Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM...
Kwani mama ana mipango ipi mipya nje ya ilani ya Ccm na ahadi alizotoa mtangulizi wake,nikueleze tu mkuu CCM ni lidudu likubwa tena zee linapokosea linajisahihisha maisha yanasonga usitegemee kuona chama hicho kikiparangana mpaka wagawane fito.

Na nikueleze tu JPM ataendelea kuishi kwa wananchi na mioyo ya watawala watake wasitake JPM mmoja patazaliwa vi JPM kibao kama wewe ni mbabaishaji hama nchi tu na kama ikatokea chini ya utawala wa Mama ukaongezwa mshahara kama ni mtumishi shukran ielekeze kwa JPM maana bajeti ilishaandaliwa kabla hajaondoka.
 
Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM...
Waandishi mnashindwa kutambua wenye chama CCM wana manifesto ambayo ni ahadi ya chama kwa wapiga mkura.

Na hii ni kwa miaka hii 5, mlitaka afanye nini njee ya mafesto yao?
 
Naendelea kusisitiza jamani Samia tusimpangie!. Anajitambua, anajielewa na anajua anafanya nini, huu wasiwasi kwanini?!. Kama amemtoa Bashiru kwenye ukatibu mkuu kiongozi na kumtupa kule kapuni, atamshindwa nani?!
Wewe Paskali zoba kweli, siamini jinsi ulivyokuwa unamsujudu JPM nilidhani alipokufa basi ungekaa kimya, nimeshangaa juzi kuona clip moja inakuonesha unasema kwamba Samia ni rais bora na anakwenda kufanya mambo makubwa zaidi ya JPM.

Hivi sio wewe uliyesema kwamba JPM ndio mwanzo na mwisho? kweli nimeamini unaendeshwa na njaa na kuusaka uteuzi, wewe si ulisema JPM ameletwa na Mungu tusimpuuze? sasa yu wapi?
 
Hivi matendo maovu yaliyo jitokeza baada ya 2015 ndizo ahadi walizoweka kwa pamoja Magu na mama?
Sidhani kama ni kweli, hayo hayakuwepo kwenye ilani bali yalikuwa yake mwenyewe JPM na mama kesha onyesha hayataki lakini wasaidizi wanataka ayaendeleze
Misijasema matendo maovu, nimesema yaliyo kuwa kwenye ilani.

Matendo maovu hata wewe unayo na ukifa nduguzako wata fuata yale mema.
Shughuli za kimaendeleo kama reli umeme maji miundombinu ndio ninazoongelea mimi.
 
Hao wapuuzi awatimue wote aanze na timu mpya, hawa hakuwateua yeye kwa hiyo sio type yake na hawawezi kumtii
 
Kumtenganisha mama na hayati ni ngumu, kwasababu mama kimebadilika kuwa rais tu,ila wote waliomba ridhaa na kunadi ilani ambayo bado haijafa.

Kwaiyo mama hana ilani mpya yakutekeleza labda kwenye mapungufu ni kuboresha tu
 
Mkuu ili wengine tuliona mapema Sana ukianzia zile sarakasi kibao kwenye msiba wa mwendazake, maneno sijui shujaa ,na wadau wengi apa jf nikiwemo mie tulikemea, Hawa watakao Ayo ni genge tu ,na wanufaika wa mwendazake wengine wanafuata mkumbo tu , but lipo genge la kifisadi chini ya mwendazake ili Mambo yao yasivurugike,
Na hii ndo mtiani mh rais SSH na washauri wake wa karibu wanatakiwa kua makini na kuwachezea draft ya kuingia kingi bila kuliwa,Hana sababu ya kuwabembeleza hasa bunge Kama wanaleta za kuleta avunje bunge kwisha ,faida yake inaweza kuwa kubwa katika utawala wake kuliko hasara
 
Muda wa kutosha unaotaka apewe "kupanga timu yake" ni miaka mingapi??
 
Haijalishi kufanya nao kazi, je alikuwa anaridhika na utendaji ndani ya system?
Kwa speed ile ya kupata ajali ni traffic polisi gani angepiga mkono kumsimamisha?
APANGUE ILI AANZE UPYA

Alikuambia alikua haridhiki???

 
Hilo dawa yake ndogo sana kwani anaweza kulivunjilia mbali bunge lote na kufanya uchaguzi upya. Hii itamuwezesha yeye na taifa kupata wabunge wanaowapenda na wenye ubora zaidi hivyo watamuelewa anachokisema.

Hawa wa sasa hivi waliokuja bungeni kwa ihsani ya Hayati M hawana uwezo wa kumuelewa. Kwa vile ameitaka serikali (mawaziri) watumie akili zaidi kuliko misuli, wakati wanbunge bado wanatumia misuli ni vigumu kupata Suluhu na hata kumuelewa Suluhu baada ya Pombe.
 
hatuko tayari kuwasaliti watanzania na shujaa wao,ili tu kundi fulani la nguruwe wachache linatka kurudi kujiimarisha.
 
1. MEKO ni JIWE
2.MASALIA - Kina KATELEFONE , DR ABBAS , LAMECK MADELU etc
3.Alikuwa anafanya kazi na MEKO (Msaidizi wake) ,Mawaziri,RC,DED,DAS,RAS wanawajibika kwa Rais,Walikuwa hawafanyi kazi na SSH.

na samia alikuwa anafanya kazi ya nani??
 
Mkuu lakini awamu ya tano mambo mengi yalikwenda nje ya ilani ya chama na maamuzi mengi yalikuwa one man show.
Shida ni kuwa viongozi wengi pengine kuliko wakati mwingine wowote waligeuka kuwa waoga hata kushauri tuu.

sasa hayupo kiongozi wa ccm ambaye atatekeleza ilani hiyo ya katiba mpya,labda baadae.

nyinyi kama wapinzani tunataka muache kudanganyika na kudandia watu,mnatolewa kwenye lengo hamuelewi.
 

Sasa kama mipango ya JPM kwanini alianza kupangua watu? Si angewaacha wale wale wa JPM ili amalizane miaka minne iliyobaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…