Yesu ni Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. Jina lake lihimidiwe mileleKumbe unaweza kukwepa kusoma au kusikia habari za Yesu kwenye mitandao na mikutano ya Injili, lakini huwezi kumkwepa Yesu akija kwako katika ndoto!
Unatumia idiology ya kipumbavu kama akili za kiislam, ni same na kuuliza nionesheni wapi Allah katamka hizi ndio nguzo tano za kiislam, Wapi Allah katamka kuwa Ukitamka shahada ndio unakuwa muislam, wapi Allah kasema Tawheed, wapi Yesu kasema yeye ni Al Massiah katika quran, wapi Allah kasema mswali mara Tano kwa siku. Uislam ni mafunzo ya upumbavu.Mimi na wachallenge Wakristo wote duniani wanionyeshe wapi Yesu alisema fateni ukristo mtaokoko. Hamuwezi kunijibu hata mjikusanye Wakristo wote duniani hamjibu hili swali. Ukristo si kauleta yule mkosa nyumba alishia kuota yuko chini ya mkunazi hata ukristo ni dini ya ndoto tu 😄
Mudi mwenyewe keshatangulia jahnamu Allah yeye atakuwa wa mwishoKobaaz wangejua wangetubu sasa na kumuamini Mungu Jehovah maana very soon anakuja shetan mwenyewe kuwatawala akimtumia huyo wenyewe wanamuita mahdi aisee atawafanyia unyama ambao haujawahi tokea duniani iwepo na pindi kobaaz hawa wanapokufa wanaenda jehanam
Nimekupa swali wewe na wakristo umekimbia swali. Hizo Story zako nilisha kujibu zote sioni reason ya kumjibu Kenge.Unatumia idiology ya kipumbavu kama akili za kiislam, ni same na kuuliza nionesheni wapi Allah katamka hizi ndio nguzo tano za kiislam, Wapi Allah katamka kuwa Ukitamka shahada ndio unakuwa muislam, wapi Allah kasema Tawheed, wapi Yesu kasema yeye ni Al Massiah katika quran, wapi Allah kasema mswali mara Tano kwa siku. Uislam ni mafunzo ya upumbavu.
Tukujibu na challenge yako ya kipumbavu:-
Swali lako pia linamuhusu Allah na Mohamned, Adiosamigo ameamua kumchallenge Allah too. Quran 3:55
Allah anasema wamfuatao Yesu watakuwa wenye uwezo kiakili, kinguvu dhidi ya waislamu hadi siku ya Kiama hahaha na pia atawahukumu wanaowapinga makafiri na kutowaamini wafuasi wa Yesu christians. Haswa wewe kafiri Adiosamigo
Sahih International
when Allah said, “O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve and make those who follow you superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ.
Tukija on Bible Mathew 2:2 11 kasome, wiseman walifuata nyota kutoka nchi mbalimbali duniani wakasema Mfalme wa jews kazaliwa wameiona nyota yake wamekuja kumletea zawadi na kumuabudu.
Mathew 2:2 11 Walimuona Mtoto yesu wakamuabudu.
View attachment 3430634
Mathew 14:33 - Yesu aliabudiwa so tambua hao ndio wamfuatao yesu wanaitwa wakristo
Mathew 28:9 Baada ya kufufuka aliabudiwa
Mathew 28:6 Yesu anaabudiwa mlimani juu
Luka 24:50-53
Tutizame vigezo vya Allah ipi uabudiwe hahaha islam is jokes
1. Uweze kuumba japo nzi
Yesu katika version Yesu kaumba ndege kwa udongo kisha akampulizia hewa yake ndege Alawa Hai na akapaa.
Dini maana yake ni njia ya Maisha yako
So Yesu anasema yete ndie njia ya kweli na uzima hajalazimisha mtu na akasema only yeye ukimfuata ndio utauona ufalme wake na uzima wa milele.
View attachment 3430671
Yesu Ndiye Njia Ya Kufika Kwa Mungu
14 Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. 2 Katika nyumba ya baba yangu mna nafasi nyingi. Kama sivyo, nisingeliwaambia kwamba nakwenda kuwaandalia makao. 3 Na nikishawaandalia, nitarudi kuwachukua mkae pamoja nami; ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo. 4 Ninyi mnajua njia ya kufikia ninakokwenda.” 5 Tomaso akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda; tutaijuaje njia?” 6 Yesu akawaam bia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu. 7 Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu. Tangu sasa mnamfahamu Baba yangu na mmemwona.”
