subiri uone
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 753
- 624
Yesu hakujua saa ya Mwisho? una wazimu? Yesu alisema ni kazi ya baba yake kuamua tu ila anajua na akatuambia dalili zake zote. ikiwemo vita kuu za kujimaliza sisi wenyewe nadhani jinsi tunavyoiharibu dunia kwa viwanda vyetu na ma nuke war probably. so Yesu anajua siku ila ku anounce ni kazi ya Baba ila tambua alisema baba yangu yupo ndani mwake anaishi na yeye yupo ndani ya baba yake so ushaelewa? and Quran inasema msiwe na shaka kamwe Yesu anajua saa ya Kiama
Baba ni kuamua Dalili zote Yesu keshatufahamisha
Kasome Quran 43:61 Na kwa hakika Yesu ndie ajuae Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
English - Sahih International
43:61 And indeed, Jesus will be knowledge of the Hour, so be not in doubt of it, and follow Me. This is a straight path.
Adiosamigo njoo usome tena Njia iliyonyooka ya Yesu na msiwe na Shaka juu yake mfuateni
We endelea kuota kama Yesu yuko hai, atafufuliwa kama wengine hio saa yeye ndio atakuwa shahidi kwa yale mnayo mzulia. Kenge mmoja wewe hebu kasome Qur'an uone inavyo kufahamisha kufufuka kwake kama wengine sio mnavyo dhania.Yesu hakujua saa ya Mwisho? una wazimu? Yesu alisema ni kazi ya baba yake kuamua tu ila anajua na akatuambia dalili zake zote. ikiwemo vita kuu za kujimaliza sisi wenyewe nadhani jinsi tunavyoiharibu dunia kwa viwanda vyetu na ma nuke war probably. so Yesu anajua siku ila ku anounce ni kazi ya Baba ila tambua alisema baba yangu yupo ndani mwake anaishi na yeye yupo ndani ya baba yake so ushaelewa? and Quran inasema msiwe na shaka kamwe Yesu anajua saa ya Kiama
Baba ni kuamua Dalili zote Yesu keshatufahamisha
Kasome Quran 43:61 Na kwa hakika Yesu ndie ajuae Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
English - Sahih International
43:61 And indeed, Jesus will be knowledge of the Hour, so be not in doubt of it, and follow Me. This is a straight path.
We kenge.nilisha kuambia Yesu kafa atafufuliwa pamoja na sisi
Quran 19:12-15
12. Mtoto alipozaliwa, Mwenyezi Mungu akamwambia “Ewe YaHya, shikamane na Kitabu kwa uthabiti. Na tukampa hikima angali mtoto.
13. na (akambariki) upendo utokao kwetu sisi, na usafi; naye alikuwa mcha Mungu.
14. na akawafanyia wema wazazi wake; na hakuwa dhalimu (au) muasi.
15. Amani iwe juu yake (Yohana mbatizaji/Yahya) siku aliyozaliwa, siku atakayokufa na siku atakayofufuliwa.
Ina maana Yohana Mbatizaji pia alifufuka, sivyo?
Aya hizi zinahusiana na maisha, kifo na ufufuo wa mwisho kabla tu ya siku ya hukumu.
Basi amani iwe juu yake atakapo zaliwa (Yesu) atakapo kufa, na atafufuliwa (tena) muda mfupi tu kabla ya kuanza siku ya kiama.
Kila mtu atafufuliwa siku hiyo, lakini amani ya Mwenyezi Mungu iko juu Yesu na Mitume wote
So peace be on the him when he (Jesus) was born, when he will die, and he will be raised alive (again) just moments before the commencement the baptist) and 1 messenger (Jesus) is mentioned by name.
