Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Ingekua hivyo wasingekua wake zao wanaliwa namna hii,bodaboda,vinyozi hadi wauza samaki wa maeneo ya survey mlimani city na mwenge wanawala wake za mabaka baka hadi hurumaSi unajua hawa mazoezI mengi na vyakula vizuri hawapigi punyeto kwa hiyo ukijichanganya lazima wakushangaze so wanazaa sana unakuta ana watoto watano hapo lazima ahudumie hawezi kuwakimbia wote na ndo hapo kipengele...pombe na umalaya
Hapa lazima kesho niende na ntakuja kuleta mrejesho humu maana siwezi kuicha laki 8 kizembe hiviNenda lugalo makuu na waeleze niliripoti Mgulani wakamlinda.
Ukifika kikosini kwake fanya uonane na ofisa usalama wa hiyo camp ndio uwa wana msaada na utapata haki yako ila hao wafungua mageti uwa wanalindanaMimi nilienda hadi mgulani pale lakini wapi wanamtetea
Ongezea na wakulima nao wanajipigia sanaIngekua hivyo wasingekua wake zao wanaliwa namna hii,bodaboda,vinyozi hadi wauza samaki wa maeneo ya survey mlimani city na mwenge wanawala wake za mabaka baka hadi huruma
Acha kuwaza Kuchapiwa mda wote mzee, Nyie ndio mnakufa na stress,pole sana mkuu wamekuchukulia mke nini maana sio mapovu haya mkanye mkeo aache kuwashobokea watampiga mtungo
Usiache Hawa wanajeshi wa siku hizi nidhamu ndogo na wakikuzingua peleka mahakamani samathi peleka ofisini kwao wajue kashitakiwa. Wao ndio watakutafu ufute kesi.Hapa lazima kesho niende na ntakuja kuleta mrejesho humu maana siwezi kuicha laki 8 kizembe hivi
Ukifika kikosini kwake fanya uonane na ofisa usalama wa hiyo camp ndio uwa wana msaada na utapata haki yako ila hao wafungua mageti uwa wanalindan
Kesho naenda lugalo ntakuja kule mrejesho humu jamaa kanitesa sana yaan sanaa kanidhalilisha sanaUkifika kikosini kwake fanya uonane na ofisa usalama wa hiyo camp ndio uwa wana msaada na utapata haki yako ila hao wafungua mageti uwa wanalindana
Itakuwa ulienda jeshi la mgambo ila kama ungeenda JW wala usingejibiwa hivoMimi nilienda paka jeshini kwao lakini wapi wananizungusha tu ooh mvumilie mfanye kama ndugu yako
Nilienda mgulaniItakuwa ulienda jeshi la mgambo ila kama ungeenda JW wala usingejibiwa hivo
Kabisa kesho ntapata haki yanguUsiache Hawa wanajeshi wa siku hizi nidhamu ndogo na wakikuzingua peleka mahakamani samathi peleka ofisini kwao wajue kashitakiwa. Wao ndio watakutafu ufute kesi.
Lugalo huko sio kikosini kwake na lugalo sio makao ambako wanaweza kuchukua uamuzi wa kikosi cha huyo unaemdai,kama yuko mgulani basi kikosi chake kipo hapo,mtafute ofisa usalama wa hapo ila uwe na ushahidi wote kama unamdai basi utasaidiwaKesho naenda lugalo ntakuja kule mrejesho humu jamaa kanitesa sana yaan sanaa kanidhalilisha sana
Nina kitabu kabisa alikuwa anachukua vitu vingi sana hadi deni limekuwa kubwa sana nilienda mgulani wakani zungusha wakaniambia eti nimfanye kama ndugu yanguLugalo huko sio kikosini kwake na lugalo sio makao ambako wanaweza kuchukua uamuzi wa kikosi cha huyo unaemdai,kama yuko mgulani basi kikosi chake kipo hapo,mtafute ofisa usalama wa hapo ila uwe na ushahidi wote kama unamdai basi utasaidiwa
Ni wewe uliekuja na mada ya madeni, wewe tena umekuja tena mkeo kashikwa makalio, mbuna hili hukuandika kabla.Na kazi yao kutamani wake za watu hovyo ipo siku ntamtoa mmoja busha awe mfano aiwezekani umshike mke wangu makalio alafu nakuchekea ndo maana nilmipiga mmoja tukapelekana polisi
Kaka nakaa mtaa wenye wanajeshi wengi sana mbona wengine wananilipa kwa wakati ila huyu mmoja ndo ananifanya mimi kama nyani anipi pesa yangu kwa wakatiMwenye Uzi huu, nimesoma maelezo yako, nikagundua kirusi wa biashara yako, siyo wanajeshi, ila ni wewe mwenyewe.
Hivi kwanini duka lako wewe wateja wake wawe wengi ni wanajeshi; inamaana uko karibu nao, na biashara yako uliwalenga wao zaidi.
Ndiyo maana unawajua wateja wako kwa hiyo kazi yao, maana katika mazingira ya kawaida ni ngumu kujua kazi za wateja wako, labda kwenye miji midogo.
Mpaka kufikia kumkopesha mtu, inamaana unamjua na siyo kumjua tu kuwa huyu ni fulani, bali ni mteja wako.
Sasa una ulivyo kirusi, kwenye biashara yako, unajua jamii unayoishi nayo wakikopa hawarudishi, wewe una wakopesha, hata kama umesema ni wababe, Sidhani ukitaa kukopesha, wanaingia ndani na kujichukulia wenyewe.
Kama wanachukua bidhaa kwa nguvu, hata akili ya kuhamisha biashara eneo hilo imekushinda, ukaona ujisalimishe mtandaoni pole sana.
NIkujulishe tu, kila sehemu kuna wakopaji muhibu ni wewe kujiridhisha, kuhusu unae mkopesha, na huo mtaji wako.
Hata huku uswahilini tunakopa sana, ndiyo maana wakopeshaji wako wengi mpaka mtandaoni, simu ukipita kwa uzaji kwa sisi tunaishi Dar, wanakutanga mkopo hapo hakujui.
Hivyo jipange biashara siyo lelemama.
Hata ingekuwa wew kaka lazima udai haki yakoNi wewe uliekuja na mada ya madeni, wewe tena umekuja tena mkeo kashikwa makalio, mbuna hili hukuandika kabla.
kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa muongo, aidha umepishana na Lugha na mmoja wao, ukikimbilia mtandaoni kwa lengo ya kuidhariridha jamii mzima.
😳Na wewe kumbe jamani😓Maisha noma haya....
🤣♥️Hamna nyie mna haaminika ndo maana mna tuzaa na mnatupenda saana bila nyie sisi tusingekuwepo duniani mimi nilimkuta jamaa yupo dukani na mke wangu anamlazimisha kukopa akamkopesha ile anatoka nje kufungua friji ampe soda akamgusa makalio asee nikivo ona kwanza alishtuka nikaenda kumpiga ngumi moja nzito hadi akatoa damu ulikuwa ugomvi mkubwa mno yaani