8 Filipo akamwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba yako nasi tutaridhika.” 9 Yesu akamjibu, “Filipo, imekuwaje hunifahamu baada ya mimi kuwa pamoja nanyi muda wote huu? Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. Sasa inakuwaje unasema, ‘Tuonyeshe Baba’? 10 Je, huamini ya kuwa mimi niko ndani ya Baba yangu, na Baba yangu yuko ndani yangu? Mambo ninayowaambia siyasemi kwa mamlaka yangu mwenyewe, bali yanatoka kwa Baba yangu ambaye anaishi ndani yangu, na ndiye anayetenda haya yote. 11 Niaminini ninapowaambia ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu na Baba yangu yu ndani yangu. La sivyo, niaminini kwa sababu ya haya mambo ninayotenda. 12 Ninawaambia hakika, mtu ye yote akiniamini ataweza kufanya miujiza kama hii na hata zaidi, kwa kuwa mimi ninakwenda kwa Baba yangu. 13 Kitu cho chote mtakachoomba kwa jina langu, nitawafanyia, ili Baba yangu apate kutukuzwa kwa yale ambayo mimi Mwanae nitawafanyia. 14 Mkiniomba cho chote kwa jina langu nitawafanyia.”
UKRISTO NI MTAMU Soma maandiko hadi raha
Umesoma Biblia John 14-1-14 au unajifanya huoni kama kawaida yako? kila siku najua utauliza same question kama deja vuNimekupa swali wewe na wakristo umekimbia swali.
Hujawahi jibu chochote cha ukweli na usirudie tena kusema una challange christians..Hizo Story zako nilisha kujibu zote sioni reason ya kumjibu Kenge.
Kenge mmoja wewe umeshindwa kujibu swali langu wapi Yesu kasema fateni ukristo mtaokoka.Umesoma Biblia John 14-1-14 au unajifanya huoni kama kawaida yako? kila siku najua utauliza same question kama deja vu
Hujawahi jibu chochote cha ukweli na usirudie tena kusema una challange christians..
Lini ulijibu swali la ni wapi katika Quran Yesu amesema mimi ndie Al Messiah?
Mtume wenu Mohammad alikuwa anakimbia debate maana ndizo zilizozua disaster katika uislam maana alikuwa kilaza na mjinga alikuwa akifuatwa tu anaulizwa haya kama wewe ni Mtume wa Mungu tuelezee kuhusu Mtume mwenye pembe mbili Alexander the Great kisha shushushu anatumwa anampa kitabu cha hadith za simulizi bed time story za Suleiman with Flying Calpet, Suleiman Talk to Ants au Story za Alexander the great, Mjinga mudy kesho yake au baada ya wiki anakalilishwa story anawaita Wakristo na wayahudi anawaelezea hizo story wanamcheka wanaondoka wanasema hakuna mtume hapo zaidi ya Taperi hata mitego midogo ananaswa ujinga wa Mudy hizo story ni za uongo kabisa story zinaelezea Jua kuzama kwenye tope hahaha.
Mtume wenu alipostuka ndipo akawaambia msiseme wakristo waongo na msiamini story zao.. Ndicho mlichonacho muslims na huo ndio uislam sio wewe kutwa kutukana na kutaka kushiindana na Ukristo huku ukiamini kuwa dsisi tna dini yetu na nyie mna dini yenu lakini hamuishi kutuita majina mabaya kila siku... mimi nawaumbua tu from your kurasa zenu maana Quran ni kurasa sio kitabu.
Adiosamigo Amekubali hoja yake ya Yesu imepata majibu murua na hana la kuongeza.. Good job sasa ubatizwe umeishiwa maswali yote ya Ku Challange Ukristo na Yesu
View: https://www.youtube.com/shorts/8BUr1HC6tR8?feature=share
Hizo Story za Kanga kazipeleke kwa mabasha wako Tela AvivAdiosamigo eti Mtume wako kipenzi Mohammed wake wake wawili walikuwa sio waislamu? Aisha na Hafsa hadi Allah alitaka kuwa replace na wanawake wa kiislamu wanaoswali hahaha ibada njema inaanzia nyumbani ila kwa mudi haikuwa hivyo. Walikuwa hawajawahi, mjomba wake Abu Talib alikuwa ***** hadi inasemekana alikuwa hawezi kulala bila kumwagiwa mbegu za kiume na mwanaume yeyote hapo nyumbani kwa mtume wenu mwenye uislam wa peke yake tofauti na nyie
Afadhali hao waliomkataa, nyinyi na shetani wenu mkamsingizia uongo lukuki. Kwa tu hilo jina Issa sijui mlilitoa wapi, maana yesu ikitafsiriwa kwa kiarabu siyo issa. Maria shetani wenu ati akasema ni mtoto wa imran na kaka yake ni haruni duuu waongo nyinyi Waislamu kwa kiwango cha barabara ya vumbiWewe ni mpumbavu,toka lini uislamu ulimkataa Yesu? Waliomkataa Yesu ni Wayahudi,
Yesu na Mama yake wanatambulika kwenye Uislamu,
Hizo nchi ambazo ukibadili dini unahukumiwa kifo unaweza kuzitaja hapa na kuweka hiyo sheria kutoka kwenye reliable source?