Adiosamigo njoo usome tena Njia iliyonyooka ya Yesu na msiwe na Shaka juu yake mfuateni
Huyu genye zinamsumbua single mazaMtafute Yesu kabla hujatupwa kwenye fire isiyozimika🔥🔥🔥
Inahitaji akili ya milembe kuamin Mungu aliumba dhambi akajifanya mwanadamu iliaje afe kwa ajili ya dhambi hiyoMtafute Yesu kabla hujatupwa kwenye fire isiyozimika🔥🔥🔥
Mimi ni Muislam siamini Yesu atarudi sababu Qur'an inasema alisha kufa kama Mitume wengine.View attachment 3431697
Waislamu tuna amini kurudi kwa Yesu (ISA)ni katika alama kubwa za kiyama(siku ya Mwisho) na atakuja kupambana na (Masih dajjal)Masihi wa Uwongo.
Hakuna nabii yeyote anayeijuwa hiyo siku maana hiyo nielimu ya Mungu pekeyake.
Asanteni sana Adiosamigo na subiri uone kwa kushiriki mada hii. Kumbe hata kati yenu Waislamu wenyewe, kuna tofauti za maoni kuhusu kama Yesu atarudi au la, na pia kuhusu nafasi ya Qur’an dhidi ya Hadith. Hili linaonyesha kuwa ili kupata tafsiri sahihi za Maandiko inahitaji kutafakari kwa kina.Mimi ni Muislam siamini Yesu atarudi sababu Qur'an inasema alisha kufa kama Mitume wengine.
Navyo elewa mimi Masih Dijal Mtume alisha tuambia namna ya kujikinga nae kwa dua.
Ukisema Yesu atarudi unaipinga Qur'an sababu Qur'an inasema kisha kufa kama wengine.
Duh hivi wewe ume block akili yako? i thought nilishakufundisha before ukaelewa anyway najua ulielewa ila kwenye public unajifanya kiburi na mkaidi Quran 3:55 unaielewaje wewe kama huamini wanazuoni wa Kiislam.We endelea kuota kama Yesu yuko hai,
Quran 3:55 Wewe ndie unamzulia na umetajwa kwenye aya inayofuata tu 3:56 mnaobisha hahahaatafufuliwa kama wengine hio saa yeye ndio atakuwa shahidi kwa yale mnayo mzulia.
Raha ya kudeal na Muslim akikuamia kitu kakisome kwa original text zao maana aki tafsiri anaongopa anaweka mabano kuficha upumbavu wa Allah na Mudy hahaha twende tusomeKenge mmoja wewe hebu kasome Qur'an uone inavyo kufahamisha kufufuka kwake kama wengine sio mnavyo dhania.
Kichekesho hiki hiyo mabano yako unajua kuwa Mtume wenu alisema only Musa ndie aliongea na Binadamu? sasa John tena enh? i told you Quran always against Quran kitabu cha kijinga sana chochote kilichoandikwa kinapingana na kingine so mwisho wa siku ni fake religion. alafu umeweka hadi Tabasamu hahahaQur'an 19:12-15
12. (Mtoto alipozaliwa, Mwenyezi Mungu akamwambia🙂 “Ewe YaHya, shikamane na Kitabu kwa uthabiti. Na tukampa hikima angali mtoto.
Andika tu Sisi wakina Allah tuliktakasa so Yesu alikuwa ni Mtakatifu13. na (akambariki) upendo utokao kwetu sisi, na usafi; naye alikuwa mcha Mungu.
Good Job14. na akawafanyia wema wazazi wake; na hakuwa dhalimu (au) muasi.
Unaendeleza uongo wa Mabano. Kiarabu hamna hiyo kitu Yohana15. Amani iwe juu yake (Yohana mbatizaji/Yahya) siku aliyozaliwa, siku atakayokufa na siku atakayofufuliwa.
Tukuulize wewe wapi Quran imetaja Yahana kwenye hiyo Aya 19:15Ina maana Yohana Mbatizaji pia alifufuka, sivyo?
Yesu alifufuka siku ya tatu na Yupo haii na atarudi tena wewe ni fake muslim disbeliever a.k.a KafirAya hizi zinahusiana na maisha, kifo na ufufuo wa mwisho kabla tu ya siku ya hukumu.
wajua kuchangia au kuongeza maneno kwenye Quran ni kumshinda Allah kiuwezo maana alisema hakuna awezaye ila wewe umeweza so wewe ni kiboko wa Allah? Quran 6:115,Basi amani iwe juu yake atakapo zaliwa (Yesu) atakapo kufa, na atafufuliwa (tena) muda mfupi tu kabla ya kuanza siku ya kiama.
