Jibu ndio au hapana, acha siasaMaamuzi ni yako Ukishaambiwa Almight kila kitu kinawezekana tatizo lenu mnawadharau mama zenu katika uislam, unajua Allah asilimia nyingi ni female alisema mtume wenu anavaa Hijabu(Burka), Allah alisema akitaka kupata mtoto labda asex na houri au Malaika issue ni kubwa Malaika wote ni wa kiume so akisex nao atazaa yeye.
Ila fidaus wanaume pia watazaa wakitaka mtoto.
Kwanza Quran 45:6 mmeambiwa Quran only Hadith msiziaminiNipe andiko
Hiyo aya uliyoisema ni hiiKwanza Quran 45:6 mmeambiwa Quran only Hadith msiziamini
Aya hii pia Quran 4:80 Mohammad amejipa uungu - Mwenye kumt'ii Mtume basi ndio amemt'ii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao.
Hii aya Quran 59:7 Mohammad amejipa Umungu wa duniani anachowaambia mfuate na anachokataza muache.
Mohammad ni mungu wenu na Allah ni mtumwa wa Mohammad.
Quran 69:40 Quran ni maneno binafsi ya Mohammad إِنَّهُ لَقَوْلُ رَسُولٍ كَرِيمٍ indeed, the Qur’an is the word of a noble Messenger.Quran 81:19 pia mtume wenu waarabu walikuwa wanamcheka na Hadithi za mababu wa kale wakamuambia tunazijua zote tena Kwa ufasaha akaona oh noma akaweka aya kuwa Quran no maneno yake mwenyewe sio Allah.
(83)Chapter: The sickness of the Prophet (saws) and his death
Sahih al-Bukhari 4432
Ibn ‘Abbas amesema: “Mtume alipokuwa kwenye kitanda chake cha kufa na wapo baadhi ya watu ndani ya nyumba yake, alisema: Njooni karibu nitakuandikieni jambo ambalo nyinyi hamtapotea baada yake. Baadhi yao (yaani maswahaba zake) walisema, 'Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ni mgonjwa sana na nyinyi mnayo Kitabu (Kitakatifu) cha Mwenyezi Mungu kinatutosha.' Basi wakakhitalifiana watu wa nyumba hiyo na wakaanza kuzozana baadhi yao wakasema: Mpeni maandishi ili akuandikieni jambo ambalo baada yake hamtapotea. na wengine wakasema kinyume chake. Basi yalipozidi maongezi yao na kutofautiana kwao, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) alisema: “Simameni, Ibn Abbas alikuwa akisema: “Hakika ilikuwa ni bahati mbaya (msiba mkubwa) kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alizuiliwa kuandika kwa ajili yao kwa sababu ya tofauti zao na kelele zao.
and Mohammed alisema mzifute hadithi
Imepokewa kutoka kwa Abu Sa’iyd al-Khudriy kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Usiandike chochote kutoka kwangu; mwenye kuandika chochote kutoka kwangu isipokuwa Qur-aan, basi na aifute na anihadithie, kwani hakuna ubaya katika hilo. (Imepokewa na Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)
It was narrated from Abu Sa’eed al-Khudri that the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Do not write anything from me; whoever has written anything from me other than the Qur’aan, let him erase it and narrate from me, for there is nothing wrong with that.” (Narrated by Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)
Yesu ni Male but akitaka by his choice anauwezo wa kuchange shapeAcha uongo niambie tu yesu anaweza kuwa mwanamke au hawezi?
Kwa nini unasema akitaka sasa 😃Yesu ni Male but akitaka by his choice anauwezo wa kuchange shape
Kwani mungu ana jinsia?Yesu ni Male but akitaka by his choice anauwezo wa kuchange shape
Sasa hujaelewa nini hapo? Ni Kua Quran ndio ipo sawa huna haja ya hadithi anymore Kea Aya hii.Hiyo aya uliyoisema ni hii
تِلْكَ آيَاتُ اللَّـهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّـهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ﴿٦﴾
