa kitabu. Maneno ya Aramaic kigiriki na kiebrania mtume wenu na Allah hawakujua tafsir, Mudy angejua maana ya Jina Zachariah angemreplace pia Kwa another name na mngsema ni kiarabu.
Miaka 1,400 iliyopita au unataka kujua nikupe reference waliomsikia akisema?Lini kasema?
Nipe andikoMiaka 1,400 iliyopita au unataka kujua nikupe reference waliomsikia akisema?
Maamuzi ni yako Ukishaambiwa Almight kila kitu kinawezekana tatizo lenu mnawadharau mama zenu katika uislam, unajua Allah asilimia nyingi ni female alisema mtume wenu anavaa Hijabu(Burka), Allah alisema akitaka kupata mtoto labda asex na houri au Malaika issue ni kubwa Malaika wote ni wa kiume so akisex nao atazaa yeye.Yesu anaweza kuwa mwanamke?
Acha uongo niambie tu yesu anaweza kuwa mwanamke au hawezi?Maamuzi ni yako Ukishaambiwa Almight kila kitu kinawezekana tatizo lenu mnawadharau mama zenu katika uislam, unajua Allah asilimia nyingi ni female alisema mtume wenu anavaa Hijabu(Burka), Allah alisema akitaka kupata mtoto labda asex na houri au Malaika issue ni kubwa Malaika wote ni wa kiume so akisex nao atazaa yeye.
Ila fidaus wanaume pia watazaa wakitaka mtoto.