Sheikh gani anakupumbaza na maandiko yapo tayari hayazungumzii unayosemaKila mtu atafufuliwa siku hiyo, lakini amani ya Mwenyezi Mungu iko juu ya mitume na manabii wake, ambapo nabii (Yohana mbatizaji) na (Yesu) ametajwa kwa jina.
Hakika mwanakondoo ameshinda tumfuateRipoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Mimi nashukuru sana 🙏🏽 kwa busara zako sijaona ukimtukana Mtu japokuwa miongoni mwetu hawa fuati maandiko kama Allah alivyo tuamrsha (Qur’an 17:53)Asanteni sana Adiosamigo na subiri uone kwa kushiriki mada hii. Kumbe hata kati yenu Waislamu wenyewe, kuna tofauti za maoni kuhusu kama Yesu atarudi au la, na pia kuhusu nafasi ya Qur’an dhidi ya Hadith. Hili linaonyesha kuwa ili kupata tafsiri sahihi za Maandiko inahitaji kutafakari kwa kina.
Mimi ni Mkristo, naamini kuwa Yesu ni zaidi ya nabii, ni Masihi aliye hai sasa, aliyekufa na kufufuka, na atarudi tena kuhukumu dunia kwa haki. Ndio maana imenigusa sana kusikia ndugu zetu Waislamu wakimwona Yesu katika ndoto akiwa hai na kuwaita kwake. Kwangu mimi hizo sio ndoto za kawaida, bali ni dalili kuwa Yesu bado anaongea na watu kwa upendo.
Sasa, kwa kuwa nyinyi wawili hamkubaliani juu ya mafundisho yenu wenyewe kuhusu Isa, si ni vema mkajiuliza: Je, kuna uwezekano kwamba kile mlichofundishwa hakikuwa picha kamili ya Yesu? Na je, kama kweli Yesu yuko hai na anazungumza leo kupitia ndoto, si ni vema mkachunguza upya ujumbe wake?
Yesu alisema: ‘Tafuteni nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa.’ Kama Waislamu hao wa Mashariki ya Kati wamemuona Yesu katika ndoto na maisha yao yamebadilika, hiyo si ni sababu ya kila mmoja wenu kusimama kimya kwa muda na kuomba Mungu awafunulie ukweli?
"Ee Mungu uwafunulie ukweli ndugu hawa. Uwajulishe waziwazi kuwa Yesu atarudi. Katika Jina la Yesu, amen."
Wewe sio Muislam Muislam lazima aamini ujinga wote wa Quran na Hadithi lazima uwe mtumwa wa Allah. wewe ni fake one Jesus is still Alive in Heaven. na Quran ime confirm Torat na Injil Bible. Quran 5:46Mimi ni Muislam siamini Yesu atarudi sababu Qur'an inasema alisha kufa kama Mitume wengine.
Unachekesha Sana story ya Dajjal ndio inathibitisha kuwa Yesu ni Mungu according to Mohammad.Navyo elewa mimi Masih Dijal Mtume alisha tuambia namna ya kujikinga nae kwa dua.
| Grade: | Sahih (Al-Albani)Sunan Abi Dawud 4320 |
Uislam ulikamilika Quran surat ya 5 sasa hayo ma aya mengine yana kazi gani au ndio uongo?Ukisema Yesu atarudi unaipinga Qur'an sababu Qur'an inasema kisha kufa kama wengine.
Na Muislam yoyote anatakiwa afahamu hawezi kuja mtu wa aina yoyote ile bada ya Mtume Muhammad kuja kugombania Uislam. Uislam ulisha kamilika wakati wa Mtume Muhammad.
Kama huamini Jesus na Siku ya Kiama ndie ajuaye na Mtume wako pia humuamini? zile kodi zenu Jizyah dhidi yetu vipi nani atazifuta?Pia ndugu usisahau hakuna dalili kwenye Qur'an inayo sema Yesu atarudi duniani, kama ipo leta.