Wahi tiba Mirembe usije kuanza kula majalalani.
Binti ungejifundisha kuandika kwanza coz haya matapishi uliyo yamwaga hapa hata hueleweki ndio umesema nini!Afadhali hao waliomkataa, nyinyi na shetani wenu mkamsingizia uongo lukuki. Kwa tu hilo jina Issa sijui mlilitoa wapi, maana yesu ikitafsiriwa kwa kiarabu siyo issa. Maria shetani wenu ati akasema ni mtoto wa imran na kaka yake ni haruni duuu waongo nyinyi Waislamu kwa kiwango cha barabara ya vumbi
Unaweza kuniambia ni aya ipi katika Qur’an inayotaja jina ‘Yesu’? Ninavyojua mimi, Qur’an inamtaja Isa, na Isa sio Yesu.Iman ya kiislam na Quran na mtume Muhammad vyote vinamuani na kumkubal na kumtaja yesu kama mtume na mjumbe wa mungu dunian.. uislam unafundisha yesu pia ni muislam.. muislam anaehama din manake alikua muislam jina hakua ameusoma uislam na kuuelewa
Umeongezea tena kuokoka? kwani umesikia tupo hatarini sisi? Jesus hajalazimisha mtu kumfuata ni just freewill husomi biblia so hujui wakristo wanaamini nini ukishajua ndipo unatakiwa uulize maswali sio unakuwa kama makimba yakitaka kutoka unaenda achama chooni. Massiah unajua maana yake? Mwokozi si ndio so ukimfuata ndio utaokoka uislam huko mnamtambua kama ni mwokozi so alisema mwenyewe atakayemfuata ndie ataokoka so sisi tunamfuata. KasomeKenge mmoja wewe umeshindwa kujibu swali langu wapi Yesu kasema fateni ukristo mtaokoka.
Hujawahi jibu kutoka kwangu wala kuleta source za uislam wako unapojifunzia uislam ukubwani.Hizo story zingine we baki nazo siwezi kukujibu kila wakati rudia topic zote za nyuma tulio onge nimejibu yote hayo maswali. We huwa hujibu swali .
Mathew alisema anyone akitaka kunifuata aache vyake vyote amfuateAcha kunipotezea mda huwezi jibu potea zako.
Swali wapi Yesu kasema fateni ukristo mtaokoko , we huwezi jibu na wakristo wote. Unajibu leta huna potea zako.
Video za vichekesho bado hujaacha kuleta mnadanganywa sana na wajinga wenzuenu wa kiislam fungua website yenye Quran au app kisha use arabic word hizo maneno ayasemayo kisha search utakuta jamaa ni muongo wa hizo number mnaingizwa chaka kwa kutumia tafsir Waarabu wenyewe wakisikia wanacheka, yule miracle 19 ashad khalifa walimuua maana hizo miracle zake ilibidi aondoshe aya za kuran ili 19 ifit kwenye new version ya Quran yake mpya.
Mbona hata Enoch alichukuliwa na Mungu na hata Yesu hakujua saa ya mwisho akiashiria kunyenyekea kwa MunguNi siasa Kali tu kwa Waislam, kukataa uungu wa Yesu. Yesu ametajwa, katika Quran zaidi ya mara 108, wakati Mohamed ametajwa mara 4 tu. Yesu anaponya, wakati, Mohamed, hakuweza. Yesu alifufuka,, Mohamed yuko kaburini. Yesu ndiyo alama ya kiama, Mohamed hajui mwisho wake.
Yesu hakujua saa ya Mwisho? una wazimu? Yesu alisema ni kazi ya baba yake kuamua tu ila anajua na akatuambia dalili zake zote. ikiwemo vita kuu za kujimaliza sisi wenyewe nadhani jinsi tunavyoiharibu dunia kwa viwanda vyetu na ma nuke war probably. so Yesu anajua siku ila ku anounce ni kazi ya Baba ila tambua alisema baba yangu yupo ndani mwake anaishi na yeye yupo ndani ya baba yake so ushaelewa? and Quran inasema msiwe na shaka kamwe Yesu anajua saa ya KiamaMbona hata Enoch alichukuliwa na Mungu na hata Yesu hakujua saa ya mwisho akiashiria kunyenyekea kwa Mungu
Baba ni kuamua Dalili zote Yesu keshatufahamishaMarko 13:32
“Lakini kuhusu siku hiyo au saa hiyo hakuna ajuaye... wala Mwana ila Baba peke yake".
jina "Isa" asili na muunganiko wake:Unaweza kuniambia ni aya ipi katika Qur’an inayotaja jina ‘Yesu’? Ninavyojua mimi, Qur’an inamtaja Isa, na Isa sio Yesu.
Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa. Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo: Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu. Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro...www.jamiiforums.com