6. Hizi ni Aayaat za Allaah Tunakusomea kwa haki. Basi kauli gani baada ya Allaah na Aayaat Zake wataziamini?
Hakuna iliposema kuwa tuachane na hadithi za Mtume
Hadith ni sahihi unasema ya uongo? Thibitisha uongo wa hadithi Imeandikwa na muislam wa kale ni waislam wanaikubali ila wewe tu hongera. Uongo umetamalaki katika uislam na waislam.Kuhusu hiyo hadithi yako ni ya uongo bila shaka maana inapingana na Qur’an na hadithi sahih za Mtume
| Reference | : Sahih Muslim 3004 |
| In-book reference | : Book 55, Hadith 9 |
Yah me huwa nafata kilichoandikwa na sio kuvutia ninachoona kinafaa. Yesu alituambia tukiwa na Imani japo mfano wa mbegu ndogo kabisa ya haradari tutaweza hamisha mlima mkubwa from place to place.Kwa nini unasema akitaka sasa 😃
Kilichopo hapo linaulizwa swali ikiwa hao hawaamini Qur’an basi ni nini wataamini?Sasa hujaelewa nini hapo? Ni Kua Quran ndio ipo sawa huna haja ya hadithi anymore Kea Aya hii.
Ila uislam bila hadithi hauendi.
45:6
Al-Barwani
Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?
Niambie maana ya "وحدثو عني"حَدَّثَنَا هَدَّابُ بْنُ خَالِدٍ الأَزْدِيُّ، حَدَّثَنَا هَمَّامٌ، عَنْ زَيْدِ بْنِ أَسْلَمَ، عَنْ عَطَاءِ بْنِ يَسَارٍ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ " لاَ تَكْتُبُوا عَنِّي وَمَنْ كَتَبَ عَنِّي غَيْرَ الْقُرْآنِ فَلْيَمْحُهُ وَحَدِّثُوا عَنِّي وَلاَ حَرَجَ وَمَنْ كَذَبَ عَلَىَّ - قَالَ هَمَّامٌ أَحْسِبُهُ قَالَ - مُتَعَمِّدًا فَلْيَتَبَوَّأْ مَقْعَدَهُ مِنَ النَّارِ " .
Wewe kiumbe wa Mr Brian Deacon(Yesu), Qur'an haipingi aya zake.Kwanza Quran 45:6 mmeambiwa Quran only Hadith msiziamini
Aya hii pia Quran 4:80 Mohammad amejipa uungu - Mwenye kumt'ii Mtume basi ndio amemt'ii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao.
Hii aya Quran 59:7 Mohammad amejipa Umungu wa duniani anachowaambia mfuate na anachokataza muache.
Mohammad ni mungu wenu na Allah ni mtumwa wa Mohammad.
Quran 69:40 Quran ni maneno binafsi ya Mohammad إِنَّهُ لَقَوْلُ رَسُولٍ كَرِيمٍ indeed, the Qur’an is the word of a noble
Messenger.Quran 81:19 pia mtume wenu waarabu walikuwa wanamcheka na Hadithi za mababu wa kale wakamuambia tunazijua zote tena Kwa ufasaha akaona oh noma akaweka aya kuwa Quran no maneno yake mwenyewe sio Allah.
(83)Chapter: The sickness of the Prophet (saws) and his death
Sahih al-Bukhari 4432
Ibn ‘Abbas amesema: “Mtume alipokuwa kwenye kitanda chake cha kufa na wapo baadhi ya watu ndani ya nyumba yake, alisema: Njooni karibu nitakuandikieni jambo ambalo nyinyi hamtapotea baada yake. Baadhi yao (yaani maswahaba zake) walisema, 'Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ni mgonjwa sana na nyinyi mnayo Kitabu (Kitakatifu) cha Mwenyezi Mungu kinatutosha.' Basi wakakhitalifiana watu wa nyumba hiyo na wakaanza kuzozana baadhi yao wakasema: Mpeni maandishi ili akuandikieni jambo ambalo baada yake hamtapotea. na wengine wakasema kinyume chake. Basi yalipozidi maongezi yao na kutofautiana kwao, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) alisema: “Simameni, Ibn Abbas alikuwa akisema: “Hakika ilikuwa ni bahati mbaya (msiba mkubwa) kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alizuiliwa kuandika kwa ajili yao kwa sababu ya tofauti zao na kelele zao.
and Mohammed alisema mzifute hadithi
Imepokewa kutoka kwa Abu Sa’iyd al-Khudriy kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Usiandike chochote kutoka kwangu; mwenye kuandika chochote kutoka kwangu isipokuwa Qur-aan, basi na aifute na anihadithie, kwani hakuna ubaya katika hilo. (Imepokewa na Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)
It was narrated from Abu Sa’eed al-Khudri that the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Do not write anything from me; whoever has written anything from me other than the Qur’aan, let him erase it and narrate from me, for there is nothing wrong with that.” (Narrated by Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)
Hoja yetu ni kwamba wewe umesema kuwa Allah hawezi kuwa na watoto kwa hiyo sio Almighty mimi nikakuuliza yesu anaweza kuwa mwanamke ukasema akitaka anaweza sasa na mimi nikisema Allah akitaka anaweza nitakuwa nimekosea?Yah me huwa nafata kilichoandikwa na sio kuvutia ninachoona kinafaa. Yesu alituambia tukiwa na Imani japo mfano wa mbegu ndogo kabisa ya haradari tutaweza hamisha mlima mkubwa from place to place.