Kumbe mnawajua why hamuwakemei? haswa huyu Adiosamigo japo Quran hailazimishi mtu kufuata cha kushangaza akijitoa katika uislam mnamuua? Quran 39:41Mimi nashukuru sana 🙏🏽 kwa busara zako sijaona ukimtukana Mtu japokuwa miongoni mwetu hawa fuati maandiko kama Allah alivyo tuamrsha (Qur’an 17:53)
Utofauti wa Quran ndio huu According to uislam kila kitu Allah ameshakipanga na kila kitakacotokea ukiiba,ukiua,ukizini, ukitukana,ukiandika,ukiswali usiposwali, watakao enda firdaus watakao enda motoni ni Allah tayari keshapanga sasa mkisema Allah anataka mseme maneno yaliyo bora ili iweje wakati yeye ndio anaweka maneno kila mtakayo ongea i hope imeeleweka sababu kuu ya kusema Inshallah."Na waambie waja Wangu waseme maneno yaliyo bora..."
Kama Allah hana Spirit and ana physical body parts its mean Allah is not alive ni statue tena la pale kaaba house of Allah and House of Sheitan pale Mecca zipo hizo haouse. according to Mohammad alimsilimisha Sheitan kuwa Muislamnapenda ukalifikilie hili je Mungu anakufa
Quran Chapter 4:171 Jesus ni Messenger, Ní Word (Kalam)of Allah and Spirit ya Allah iliyo ndani ya Mwili wa Yesu so Yesu alikula its directly Mungu anakula and tunaamini Mungu ni Almighty he can do anything he like ila Allah hana uwezo hata wa kuwa na Mtoto sa Allah sio Almightyna je Mungu anakula,
So mnavyosema Musa,Yesu walikuwa Waislam umefunga mjadala kuwa ni uongo hawakuwa waislam very Good boymaana kuna maneno nimeyakuta kwenye Biblia ambayo kwenye Uislamu tunaita SHAHADA huwi Muislamu mpaka haya "Umkiri Mungu na Mtume Muhammadi" na Yesu kumbe aliwaambia wafuasi wake
Muslim ukitaka kumkamata akiweka aya ya biblia soma ya nyua yake na mbele yake utaishia kumcheka tu hiyo aya inawafundisha waislam wajua kuwa Yesu alikuwepo kabla ya dunia kuumbwa soma hiyoYohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”.
Allah haongozi mtu non muslim hana uwezo huo kabisa Chapter kibao zinakupinga aliyepotoshwa na Allah hakuna anayeweza kumuongoa hiyo Allah alijiapiza kabisa so unapingana tu na Allah japo Quran ni uongo kwani kuna wanaoingia uislam hata mtume wenu alipokuwa anagombana na waquraish alisema hatokuja abudu wanacho abudu na quraish hawtokuja abudu anacho abudu Mtume mwisho wa game wote waliabudu vyote mudy aliabudu miungu ya practice za waquraish kama Kaaba, Marwa and Safa,Hija,Kupiga mawe Shetan, Kuabudu mabinti wa Allah Al Uzza,Alat na Manat na Waquraish wakawa Waislam ngoma droo hadi leo Aya za Alla zilifail enzi hizo na enzi hiziALLAH akuongoze katika njia iliyo sahihi wewe na kizazi chako 🤲🏽 .
Duh hivi wewe ume block akili yako? i thought nilishakufundisha before ukaelewa anyway najua ulielewa ila kwenye public unajifanya kiburi na mkaidi Quran 3:55 unaielewaje wewe kama huamini wanazuoni wa Kiislam.
Aya inasema Allah ana sababisha kufa kwa Yesu and then anamnyenyua Yesu hadi Kwake so unataka kusema Firdaus wanakuwepo maiti? iliyotakaswa? purify? kwa wasio muamini! na atawafanya wamuaminio wawe juu kinguvu,kiakili hadi siku ya Kiama. Huamini anymore Quran? sema wewe ndio mlengwa haswa usieamini. hadi Muislam mwenzio atakushangaa ulivyomjibu eti huamini hahaha
Quran 3:55
Iz qaalal laahu yaa ‘Eesaaa innee mutawaffeeka wa raafi’uka ilaiya wa mutah hiruka minal lazeena kafaroo wa jaa’ilul lazeenattaba ooka fawqal lazeena kafarooo ilaa Yawmil Qiyaamati summa ilaiya marji’ukum fa ahkumu bainakum feemaa kuntum feehi takhtaliifoon
Sahih International:[Mention] when Allah said, “O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve and make those who follow you [in submission to Allah alone] superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ.
Quran 3:55 Wewe ndie unamzulia na umetajwa kwenye aya inayofuata tu 3:56 mnaobisha hahaha
Ama wale walio kufuru, nitawaadhibu adhabu kali katika dunia na Akhera, wala hawatapata wa kuwanusuru.
Sahih International:And as for those who disbelieved, I will punish them with a severe punishment in this world and the Hereafter, and they will have no helpers.”
Raha ya kudeal na Muslim akikuamia kitu kakisome kwa original text zao maana aki tafsiri anaongopa anaweka mabano kuficha upumbavu wa Allah na Mudy hahaha twende tusome
Kichekesho hiki hiyo mabano yako unajua kuwa Mtume wenu alisema only Musa ndie aliongea na Binadamu? sasa John tena enh? i told you Quran always against Quran kitabu cha kijinga sana chochote kilichoandikwa kinapingana na kingine so mwisho wa siku ni fake religion. alafu umeweka hadi Tabasamu hahaha
Andika tu Sisi wakina Allah tuliktakasa so Yesu alikuwa ni Mtakatifu
Mudi aliona aibu tu kusema Yesu aliendelea kukua kwa Hekima na Kimo akimpendeza Mungu na Wanadamu copy from Bible.
Good Job
Unaendeleza uongo wa Mabano. Kiarabu hamna hiyo kitu Yohana
Wa salaamun ‘alaihi yawma wulida wa yawma yamootu wa yawma yub’asu haiyyaa
وَسَلَٰمٌ عَلَيۡهِ يَوۡمَ وُلِدَ وَيَوۡمَ يَمُوتُ وَيَوۡمَ يُبۡعَثُ حَيّٗا
Amani iwe juu yake siku aliyo zaliwa, na siku ya kufa kwake, na siku atakayofufuliwa kuwa hai.
Tukuulize wewe wapi Quran imetaja Yahana kwenye hiyo Aya 19:15
Yesu alifufuka siku ya tatu na Yupo haii na atarudi tena wewe ni fake muslim disbeliever a.k.a Kafir
wajua kuchangia au kuongeza maneno kwenye Quran ni kumshinda Allah kiuwezo maana alisema hakuna awezaye ila wewe umeweza so wewe ni kiboko wa Allah? Quran 6:115,
Yesu afufuke siku ya kiama wapi hapo kwenye Quran umeongeza? Jesu kashamaliza hiyo stage na Mtume wake anamsubiri akimuita Lord.
Sheikh gani anakupumbaza na maandiko yapo tayari hayazungumzii unayosema
Kwani ni kweli Allah akitaka kufufua mtu ana chukua Nyama ya Ng;ombe kipande kisha anampiga nacho Maiti na maiti inafufuka eh hahaaha sasa Ngombe wangapi watakuwepo siku ya kiama maana Allah kazi anayo kuchapa maiti kwa mishikaki nundu kurejesha uhai hahaha
Quran 2: 73
Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Mwenyezi Mungu huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
Mimi ni Muislam siamini Yesu atarudi sababu Qur'an inasema alisha kufa kama Mitume wengine.
Navyo elewa mimi Masih Dijal Mtume alisha tuambia namna ya kujikinga nae kwa dua.
Ukisema Yesu atarudi unaipinga Qur'an sababu Qur'an inasema kisha kufa kama wengine.