And Aliwaambia wayahudi vitabu vyao vinawatambua kuwa ni Miungu, truth we are gods without faith alikuja kutuamsha tujijue ila bado tupo usingizini
Baba yake Yesu ametuambia tukisali tusema Baba yetu uliye juu mbinguni. So ni Male.Kwani mungu ana jinsia?
Hayo maneno alisema baba yake yesu au yesu mwenyewe?Baba yake Yesu ametuambia tukisali tusema Baba yetu uliye juu mbinguni
Hapa kila ulichoandika umetoa kwenye hadithi za uongoWenu Allah Quran inamuita He, mean ni Male, lia Kwa kauli za mtume wenu ni ambiguous kufananisha na Dajjal means ni male, kusema anavaa hijab ni technical fault means female, na kusema labda awe na Thuwaiba ili kupata mtoto ni male, kusema asex na malaika nalo ni technial fault female. Na kusema firdaus ukitaka chochote unapata inaama watakao taka kusex nae wataweza means male female.
Allah kumuumba Adam Kwa mfano wa sura yake taswira, mean male.
Allah hana mabintiAllah the moon goddess aliwakataa mabinti zake Al uzza, Al Lat na Manat, kupitua female sun goddess
Halo Allah ni Male.
Inaelekea akili yako haiko sawa.Yesu ni Male but akitaka by his choice anauwezo wa kuchange shape
Sijasema mimi yeye ndie amesema hawezi kuwa na mtotoHoja yetu ni kwamba wewe umesema kuwa Allah hawezi kuwa na watoto kwa hiyo sio Almighty mimi nikakuuliza yesu anaweza kuwa mwanamke ukasema akitaka anaweza sasa na mimi nikisema Allah akitaka anaweza nitakuwa nimekosea?
Sio Mimi huo ni uislam na Quraish, waarabu before uislam Allah aliabudiwa na Quraish na Hao ni mabinti zake aliwakana sababu mkewe kila akizaa ni wakike tu na hao mabinti waliabudiwa na Arabs na Mtume wenu pia kabka ya uislam na baada ya uislam. Unataka Aya ba Hadithi?Allah hana mabinti
Au sio wewe uliyesema hawezi kuwa na watoto mbona unajichanganya?
IQ ndogo sana:Baba yake Yesu ametuambia tukisali tusema Baba yetu uliye juu mbinguni. So ni Male.
Ukija kwenye biblia Inasema tufanye mtu kwa mfano wetu, Adam akaumbwa ni Male, sijui kwa Eva maybe miungu wa mfano wa mwanamke ipo
Wenu Allah Quran inamuita He, mean ni Male,
Wapi kauli ya mtume kumfananisha Allah na Dajjal ?lia Kwa kauli za mtume wenu ni ambiguous kufananisha na Dajjal means ni male
Tafuta maarifa sahihi umjue Allah cz mtandaoni kuna noise nyingi., kusema anavaa hijab ni technical fault means female, na kusema labda awe na Thuwaiba ili kupata mtoto ni male, kusema asex na malaika nalo ni technial fault female. Na kusema firdaus ukitaka chochote unapata inaama watakao taka kusex nae wataweza means male female.
Usilete tamaduni za kikristo kujibu hoja za uislamAllah kumuumba Adam Kwa mfano wa sura yake taswira, mean male.
Al uzza, Al lat, na Manat ni Miungu maarufu makkah kabla ya uislam hata Rasurullah aliikuta. Waliiman kindaki ndaki waliita mabint wa Allah na ndio chanzo cha kushushwa aya katika Suratul Iqhras.Allah the moon goddess aliwakataa mabinti zake Al uzza, Al Lat na Manat, kupitua female sun goddess
Halo Allah ni Male.
Malibu ya dini yanajibika kwa dini hizo hizo.