Na Muislam yoyote anatakiwa afahamu hawezi kuja mtu wa aina yoyote ile bada ya Mtume Muhammad kuja kugombania Uislam. Uislam ulisha kamilika wakati wa Mtume Muhammad.
Pia ndugu usisahau hakuna dalili kwenye Qur'an inayo sema Yesu atarudi duniani, kama ipo leta.
Matusi ndiyo mliyofundishwa na shetani wenu kaallah. Wewe jibu hoja endapo ni uongo kuwa Quran ya shetani wenu Allah haisemi hayo niliyoyaandika. Uharo umejaa kwenye Quran yenu. Ili msim critique akawajaza upumbavu ati muhifadhi Quran. Hivyo mnachojua ni kukariri tuBinti ungejifundisha kuandika kwanza coz haya matapishi uliyo yamwaga hapa hata hueleweki ndio umesema nini!
Hivi una akili timamu kweli wewe? umejaza vimatusi vya kitoto hapa halafu unalaumu matusi?Matusi ndiyo mliyofundishwa na shetani wenu kaallah. Wewe jibu hoja endapo ni uongo kuwa Quran ya shetani wenu Allah haisemi hayo niliyoyaandika. Uharo umejaa kwenye Quran yenu. Ili msim critique akawajaza upumbavu ati muhifadhi Quran. Hivyo mnachojua ni kukariri tu
Matusi ndiyo mliyofundishwa na shetani wenu kaallah. Wewe jibu hoja endapo ni uongo kuwa Quran ya shetani wenu Allah haisemi hayo niliyoyaandika. Uharo umejaa kwenye Quran yenu. Ili msim critique akawajaza upumbavu ati muhifadhi Quran. Hivyo mnachojua ni kukariri tu
Wewe Muabudu wa Allah nimekuambia Quran yenu yenyewe ndiyo yatuambia kaallah ni shetani. Quran 7:186 yeye ndiyo anatu mislead wanadamu:Hivi una akili timamu kweli wewe? umejaza vimatusi vya kitoto hapa halafu unalaumu matusi?
Ushauri wangu bado ni ule ule,kajifundishe kuandika kwanza,JF ipo tu utaikuta,
Acha kuandika hapa matapishi yasiyoeleweka.
Kajifundishe kuandika kwanza,hueleweki,akili yako imejaa kinyesi ndio maana huelewi? au yale mafuta,chumvi na maji unayouziwa yamekudhuru?Wewe Muabudu wa Allah nimekuambia Quran yenu yenyewe ndiyo yatuambia kaallah ni shetani. Quran 7:186 yeye ndiyo anatu mislead wanadamu:
The translation of the Arabic verse مَن يُضْلِلِ ٱللَّهُ فَلَا هَادِىَ لَهُۥ ۚ وَيَذَرُهُمْ فِى طُغْيَـٰنِهِمْ يَعْمَهُونَ ١٨٦ is:
"Whomever Allah misguides, there is no guide for him. And He leaves them to wander blindly in their transgression." (Qur’an 7:186)
Yeye ndiyo aliamuaga 40 yrs kabla ya jumpers Adam duniani kuwa anafanya dhambi. Rejea hadithi inayozungumzia mabishano yaliyozuka Kati ya Mussa na Adam.
Na ni yeye ambaye quran inamtambulisha kuwa SHETANI GWIJI. Kwa Allah ndiye aliye mislead shetani, na ndiyo shetani naye kwa hasira akasema nami nita mislead wanadamu: Quran 15:39
The translation of the Arabic verse قَالَ رَبِّ بِمَا أَغْوَيْتَنِي لَأُزَيِّنَنَّ لَهُمْ فِي ٱلْأَرْضِ وَلَأُغْوِيَنَّهُمْ أَجْمَعِينَ ٣٩ is:
"He said, 'My Lord, because You have led me astray, I will surely make [evil] attractive to them on earth, and I will mislead them all.'" (Qur’an 15:39)
Na kenneled kuleta ubishi nitapiga kwa kipenzi chenu Momo, ambaye kuna hadithi ambazo mlizibania kuzitafsiri toka Kiarabu tumezipata zinaonyesha momo alipenda kudandiwa.
Ndugu hakuna ulicho ongea hapo kwenye Qur'an kinathibitisha yuko hai kinacho thibitisha hakutundikwa msalabani wala hakuliwa pale alipandishwa mbinguni kuna Aya ya Qur'an inathibitisha time anapelekwa mbinguni aliambiwa lazima afe. Kuhusu Qur’an ulio quote 43:61 " Yeye kuonekana kwake ni siku ya Kiyama tu, hapo inathibitisha ataonekana siku ya kiyama hata wewe na mimi tutakuwepo hapo tunasomewa makosa yetu na mazuri yetu.Surah An-Nisa (4:157-158):
157
Na kwa sababu ya kauli yao: “Hakika tumemuua Masihi Isa mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu Walakini hawakumuua wala hawakumsulubisha bali aliye fananishwa nao (ndiye waliye muua). Na hakika walio khitalifiana juu yake bila ya yakini yoyote, hawana ujuzi wa yakini ila wanafuata dhana tu. Na kwa yakini hawakumuua".
158
Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake. Na alikuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Wayahudi walidai kuwa walimuua Isa (Yesu) lakini Qur'an inasema hawakumuua wala kumsulubisha. Badala yake, Mwenyezi Mungu alimnyanyua Isa juu kwake akiwa salama.
kuhusu kurudi kwake yanatokana na:
Qur’an 43:61 "Na hakika yeye (Isa) ni alama ya Saa (ya Kiyama), basi msihitilafiane nayo (Saa), na nifuateni Mimi. Hii ndiyo njia iliyo sawa."
Wanazuoni wengi wamefasiri “alama ya Saa” kuwa ni kurudi kwa Nabii Isa kabla ya Kiyama.
Kurudi kwa Nabii Isa kumeelezewa kwa uwazi katika hadithi sahihi
Sahih Muslim, Hadithi 2937:
Mtume (s.a.w) alisema: "Naapa kwa Yule ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, karibu mwana wa Maryamu atashuka kati yenu... atavunja msalaba, ataua nguruwe, na ataondoa jizyah..."
Wanazuoni kama Al-Nawawi, Ibn Kathir na wengine wamekubaliana kwamba hadithi hizi ni mutawatir (zimepokewa kwa idadi kubwa ya watu wasiotilia shaka) na ni uthibitisho wa kurudi kwa Isa.
Hadithi maarufu inayothibitisha kwamba Nabii Isa (Yesu) atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama ni hii hapa:
Hadithi kutoka Sahih al-Bukhari:
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ: "وَالَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ، لَيُوشِكَنَّ أَنْ يَنْزِلَ فِيكُمُ ابْنُ مَرْيَمَ، حَكَمًا عَدْلًا، فَيَكْسِرَ الصَّلِيبَ، وَيَقْتُلَ الْخِنْزِيرَ، وَيَضَعَ الْجِزْيَةَ، وَيَفِيضَ الْمَالُ، حَتَّى لَا يَقْبَلَهُ أَحَدٌ..."
Kutoka kwa Abu Huraira (r.a), Mtume (ﷺ) alisema:
"Naapa kwa yule ambaye nafsi yangu imo mikononi mwake! Hakika mwana wa Maryamu atashuka miongoni mwenu (Waislamu) kama hakimu wa haki. Atavunja msalaba, ataua nguruwe, ataondoa jizia (kodi ya waliolindwa) na mali itazagaa mpaka hakuna atakayekubali kuipokea..."
(Sahih al-Bukhari, Hadithi No. 3448 & 2222)
Inapatikana pia kwenye Sahih Muslim, Hadithi No. 155.
Hadithi hii inathibitisha kuwa Yesu (Isa bin Maryam) atarudi duniani kabla ya Kiyama, si kwa kuwa Nabii mpya, bali kufuata Uislamu na kuleta haki.
Bangi sio mbaya, tatizo ni watu wenye vichwa vibaya mkila bangi mnatoa maboko.Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone